Embu tuachane na ushoga.TL anaunga mkono uchafu huo.
Na kuwa na ndugu huko hakuhalalishi ujinga anaoufanya Zele. Mwisho atakuja kukubaliana na matakwa ya Russia baada ya nchi kugeuka magofu.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Na Mlokoz=Ukraine sababu ya:Ukraine = Ushoga.
Watayaonaje sasa ilhali tunaoyaona na kuwaambia wanatuita Vichaa na Uncivilized kisa hatukubaliani na matakwa ya Master wao...
Endeleeni kuotaPutin aondoe majeshi yake kwenye ardhi ya Ukraine, alipie gharama zote za vita, afikishwe kwenye mahakama ya uhalifu wa kivita yeye pamoja na wapambe wake kisha Russia iweke sahihi kwamba kamwe hatavamia tena nchi nyingine.
Western wanawivu sana kama mwanamke mwenye mimba.Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Russia miaka kumi baadae Mmarekani akaenda nae mwezini baada ya kuwarubuni wahandisi wa Russia.
Mpaka leo hii nchi zote duniani zikitaka kwenda anga za mbali zinakodi engine za Urusi.
Marekani alitunguliwa usiku Iraq kisa wairaq wanavaa miwani inayoonesha usiku kuwa mchana waliuziwa na Urusi.
Urusi anapigana vita ya kumuonesha adui yake kwamba yeye si lolote si chochote kwenye uwanja wa mapambano.
Ushajiuliza kwa nn NATO hawaingii vitani nae?
Rais wa Ukraine na BBC ndo wamekua wasemaji wa Urusi dah poleni sana.
Ila tuache ushabiki aisee,ushabiki tuweke pembeni,Kuna habari huko nimeiona inasema ikiwa odessa nayo itapitiwa na RUSSIA jamaa wakapigwa block uwanda huo wabahari itabidi mapato yooote ya nafaka na vitu vyengine yatakua ya RUSSIA hvyo UKRAINE itabakia kama MOROGORO
RUSSIA malengo yake yanaenda vyema sana asee sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]It is rumored that 500 Ukrainian prisoners will parade in the Great Red Square in Moscow for the grand parade on May 9[emoji91][emoji91][emoji91]
Yah tunayo kiduchu mno, about 0.23Trillion Cubic feet hivi, Kiduchu mno ukilinganisha na proven reserve iliyopo duniani...Kwa Tanzania nadhani bado. Kiwango cha gas yetu ni ndogo. Haipo hata kwenye top 50.
Hapo umesema ukweli kabisaEmbu tuachane na ushoga.
Zele sidhani kama yeye ndo mastarmind, hii kwa sasa ni vita ya NATO na URUSI.
Hakuna MKUU hakuna majamaa MAUMBWA sana yale[emoji35][emoji35][emoji35]Western hawaishi kutushangaza
[emoji95] During the two months of the Ukrainian conflict, Russia exported energy resources worth 63 billion euros.... View attachment 2209064Kwenye hizi data mnamwona US vizuri? [emoji23][emoji23][emoji23] Ndani ya hii miezi miwili kanunua Oil and Gaa nyingi kuliko India aliyekua anamzuia eti asinunue kwa Russia vinginevyo atamwekea vikwazo...
Huyo huyo US tukumbuke ndio wa kwaaanza kabisa kutangaza marufuku ya Russia Oil and Gas Import nchini kwake ila nyuma ya pazia sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuna taifa la kinafiki kushinda US kwenye hii sayari?????
Kwenye habari kama hizi Mimi Huwa napenda kipengele hiki TU.Russian Armed Forces with high-precision Onyx missiles destroyed hangars with bayraktars at a military airfield near Odessa
▪️They attacked the logistics center through which the delivery of foreign weapons was carried out. Warehouses with missile weapons and ammunition from the United States and European countries were also destroyed.
▪️Aviation hit 69 strongholds, areas of concentration of manpower and military equipment of the Armed Forces of Ukraine.
▪️Missile forces destroyed the launcher of the S-300 air defense system, artillery - 54 artillery firing positions of the Armed Forces of Ukraine, 38 strongholds.
▪️Air defense destroyed six Ukrainian drones overnight.
▪️In total, since the beginning of the special operation, 146 aircraft, 112 helicopters, 696 drones, 286 air defense systems, 2,783 tanks, 316 MLRS, 1,255 field artillery pieces and mortars, as well as 2,590 units of special military vehicles have been destroyed.
Wanatudanganya tu hawa jamaa, wanafiki sana hawa jamaa, juz wanatwambia Russia kashindwa Ukrain, leo wanatwambia Russia inataka kuivamia Moldova, hiv mkuu hili linawezekanaje ikiwa nchi moja tu imeshindikana, itawezaje nchi ya pili?Umesahau kuwa RT imefungiwa station yake kule UK?
Nchi za afrika nazo zishaanza kuamuka kutoka usingizini juu ya unyonyaji wa western countries,Kwa Africa kuna Algeria, Nigeria na Mozambique. Ngoja tuone wanatakaje. Watakuja kunyang'anya ua itakuwaje. Maana tayari huko Mozambique chokochoko za ugaidi zinaendelea.
Wanaanzisha vita ili wachukue bure.
Huyu General mamluki wa Canada ameshapelekwa Moscow akapakwe mafuta na Sergei Shoigu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji1063][emoji779]️Canadian General Trevor Cadieu was arrested while trying to escape from the territory of the Azovstal plant, Telegram channels report (no official information yet).
Perhaps he was the head of biolab No. 1, in which specialists worked with deadly viruses. According to unconfirmed information, Cadieu was taken to Moscow.
According to the data on the Web, he does not have the best track record. We quote: "In 1997, he participated in the hostilities in Bosnia as a rear-wheel drive cockerel."
And in 2021, a former colleague of Cadieu accused him of sexual harassment. At that time, he was just appointed to the post of commander of the Canadian Ground Forces, but because of the scandal, the inauguration was canceled. Cadio denied all accusations and later resigned from the position. On April 5, 2022, he retired from military service.