Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Na binafs naona ni hawa viongozi tu ndio wapo kama "bots"... Wana adhere kwa kila command kutoka kwa "Master" wao... (Japo huu mtazamo wa Clown na Master [emoji847] kwa wengine ni just "Conspiracy" Hawakubalian nalo...)Tuliaminishwa kwamba Wazungu wanatuzidi kwa kiakili na ujanja,lakini kwa haya wanayofanya kwa sasa,ni zero kabisa.Nadhani mavyakula yenye sumu nk.nk. yame-waathiri sana,Very sad.The Russians are very smart.
Hao ujue ni Wamarekani,sio Ukranians.We know that US forces are already in Ukraine.The Empire of lies must stop lying to the World.Hapo ujue wanatafuta sympathy ya Wamarekani for their stupid, imbecile and lunatic actionsMarekani yasikitika kutangaza vifo vya wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 600 waliouawa leo kwa mizinga ya majeshi ya Russia
View attachment 2212927
Na itazidi kupanda thamani kwa kuwa sio Fiat Money.Ni mjinga tu atakayefanya biashara na Fiat Money kama US$,€ nk.Ruble yaendelea kumvuruga na kumchanganya Biden pamoja na shoga zake...
Ruble yazidi kuonesha maajabu kwa kufikia thamani ya 1 USD = 65 Ruble pamoja na vikwazo kedekede vya mabepari ya kimagharibi dhidi ya Russia
View attachment 2212931
Hapo Urusi atakuwa amefanikiwa kwa asilimia zaidi ya mia, maana lengo lake ni kusafisha uchafu wote unaoitetea Maurpolo..hapo hakuna tofauti na kujisalimisha.Kuna uwezekano mkubwa wakakuta huko ndani hakuna tena cha Askari wala Mercenaries NI PEUPE PEEE. Haaahaaahaaah!!! Russia, Russia, Russia kweli ni nyie mnafanya Operation ya kienyeji hivi na Intelligence ya kama mgambo wa jiji
Yeah ni kweli wapo ambao ni smart,lakini wengi naona mind control techniques wanazotumia NWO kuwa-contain zimewaathiri sana,especially Americans.Na binafs naona ni hawa viongozi tu ndio wapo kama "bots"... Wana adhere kwa kila command kutoka kwa "Master" wao... (Japo huu mtazamo wa Clown na Master [emoji847] kwa wengine ni just "Conspiracy" Hawakubalian nalo...)
Nasema ni kwa baadhi ya Viongozi hasa wenye mamlaka na baadhi ya Raia, kwingineko hawakubaliani kabisa na huo utopolo wao mfano wa haraka haraka ni yule dada wa Ireland uliyempost majuzi kati akizungumza ndani ya bunge la EU...
Na wengine kama huyu akireply kuhusu alichozungumza yule Senator Paul View attachment 2212936
Marekani yasikitika kutangaza vifo vya wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 600 waliouawa leo kwa mizinga ya majeshi ya Russia
View attachment 2212927
Kabisa mkuuMimi nataka wachome Moscow
Because its a fixed rate currencyRuble yaendelea kumvuruga na kumchanganya Biden pamoja na shoga zake...
Ruble yazidi kuonesha maajabu kwa kufikia thamani ya 1 USD = 65 Ruble pamoja na vikwazo kedekede vya mabepari ya kimagharibi dhidi ya Russia
View attachment 2212931
Aisee polee ndg yangu umechoka sanaa.Vip hiyo habari ingekuwa mbaya kwa upande wako unge ipost?
Ndio maana nimekwambia ya kwamba kila upande unaleta habari inayo wafurahisha kwa hiyo hakuna tofauti kati yao.
Pronato wengi ni watoa kejeri na matusi badala ya hoja sema ww huwezi kuwaona kwa sababu mpo upande mmoja hata ww hapo kwa hiyo koment yako imejaa kejeri dhidi ya proRussia ila unatumia mafumbo.
Na wanao ongoza kufungua nyuzi za hii vita ni pronato.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
of course na desperate instructions za shoigu.Hizo mbao idea ni ileile. Na mara nyingi ziliwekwa kwenye magari hasa ya mizigo upande wa madereva na mbele. Gari ukiliongezea mavyuma unapunguza kutembea na hayo magogo walikuwa wanayaweka madereva wenyewe sio order kutoka juu. Zile ni desperate attempts
vita ilianzishwa na Nato? unajua hii vita ingekuwa imeisha ndani ya zile siku tano alizosema jamaa, huu uzi ungekuwa umefungwa?Vip hiyo habari ingekuwa mbaya kwa upande wako unge ipost?
Ndio maana nimekwambia ya kwamba kila upande unaleta habari inayo wafurahisha kwa hiyo hakuna tofauti kati yao.
Pronato wengi ni watoa kejeri na matusi badala ya hoja sema ww huwezi kuwaona kwa sababu mpo upande mmoja hata ww hapo kwa hiyo koment yako imejaa kejeri dhidi ya proRussia ila unatumia mafumbo.
Na wanao ongoza kufungua nyuzi za hii vita ni pronato.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ni uhuni tu wa kusema kwamba forex zi move according to forces za Dd&Ss but in reality Serikali ya USA kupitia WB&IMF sana intervene sana-coz ni mfumo uliowekwa KuRubble sio free floating currency tena, hata kesho inaeza ikabadilishwa kwa 1 to 1 na dollar,
Wachumi hawawezi shangaa.
Ni maneno tu,floating currency inaamuliwa na nguvu ya soko na bado hizo currency zipo lagged na USD ambapo USA ana control hela yake-kuna nguvu ya soko hapo??.Hio hoja ni ya kitaalamu kabisa wewe ndo hujaelewa, serikali yeyote inauwezo kubadilisha thamani ya sarafu yake, mfano wa Putin kusema rubble iko pegged kwa gold. Ukifanya hivyo hio sarafu haikui tena " free floating ". Maana ya Free floating currency ni sarafu ambayo thamani yake haija amuliwa na serikali bali limeamuliwa na soko huru.
Akili zimeanza kuwajiaPutin apologises for foreign minister’s Hitler remarks
Russian President Vladimir Putin has apologised for his foreign minister’s comments claiming that Adolf Hitler had Jewish origins, Israeli Prime Minister Naftali Bennett said.