Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Upo sahihi katika kuleta habari inayofurahisha ingawa:
Pro Nato hawaleti kila habari sio kwa sababu hazipo ila ni kwa sababu wengi nafikiri hawazitafuti maana pro Putin wenyewe wanakubali kuwa West ni wazuri kwa propaganda hivyo kama pro Nato wangetaka zijae humu, naamini zingejaa. Au wewe unakataa kuwa West sio wazuri kwa propaganda? 😀

Wanavamia kunapotokea habari moja ambayo ni kubwa kwa sababu ile habari huwa inawatafuta na inawafikia kama tukio muhimu hivyo wanajikuta wote wapo wakizungumzia na kushabikia jambo moja huku wakiwa wameacha matukio madogo madogo na propaganda za vita kibao ambazo hawajazitafuta sababu ya kukosa kwao uzalendo kwa nchi wanachama wa NATO.

Habari yangu ya mafuta sikuitafuta, ilinatafuta nikiwa na mambo yangu mengine ndipo nikaona kisha nikaiweka humu. Tena ni ya Milard Ayo, nipo natumia simu kwa mambo mengine sina hata habari na nn kinaendelea Ukraine, mara paap unakutana na ujumbe kuhusu mafuta inayohusu huu uzi. Obvious kama ulivyokiri kuwa tunaleta habari zinazotufurahisha basi nikafikiria kuileta humu pale nilipopata muda wa kufanya hivyo.

Anyways, Je:
Unakataa kwamba Pro Puttin si wazalendo kwa Urusi kuliko Pro Nato walivyo wazalendo kwa nchi member wa Nato?
 
In Ukraine, they plan to completely ban the use of the Russian ruble.

The relevant bill has already been submitted to the Verkhovna Rada.

According to the document, it is proposed to abandon the Russian ruble for the period of martial law. In addition, at the request of the Cabinet, they can limit the use of other currencies, such as the Belarusian ruble.

It is also proposed to supplement the Criminal Code of Ukraine with an article providing for imprisonment from three to five years for the demand to stop using the hryvnia as a means of payment in the country or use foreign currency instead of the hryvnia.

 
In France, food prices are constantly rising and inflation is rising, writes Le Monde.

According to experts, in April it reached an average of 3%, while in March the figure was only 1.73%.

Pasta increased the most in price - by 15.3% over the year. They are followed by frozen steaks - by 11.3%, the publication adds.

The situation in Ukraine only increased the rise in prices in France for oil, gas, cereals, vegetable oil, transport, packaging materials, the report says.

 
uo moto mbona kama sio wa bomu au kombora kushambulia,unaonekana ni moto kama moto tu wa kawaida!
Maeneo yote yanayoungua ni Moto WA kutengeneza sio mabomu ya kurushwa hapo ni zaidi ya ugaidi, Russia itaendelea kupata shida hizi za kuunguliwa na sehemu zao muhimu
 
The UK Tax Service has deprived the Moscow Exchange of its status as a recognized one.

Information about this appeared on the website of the department.

The withdrawal of this status means that investors will not have access to certain UK tax benefits when trading securities on the Moscow Exchange.

The status of a recognized Moscow exchange was received in 2011.

 
The shelling of Nekhoteevka by Ukraine has stopped, there are no casualties among civilians, said the governor of the Belgorod region Gladkov.

"There is damage to power lines, five households, of which one house is badly damaged."
 
Gazprom intends to use the onshore capacities of Nord Stream 2 to supply gas to the north-west of Russia.

The company noted that with the decision of Germany to launch the gas pipeline, only one line will be able to operate, and the second - not earlier than 2028.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…