Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Sio first world countries ni Nato+EU vs Mighty Russia, kwasabb China Brazil India wako neutral hizo ndo emerging super power of the world, sio Britain France Germany Italy zinazo kua promoted na media propaganda kumbe bado hawaja jipanga mambo mengi.Almost all the countries (except African) have give an aid to Ukraine.
Binafsi nitaiita--- 1st world countries Vs Russia, na sio vita ya Ukraine vs Russia,, na battelfield iko UkraineView attachment 2215093
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hayatuhusu.Yeye ndio alifeli sana kumtunza mume hadi Monica akamsaidia. Tena ofisini kwa mume wake
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Obviously you approve Putin and cronies/oligachs robbing the Russian people.Obviously she is talking nonsense...Russia has valid reasons to 'enter' Ukraine and NOT simply to grab what Ukraine has..
FactKidokezo cha asubuh [emoji847]
Mtizamo wangu mwingine kuhusu hii operation ya Russia. Kama Russia angeipeleka speed na kuimaliza mapema (Na huu uwezo anao) basi isingeleta hata ile walau a fraction of harm kwenye uchumi wa hili kundi la Western wakiongozwa na kiranja wao US...
Ukiwaangalia wale "International Community" kila uchao ni majanga kwao, wanapoteza ushawishi na gharama nyingi za vifaa wanazo'jaza ukraine zikiishia kuharibiwa.
Nchi karib zote za Ulaya sasa zinakumbwa na janga la Inflation, Viwanda vingi vinafungwa, Idadi kubwa ya watu wakipoteza ajira kupitia "reactions" zinazofanywa na Viongozi wao wenyewe.
Ukirejea nyuma kwenye Annexation of Crimea, ilikuwa Military Operation ambayo ilifanyika kwa kasi mno, ndani ya siku 7 za mwanzo teari walikuwa wameshabadili uongozi uliokuepo... mwezi mmoja na siku 6 tu. Crimea ilikuwa rasmi ndani ya Russia OFFICIALLY..
Aftermath ni Russia kuondolewa G8 na Mfulululizo wa International Sanctions kuanza kuandamwa... Ndani ya vile vikwazo upande wa EU na Western kwa ujumla hawakua na cha kupoteza...
Hivi kama hii OP ingeisha haraka tungejuaje madudu yaliyojaa kwenye vichwa vya hawa viumbe ase?
Round hii mambo yamekuwa tofauti, look like Russia imeingia imejipanga kikamilifu ikijua nini kitatokea kwa uingiaji wao ndani ya Ukraine. Inaonesha kabisa wazi kua mbali na Denazification waliyoitamka ni kama vile wako na harakati za kuibomoa hii Empire of Lies.
Kwasababu uwezo wa kuisambaratisha Ukraine wanao, tena mkubwa mno but they choose to be soft dhidi yao. Hawa Western wanairefusha wakihisi wanamkomoa Russia ila uhalisia ni kua wanajimaliza wenyewe huku wakizidi kumnufaisha Russia.
Em tuangalie upande mmoja tu wa nishati... tuambizane nani anayefaidika sana kwa bei ya Nishati kua juu? Mnunuzi au Muuzaji? Kama ni Muuzaji je atataka bei iwahi kushuka chini? Je hii haileti majibu ya kwanini Russia anafanya makusudi kuipeleka Operation Polepole [emoji23]?
EU na US imekua ikitolewa taarifa karib kila siku kuhusu kuporomoka kwa uchumi kwenye nchi hizo. Wote twajua uchumi ni shughuli za kibinadam. Ambazo msingi wake mkuu ni nishati. Matumizi ya nishati yanapoathiriwa basi shughuli zote zinaathirika. Na hili wanafanya kujikaanga wenyewe kwa "sufuria" walilopewa na Russia bila kuambiwa kazi ya sufuria n nn [emoji847]
Nasema hivyo kwasababu na nyie ni mashahidi, Russia alikuwa na uwezo wa kuziharibu all doors upande wa west Ukraine wanakopitishia Silaha. But ajab akaziacha ziendelee kuingia...
Anao uwezo wa kuharibu mifumo yote ya mawasiliano ndani ya Ukraine ili kupoteza connection kwa frontline kutoka kwenye Command Post zao... Anao uwezo wa kuharib Supply chain ya jeshi zima ila kayaacha kama yalivyo huku akienda veeeery slow na naendelea kusema ni makusudi sio kwamba hawezi kuharakisha.
Hapa Russia Vs Ukraine is actually a front in the greater proxy war between China and US, na hii z what few people understand. THE NEW WORLD vs THE OLD WORLD... no wonder Biden alikuwa anadai kua vitu vinaenda badilika.. kua tunaenda kwenye NEW WORLD ORDER ambayo wao wanataka kutake the Lead...
