Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nonsense!!
 
kwan hujasikia Japan , Finland , Sweden na Poland ?
 
Western hawaishi kutushangaza

[emoji95] During the two months of the Ukrainian conflict, Russia exported energy resources worth 63 billion euros.... Kwenye hizi data mnamwona US vizuri? [emoji23][emoji23][emoji23] Ndani ya hii miezi miwili kanunua Oil and Gaa nyingi kuliko India aliyekua anamzuia eti asinunue kwa Russia vinginevyo atamwekea vikwazo...

Huyo huyo US tukumbuke ndio wa kwaaanza kabisa kutangaza marufuku ya Russia Oil and Gas Import nchini kwake ila nyuma ya pazia sasa [emoji23][emoji23][emoji23]


Hivi kuna taifa la kinafiki kushinda US kwenye hii sayari?????
 
Mbon hamjibu maswali yangu jamani. Pro nato shida nini
Ebu nisaidieni kuwatag
 
Ukraine ikubali masharti ya Urusi mojawapo na ambalo ni kubwa isijiunge na umoja wa Ulaya,lingine majimbo kadhaa ya Ukraine yawe huru yaani yajitenge na nchi hiyo,ikumbukwe wananchi ndo wanataka nchi yao ijiunge NATO kama lina ukweli jambo hilo ingawa weengi wanamlaumu Rais wao.
 
Kama ni hivyo tutajie pia idadi ya majenerali wa Ukraine waliokufa .
 
Cjaelewa hii wanaingia kama nani?? Wavamizi au walinzi??
 
Kama ni hivyo tutajie pia idadi ya majenerali wa Ukraine waliokufa .
Ogopa vita vya kuvizia na kama hujui chocho za mtu unayemvamia nyumbani anaweza kukutoa Marinda kama sio kifo
 
Uko sahihi sana Maana Kupigana tu Bila kuumaliza nalo ni udhaifu..Piga Kenge Yule comedian mpaka azimie
 
Pure western style of discussion. Badilikeni. Hebu nisaidie ule umoja wa mashoga duniani unaitwaje!?
Kwani mashoga ni watu wa namna gani?

Najua Kuna jinsia mbili tu, ya kike na kiume.

Ila ulivyo humu jukwaani kama mbwa mwenye kichaa tu, utamng'ata mtu yoyote, haijalishi ni wa upande gani?

Jitafakari.

Au ulitundiliwa ulivyokuwa mdogo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] maana hizi hasira Zina sababu
 
Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Russia miaka kumi baadae Mmarekani akaenda nae mwezini baada ya kuwarubuni wahandisi wa Russia.
Mpaka leo hii nchi zote duniani zikitaka kwenda anga za mbali zinakodi engine za Urusi.
Marekani alitunguliwa usiku Iraq kisa wairaq wanavaa miwani inayoonesha usiku kuwa mchana waliuziwa na Urusi.
Urusi anapigana vita ya kumuonesha adui yake kwamba yeye si lolote si chochote kwenye uwanja wa mapambano.
Ushajiuliza kwa nn NATO hawaingii vitani nae?
Rais wa Ukraine na BBC ndo wamekua wasemaji wa Urusi dah poleni sana.
 
Weee jamaa ni kiazii aisee are you a jobless waza taifa lako hasa mama yako uku ambaye anazunguka duniani kufanya royal tour
Sasa maana jf nini?
Huku tunabadilishana uzoefu na maarifa.
Kuhusu kukosa kazi je...aliwahi kukulilia shida?
Naona kiazi kibovu ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…