Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Taifa la Israel liliundwa na Russia.
Na mtu wa kwanza kabisa baada ya Israel kujitenga na Palestine kuitambua kwenye UN was Russia.

Nakuongezea na hii.

Putin said: "Israel is, in fact, a special state to us. It is practically a Russian-speaking country. Israel is one of the few foreign countries that can be called Russian-speaking. It's apparent that more than half of the population speaks Russian".Putin additionally said that Israel could be considered part of the Russian cultural world, and contended that "songs which are considered to be national Israeli songs in Israel are in fact Russian national songs". He further stated that he regarded Russian-speaking Israeli citizens as his compatriots and part of the 'Russian world'.
 
Sijakataa, na naelewa ni muhimu kiasi gani Israel akibaki neutral sababu akichukua upande it will be FUN kusoma hoja humu ndani za christians.
 
[emoji23]

Ila hawa viumbe huwa tunawashibikia tu siku ziende bt ukizubaa unaweza kujikuta unarithishwa chuki huku ukweli wakiujua wao. Kumwamini mwanasiasa yahitaji courage ya maana.

Sasa em nambie mazingira haya.

Jews ni rafiki wa kufa kufaana na US, kwa maelezo yako hapa yanadai Israel na Russia ni marafiki wa kufaana sana. Lakini US na Russia ni maadui.

Now Russia anapigana na Ukraine akidai anafanya denazification nchini humo, Jews wana historia mbaya na hawa Nazis kama vitabu vinavyodai, ila ajab kuna mercenaries kutoka Israel lukuki ndani ya Ukraine wakiwa pamoja na hawa Nazis wakifight agaisnt Russia Armed Forces.

Na sio hilo tu kuna Nazis mmoja sema picha yake imefutika alikuwa Israel aki'perfom ibada kwenye ule ukuta wanaofanyia Israel Ibada.

Irani wana mahusiano mazuri na Russia, na wako katika hali mbovu kimahusiano na Israel na nduguye US. Then Russia ni Rafiki wa Israel [emoji23][emoji23]

Sio siri ukichora Set chini ukaanza kumueka mmoja baada ya mwingine kuna Intersection utaziona na unaweza kujikuta ukijisemea tu tunachezewa mchezo wa kijinga sana ila hawa wanajuana.
 
😂😂😂😂😂😂
 
Tutaleta mjadala wa Iron dome vs Bavar 373 😂😂 Uone sarakasi humo utasikia malaika Gabriel ndio Operator wa Iron Dome
 
Tukisoma historia kabisa ya kuhusu Israel.
Ngoja niweze declare interest. MIMI NI MKRISTO.

Asili ya Ibrahim ni nchi za Mesopotamia. Ambayo kwa sasa ni part ya Iraq, Iran nk. Kwanza hapa tunaona kabisa Waisrael kwenye DNA zao wanauhusiano na Waajemi.

Ukisoma zaidi utakuta mtoto wa Ibrahim alioa mwanamke kutoka Mesopotamia.
Isac alizaa mapacha mwanzilishi wa jina la Israel ambaye ni Jacob. Alikimbia na akaenda kwa mjomba wake Laban huko huko uajem akaenda kuoa wake wawili wa kabila lake.

Hapo tumeona kabisa uhusiano wa Iran na Israel kuwa ni wa damu. Tunatakiwa kujua Waisrael siyo waarab.

Wakati wa Roman empire Waisrael wengi walielekea kaskazini na kwenda kukutana Rus. Kwahiyo huko wamekaa sana.

Kuna immigrants wengi sana kutoka Russia kwenda USA na asilimia kubwa ni Waisrael. Mmoja wa waanzilishi wa Google ni mrussia.

Tukiendelea kuchimba tunaweza kuziunganisha dots tukajua which is which.

Offcourse hata mimi nimejaribu kufuatilia DNA yangu nimejikuta ni Muajemi wa Kiafrika, ninauhusiano na Israel. 10% ya DNA imesema mimi ni Muisrael. 50% ni Muafrica, 4% Mturuki nk.
 
Kwa kuongezea. Wakati Rus's wanajitanua walikuja kukutana na Mongols ambao walikuja wakaitawala mpaka Moscow. But tunatakiwa kuwajua who are Rus!?
A people made up of Scandinavian warrior merchants who travelled Eastern European river-roads from the eighth century, and whose settlements around Kiev and the Dnieper gave rise to the Russian principalities. Wengine wataweza kuwita Vikings.

Lakini miaka ilivyozidi kwenda Mongols walikuja wakaitawala na kukawa na mixture ya tamaduni.

This is a complex world. To deal with ni ngumu sana.
 
Tutaleta mjadala wa Iron dome vs Bavar 373 [emoji23][emoji23] Uone sarakasi humo utasikia malaika Gabriel ndio Operator wa Iron Dome
Mwanzo nilikuwa nikisikia Iron dome nikawa naifananisha na Movie flan hivi inaitwa Under the Dome Ka ulishawahi kuiona... nikawa nawaza waliwezaje kutengeneza dude ka hilo.

Kumbe sasa Iron dome ni mfumo kama mifumo mingine tu ipo active mda wote kwa ajili ya ku-intercept makombora yanayoelekezwa Israel.

Na hauko 100% capable, ingawa ndivo ilivyo mwanadam hajawah tengeneza kitu to the perfection. Mfano May mwaka jana kama sikosei walitangaza kueza ku'intercept 1000 out of 2300... Sasa hao ni Hamas, Iran mwenyewe akiingia rasm sijui itakuaje.

Nilimskia tu yule mwakilishi wao hao Iran huko UN akiwasilisha point watakazopiga hapo Israel endapo Israel itajarib ku'mess with them.
 
Habari hii aione Frank Wanjiru, muumini wa Juvelin.@Frank Wanjiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…