Na ni maoni yangu kua Russia asingeifanya hii Operation kama asingekuwa na Full back up, full support kutoka kwa China na wenzie hasa kwenye Issue za kiuchumi.
Naona huujui mgogoro huu kwa undani,chanzo,sababu na haki za Urusi,ila ww wanachofanya Urusi ndan ya ardhi ya Ukraine unafuraia ? au Urusi ina haki zaid kuliko serikali nyingine ?
Kama wanatumia bajeti yanchi maana yake wanatengewaWagner group wapo a million+
Wapiganaji wa kundi hilo wanatokea Russia, Iran, Yemen, Libya na Syria. Hilo ni jeshi binafsi la Putin na Oligarchs wenzake.
Ni kama ya Makamouni ya Kijeshi ya US ambayo huwa ysnasjiriwa na makampuni hayo na kupelekwa kupigana vita na mission mbalimbali ugenini.
Tofauti iliyopo, yale makampuni ya kijeshi ya US ni makampuni binafsi yaliyosajiliwa kisheria, wakati Wagner ni Jeshi/kundi binafsi (Siyo kampuni) ambalo halina usajiri popote pale hata huko Russia na hutumia bajeti ya nchi, pesa za Putin na michango ya other Oligarch ambao hutumia kundi hili kwa shughuli mbalimbali.
Magoti yaliyozoea kusaga mahindi yanajionesha waziwazi. Beringi"" zimeanza kuchokaView attachment 2215089
kuna maswali yangu hadi sasa hawayajibu nimejaribu kuwatag ila holla kimya. Tena utakuwepo kabsa wanareply wakiona hayo maswali ni kimya kimya. Ila wanakuambia wenyew wanasimamia fact , wamekomaa na fact yao ya "tunapinga uvamizi, tunapenda amani" mda huo huo wanamsupport marekani kwa kupeleka silaha. Na ukiwaita mashoga wanakasirika wakati uhalisia wanaona kabsa.
hakika ila wanajitoa ufahamu hata urusi akishindwa ukweli ndio huuWengi humu hawajui masuala ya ulinzi na usalama wa taifa.
Namaana taifa lolote.
Wengi hawajui kua USA ana Nia ovu na Urusi.
Hata wamarekani wa mitaani TU wanajua lengo ovu la Serikali Yao dhidi ya Urusi.
Wa USA Wengi wanajua Kabisa kua anachopinga Urusi juu ya tabia za Ukraine kuegemea NATO ni halali yake.
Marekani ana Nia ya miaka mingi sana kutaka kuidhoofisha Urusi na hata kuishinda kijeshi,ndio maana anatumia majirani zake na Urusi kurahisishabkazi hiyo bila wengi kujua.
Sasa Urusi nayo Iko clever inahakikisha anachotaka USA hakitokei.
Katumia njia za diplomasia wakampuuza kumbe alikua amechora mstari mwekundu.
Sasa wamevuka mstari huo ndio mziki huo tunauona Sasa.
Hakuna nchi yoyote ya West iliyoivamia Ukraine zaidi ya Urusi tokea Mashariki na ndio taifa pekee lililojinasibu kuiondoa serikali ya kinazi chini ya Zelensky inayoungwa mkono na mataifa ya West.kwan kati ya west na Urusi , nan alianza kuivania Ukraine ? pili nani amejitambulisha rasmi kuwepo Ukraine ili kuipindua serikali ya Ukraine
Akili za kimaskini hizoJamaa mmoja kishumundu ndani ndani anayajua mambo ambayo Westerners hawayajui! What a genius!
Hana uwo uwezo wewe hata yeye uchumi anapigika my son yuko anasoma Urusi wanakosa mkate sasa madukani mpaka mline up na hela uwezi kumtumia na kutoa bank ni kama 10,000 ya Tz tu kwa siku unaruhusiwa so what is the point ya yeye kupigana muda mrefu so rubbish
Dunia inashuhudia mambo ambayo haikuwahi kuyafikiria.Bunge la Ulaya lalalamikia 'Uonezi' wa Russia kwa jumuia ya Ulaya...Lasema Russia imeathiri vibaya sekta ya Usafiri na Utalii ya Jumuia ya Ulaya baada ya kutaifisha ndege 400 za nchi za EU zenye jumla ya thamani takriban USD bilioni 10
Bunge la Ulaya limeiomba Russia iache uonezi huo na kurejesha ndege hizo 400, kwani ni kinyume na sheria za kimataifa (wamesahau kuwa wao EU+US ndio walianza kuzuia mali za Russia, pengine walidhani wao wapo juu ya sheria na hakuna wa kuwafanya lolote...walisahau kuwa Russia sio Zimbabwe)
Aisee kweli kila mbabe na mbabe wake...hivi hizi nchi zoote za EU pamoja na wingi wake ni za kulialia kuwa zaonewa na nchi moja tu ya Russia?!
