Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndugu iyo picha ya mother Teresa inamaana kubwa kwenye maswala ya upendo na amani na kusaidia maskini na sio kuwa mshabiki wa Vita vya Urusi na Ukraine.
#STOP IT[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakatoliki gani wa siku hizi mnashabiki Vita kuliko amani hovyo kabisa.Papa wenu yupo busy kutafuta amani wewe upo busy kufurahia Vita[emoji35]
#NENDA KAFUNGE NOVENA KUOMBEA AMANI DUNIANI KOTE VITA ZIKOME NA SIO KUSHABIKIA VITA[emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia anajivunia kuweka maeneo hayo under control. Sasa jiulize Ukraine anajivunia nini
 

Attachments

  • IMG_20220504_081749_920.jpg
    162.1 KB · Views: 34
Kuna video niliona akiwa anatetemeka mkono na mguu.
 
Thanks for the insight
 
Umetoa concept nzuri.
 
Mambo ni Moto huko azovisteel
Vikosi vya Urusi vimekuwa vikishambulia maeneo ya wanajeshi wa Ukraine ya kufyatua risasi katika kiwanda cha chuma cha Azovstal katika mji wa bandari wa Mariupol kusini mwa Ukraine, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema jana (Jumanne).

Wapiganaji wa Kikosi cha Azov na wanajeshi wa Ukrain walichukua fursa ya usitishaji vita katika kiwanda hicho cha chuma kuhamia katika nafasi zao za kufyatua risasi, shirika la habari la Urusi RIA Novosti liliripoti, likimnukuu Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi Vadim Astafyev. Kwa mujibu wa Astafyev, silaha za kijeshi na ndege zilitumika kuharibu maeneo ya kufyatua risasi. Wanajeshi wa Urusi walikuwa wakijaribu kuingia kwenye kiwanda cha Azovstal kutoka sehemu kadhaa, shirika la habari la Ukrinform liliripoti, likimnukuu Mkuu wa Polisi wa Doria wa Mariupol Mykhailo Vershinin.

"Kulikuwa na mafunzo ya upigaji risasi na urubani kwa karibu siku moja ... sasa walivamia mtambo katika maeneo kadhaa. Tunajitetea. Tunapambana," Vershinin alinukuliwa akisema. Wanajeshi wa Urusi na Ukraine walisema mnamo Jumatatu kwamba zaidi ya watu 100 walihamishwa kutoka Mariupol, vyombo vya habari vya ndani viliripoti. xhtxs.cn/ujU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…