Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nakupa pole ndugu yangu,pole sana
 
Nitumie mkuu
 

Big News:​

Russia's GAZPROM has completely suspended gas supplies to Europe via the Yamal pipeline for Q3 (July, August, and September).​



Russia's Gazprom has not booked any capacity via the Yamal pipeline for Q3 (July, August, and September).
That translates into a complete shutdown of all Russia gas shipments to Europe just as summer ends and autumn begins. If this remains the case, Europe would have to rely upon its reserves for October, November, and December - which NOT ONE European country has enough stored natural gas to do!
As it stands right now, many Europeans will freeze to death this coming winter, and much of Europe may not even have electricity because the power plants need natural gas to generate electricity.

Clearly someone sees an all out war on the horizon and Russia is planning accordingly to deal with the enemy.
 
Unaweza nibishia ila Kwa fact siyo kusimuliwa
Nimeanza kuamini kuwa uko Urusi, lakini kubisha siachi. Mbona wa mkoani wanatubishia tulioko dar kuhusu panya road wakati wao wako mikoani 😀😀
Kwa hiyo aluta continua, ubishi uko pale pale mpaka kieleweke mura.
Ila mkuu kwa dr shika ulitupiga kamba tukubaliane kwa hilo mkuu
 
Kwa hiyo unataka vita ipiganwe bila kupotea hata battalion moja kweli!?

Marekani alipoteza wanajeshi 4400 kwenye vita vya iraq, hizo ni battalion ngapi!? nao huo ni uzembe!?

Russia has achieved nothing!? Hahaha tell that to the AFU below the earth on a countdown towards death in mariupol.

Unaijua hata significance ya mariupol kwenye uchumi wa ukraine!? And thts just one city. Na maeneo yalioangukia kwa urusi ni mengi sana.

Ukraine kusema hatajiunga nato tena isn't that an achievement to Russia!?

Mnataka mpaka zelensky akwatuliwe kichwa ndio muone achievement za bwana Putin sio

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kabla hujanifunza mimi lolote kuhusu vita kwanza jifunze namna ya kuandika kwa ufasaha ueleweke.

Bandiko lako linachosha. Utaandika hivi ukiwa unamuandikia mpenzi wako barua. Ukiwa unaandika jf ni lazima ufuate walau kidogo taratibu za uandishi ueleweke vinginevyo utapuuzwa.

Sawa Nkerebhuke

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Jamani mimi nipo battle field kabisa. Jeshi la Ukraine linapukutika jamani. Si mchezo. Naogopa kuziweka picha hapa.
❗WARNING 18+

🔞 Corpses and burned equipment: Russian troops destroy the Armed Forces of Ukraine on the way to Kramatorsk 🔞
 
Sasa kama haumfahamu, unajuaje hajui lolote kuhusu vita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Wakati mnabishana hapa ,na yeye anachambua kama unavyochambua wewe.

Na hoja zake anatoa
 
Hahah panya Road nasikia wameanza tena
 
Sasa kama haumfahamu, unajuaje hajui lolote kuhusu vita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Wakati mnabishana hapa ,na yeye anachambua kama unavyochambua wewe.

Na hoja zake anatoa
Pure western style of discussion. Badilikeni. Hebu nisaidie ule umoja wa mashoga duniani unaitwaje!?
 
Mpaka wanatia huruma
 
Kama taarifa wanazotoa ni sahihi, leo kuna taarifa kutoka BBC kuwa Russia wanataka kuivamia Moldova.
Swari : Huo mpango wa kuivamia Moldova, unawezekanaje ikiwa kuna loss kubwa ya kiasi hicho?
Wanawezaje kuwa na mapigano na ulinzi kwa mataifa mawili tofauti ikiwa rasilimali vita hakuna?
 
Sasa kumbe unajua? Ujue ajuae kutenda mema alafu asitende kwake huyo ni dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…