Kweli EU/NATO ni umoja wa madhaifu
========
View attachment 2214888View attachment 2214889
Hiki ndio tunachokitaka kila mmoja awe na maamuzi yake sio kuingiliwa ingiliwa kijinga safi sana India.Biden aipiga mkwara mzito India isinunue mafuta ya Russia yaliyosuswa na EU, India yamjibu hakuna kitu kama hicho...lazima iendelee kuyanunua tena kwa kuongeza zaidi kiwango kwa siku
Biden aiambia India kuwa biashara hiyo haina maslahi na India, na itaigharimu India ...India yamjibu kuwa dili la mafuta ya Russia kwa India ni zuri zaidi kiasi kwamba India haifikirii kuliacha...Bali India ipo tayari kwa lolote litalofanywa na Marekani dhidi ya India kutokana na biashara hiyo ya mafuta.
Manunuzi ya mafuta ya Russia nchini India yamepamba moto ktk kipindi hiki cha mzozo wa Ukraine, kutoka pipa 0 mwezi Decemba na January, na kuwa pipa 300,000 kwa siku mwezi March na kufikia pipa 700,000 kwa siku mwezi uliopita, April (sawa na pipa 21,000,0000 kwa mwezi mzima wa April ambazo ni zaidi ya lita 2,500,000,000)
Russia sio Zimbabwe
View attachment 2214941View attachment 2214942
Wewe ulieandika makala hii hata kama hukuzaliwa kipindi Cha cold war una akili kuliko wengi waliozaliwa kipindi hicho.Hi special operation ya Russia imefumbua watu wengi akili na imetujuza mambo mengi hususani vijana tulio zaliwa baada ya Cold war na kusambalatika ka USSR.
Wengi wetu tulikua tume funikwa na propaganda za Western media na ku-underrate nguvu ya Russia katika dunia hi, kumbe Russia ina uwezo wakijeshi wa kuteketeza nchi za Ulaya zote kivita na zikashindwa ku iangusha au kuijibu, EU zina dependent economy 47% wana tegemea Urusi kwa maendeleo ya chumi zao.
Kumbe Uingereza sio superpower kama tulivo aminishwa awali, Russia alivo onywa kwamba anaweza akawa legitimate target amepunguza kiherehere chake cha kutuma misaada Ukuraini.
Kumbe EU hawana kifa cha kuzuia supersonic misile za Russia kutua kwao popote kwahiyo Russia ana uwezo wa kumpiga yoyote na popote kwa mda wowote, US aliwa waogopewa wezie Nato kwamba ana vifaa vya kuzuia kumbe hana ndo ameanza utafiti tu.
1. Tumejifunza kwamba UN sio chochote au lolote mbele ya Superpower iko pale kwa ajili ya nchi masikini tu.
2. Kumbe Nato iliundwa mahususi kwa ajili ya Russia tu, lakini licha ya kujipanga kwa mda mrefu bado hawana uwezi wa ku- outmatch Russian military mighty.
3. Nchi za EU nyingi zina dependant en fligile economy kama za kwetu tu, kama operation tu imeumbisha uchumi wao kwa kiasi hiki je full-scale war?
4.world balance of power itabadilika kwasasa baada ya Urusi ku onyesha udhaifu wa US na EU kwamba ni wa oga wa vita. nchi nyingi zitafanya urafiki na Russia for military alliance baada ya kuona kwamba US anaunafiki na mapungufu militarily.
5. Zaresky hawezi kua Raisi wa Ukuraini tena na Russia itaondaka Ukuraini hivi karibuni baada ya kuteka mashariki ya Ukuraini wa tahamia mji mkuu wa kievi ili awake puppet leaders atakae mkubalia kuimega Ukuraini mara tatu.
Picha inayomwonyesha rais (dikteta) wa Chechnya Kadyrov akisali kwenye kituo cha mafuta ilipigwa kwake nyumbani. Kituo cha mafuta ni ya kampuni ya ROSNEFT ambayo haiko Ukraine. hata Kadyrov mewenyewe hakudai ilipigwa Mariupol lakini ilisambazwa kupitia Twitter kwa maelezo ndiye kadyrov akisali Mariupol.Inaonyesha unakujua vyema Ukraine basi tueleze hapo mahali 👊