LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Acha upuuzi. Dunia si kwa ajili ya binadamu tu. Tusipokuwepo dunia bado itakuwepo. Na tukiendelea kushadadia vita kama unavyotaka zikatumika silaha za nyuklia ndo utajua kuwa dunia haijali, ulimwengu haujali. Tunatakiwa tulaani sio kutafuta uhalali wa kuuana kama unavyofanya hapa.
 
Kifo kina utaratibu wake. Tunakufa kwa utaratibu maalum. Silaha za nyuklia zikitumika ipasavyo hata wewe hutakuwepo hapa kusema watu wanakufa kila siku mjomba.
Kifo hakina utaratibu nature ndio inayoamua watu/mtu afe kwa mtindo upi
 
Well said
 
Uko sahihi! Tena kutakuwa na watu wachache sana duniani watakaoishi kwa kutegemea kilimo hafifu sana 😃
 
Nimeshakupa LIKE yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukilaani haisaidii kitu haipingi fact kuwa dunia haiwezi kuwepo bila ya uwepo wa Vita , Vita Ni sehemu ya Maisha,ndio maana hata majogoo na wanyama wengine huwa unaona kuwa wanapigana hiyo ni inborn character, believe or not Dunia haiwezi kuwepo bila ya uwepo wa Vita sehemu fulani kwa sababu watu tuna tamaa ya Mali na madaraka na ubinafsi ndani yake pia tunatofautiana kimtazamo falsafa za maisha na malezi , Tunacho jaribu kufanya binaadamu ni kupunguza ukubwa wa athari zinazo weza kuchochea uwepo wa Vita kila mahali duniani,
 
Pro-America washa pigwa na kitu kizito kichwani mpaka Sasa hawa amini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wanalia Lia tu,,oohhh sio haki sijui sio fair my foot , wakati Libya anapigwa walikuwa kimya tu ,

Sijui msamiati wa Sheria ni msumeno wenzetu huwa Wana uelewa vipi [emoji16]
 
N
ikweli mkuu, kwa bahati mbaya wale wenye uwezo wa kufanya mabadiliko katika hilo baraza ndio wanao vurugana then tusubiri hatma ya dunia sijui inaelekea wapi.

Tayari kiev inawaka moto sasaivi.
Ni hali ya hatari na ya kutisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…