LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Porojo hizi hujachoka tu Mkuu,tangu jana unatuletea hizi blah blah zako,na Ukraine iko pale,hakuna cha bomu kupigwa Ikulu wala Rais wake kukamatwa,tunasubiri version nyingine ya porojo,hii tushaizoea tayari.
 
Bro sorry, huna akili.
 
Yani linatumia maguvu na usela mavi wake,linaniudhi kama nini,lizungu jinga kuwahi tokea kwa kizazi hiki baada ya Hitler
Dunia nzima iko against hadi jamaa zake China walimemwambia aende mezani,the same to India na Brazil.

Hatutegemei mwenye akili timamu akasapoti upuuzi wa Putin,kwake tuu wanaandamana,hana sapoti kokote huyo mwehu wa kizazi cha Hitler's.
 
Nimekuambia uweke references hapa wewe unapiga kelele.
 
Mzee fuatilia taarifa za habari. Pesa alizo ahidi Biden $10b mpaka zipitishwe kwenye senate, wakija kupitisha tayari Ukraine itakuwa mikononi mwa Russia.
Hapana mkuu tayari kuna msaada wa dharura umepelekwa hausubiri senate kuupitisha inapotokea emergency.

Wanazo sheria za dharura za kupeleka misaada popote pale inapobidi bila idhini ya senate.
 
Pengine labda ukifahamu wanchofanya Moscow ni nini!

Kipindi ambacho USSR walipoweka base ya kijeshi Cuba na kuweka makombora ya nyuklia USA ilihangaika sana kwa sababu USSR ni hasimu wao hivyo ni mazingira hatari kwa usalama wa nchi. Walitumia njia tofauti tofauti kukabiliana na hilo. Waliwawekea vikwazo Cuba. Walianzisha vita kwa kuwafadhili wana Cuba wengine ili kufanya jaribio la mapinduzi ambalo lilifeli.

Na haya ndiyo mazingira yale yale kwa Urusi. NATO ni hasimu wake. Ukraine ni nchi huru. Ila uhuru wa kuhatarisha usalama wa jirani yako huo uhuru inabidi uangaliwe. Ikiwa Ukraine akijiunga na NATO ni hatari kwa Usalama wa Urusi. Ukraine alikuwa na mabomu ya nyuklia. Vipi akirudi kwenye mpango wa kuyazalisha ukijumlisha akiwa kwenye umoja wa NATO itakuwa ni hatari zaidi kwa usalama wa Urusi.

Serikali ya Ukraine imekataa makubaliano na Moscow ya kuwa wawe neutral. Njia ambayo Moscow inaiona itailinda nchi yake ni kuiondoa serikli ya Ukraine na kufanya hivi itakuwa ni tishio kwa Ukraine na kumfanya abadili sera yake.

Hivyo unavyosema ni vita ya Putin kwa manufaa ya kijeshi kuna angle haujaiangalia vizuri. Putin na wakubwa wengine wa Urusi wanalinda maslahi ya usalama wa muda mrefu wa Taifa lao. Ukraine ipo vizuri kijeshi lakini imezidiwa na Urusi. Njia pekee ambayo ni salama kwa Ukraine ni kufanya mazungumzo na Urusi na wakubaliane ili amani irudi tena Ukraine. Rais wao anataka aonekane shujaa lakini hili litamgharimu kwa sababu hatumii akili.

Na usihofia kuhusumaandamano nchini Urusi. Sehemu ya raia wanaoandamana ni ndogo tofauti na wanaokubaliana na maamuzi ya serikali. Ila yote juu ya yote vita si jambo zuri.
 
Dunia nzima iko against hadi jamaa zake China walimemwambia aende mezani,the same to India na Brazil.

Hatutegemei mwenye akili timamu akasapoti upuuzi wa Putin,kwake tuu wanaandamana,hana sapoti kokote huyo mwehu wa kizazi cha Hitler's.
Ila LIBYA, MALI, SYRIA, AFIGHSTAN wakivamia inakuwa haki? Mkuu ngoja niishie hapa..
 
Msela mavi kiazi cha moto kimemkaba kooni kaomba poo kwa kumtumia Lukashenko aombe kikao...
Sasa kama mtoto mdogo anatishia kung'ata meno....
China hana time na unafiki wa viongozi wa russia tokea fundisho walilopata wakati Mao, Mchina yuko bize kukuuzuia tecno, hamna muda wa kipuuzi kama msela mavi
 
Bro ivi naweza pata angalau notification Kila upo koment maana unachuja habari Kwa usawa bila mahaba .
Shukrani mkuu. Sijui utapataje notification ila huu uzi tangu vita ianze nipo humu na uzuri niko likizo. Hata fainali ya Liverpool vs Chelsea nimeenda ila nikatoka maana niko busy na vita. Tangu jana sijatembelea uzi mwingine, chanzo cha kuja JF ni mambo ya kimataifa
 
Na bado mfungo wa kuiombea Ukraine ulioitishwa na Papa Francis kwa Wakatoliki wote haujafanyika. Ukifanyika hiyo tarehe 2 Machi, Urusi atapata tabu sana!

Nasema atapata tabu sana, people are not going to pray for nothing.
Unamsema huyu papa mpinga kristp. Vicurius Filii Deify.

Pimeni akili. Huyu ni shetani.


Usiseme nakufuru. Huyu ni shetani

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Turkey yuko njema Sana kwenye drones,sasa mbwa wa Russia wanapeleka attacking helicopters miaka hii kweli? Hawana akili hao ngoja wanyooshwe kwanza.
 
Hapana mkuu tayari kuna msaada wa dharura umepelekwa hausubiri senate kuupitisha inapotokea emergency.

Wanazo sheria za dharura za kupeleka misaada popote pale inapobidi bila idhini ya senate.
Hebu weka references hapa mzee.
 
Lengo la Putin limetimia na huyo Ukraine ataenda kwa terms za putin.

Hivi unaichukulia poa Russia siyo!?
Mzee Putin kaona maji shingo wanajeshi wanapukutika na raia wa Ukraine wanazidi kushikamana na serikali yao halafu huko Urusi maandamano yanazidi.

Ndo maana unasikia eti anaagiza kamandi ya nuclear ikae standby. Sasa kama vita ya angani,majini na nchi kavu anaiweza kwanini aagiza silaha za maangamizi kutumika kama uwezekano wa kushinda vita anao?

Hapo ni aibu na amepoteza hata umaarufu wa Russia kuwa na jeahi imara kwasababu tayari ameonesha udhaifu mkubwa atadharaulika sana.
 
Sisi Urusi hatukubali tukishindwa kabisa basi tunaileta ww3,Mpo nyie timu shoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…