Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

So sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haisaidii chochote...yaani jirani yako kavamia kwako, yuko ndani ya eneo lako...anafanya anavyotaka halafu wewe unatoka unaenda kupiga nyumba yake jiwe...badala ya kumface kwanza mwenyewe, mtoe ndani ya eneo lako then msukume nyuma hadi sebuleni kwake...
 
About Tz ni uzembe na ukilaza tu wa watu wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusisingizie vita kuhalalisha uhuni wa viongozi wabinafsi, mpaka kufika bandar ya dar es Salaam lita moja inakuwa imegharimu kiasi gani?
Mpaka kufikia bandaribya dar es salaam na kupakuliwa kabisa kwenye meli na kuwekwa kwenye matank ya kujifadhi mafuta pale bandarini lita moja inakuwa imegharim shilling za kitanzani 1620
 
Wewe umeleta hoja ya kiutu uzima kwa kusema "hata kesho unaweza kuibadilisha kwa dola moja"...haukuwa utoto huo?

Hio hoja ni ya kitaalamu kabisa wewe ndo hujaelewa, serikali yeyote inauwezo kubadilisha thamani ya sarafu yake, mfano wa Putin kusema rubble iko pegged kwa gold. Ukifanya hivyo hio sarafu haikui tena " free floating ". Maana ya Free floating currency ni sarafu ambayo thamani yake haija amuliwa na serikali bali limeamuliwa na soko huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…