Video ya manazi auIko wapi video yake?
Umeandika kama vile upo so excitedkwa taarifa kutoka vyanzo vya uhakika zinatanabaisha kuwa melivita ya Urusi(Admiral Makarov) iliyokuwa ikipambana na manazi huko bahari nyeusi imefanikiwa kurejea salama kwenye base yake huko Sevastopol, Crimea kinyume na ilivyodaiwa na vyombo vya habari vya magharibi vinavyotumiwa kama vifaa vya propaganda vya Ukraine kuwa jeshi la Ukraine limefanikiwa kuizamisha melivita hiyo kwa kutumia makombora yake ya Neptune
Weka ushahidi ewe mrusi wa buza.Video ya manazi au
So excited ndio wapi hukoUmeandika kama vile upo so excited
Siko buza mkuu kama britaniccaWeka ushahidi ewe mrusi wa buza.
Mimi nachotaka heshima iwepo Mambo ya kuburuzwa na US tumechoka.Sawa na hata alishindwa tutafanya analysis.
Nchi moja dhidi ya nchi 40,
Imewekewa vikwazo kuliko nchi yoyote chini ya Jua,aah sorry imewekewa vikwa vingi sana kuliko nchi yoyote duniani na angani.
Hivyo ikishindwa imeshindwa kihalali.
Lkn suala la kushindaa Broo ondoa
Vita kubwa kabisa ikiripuka hapa wote watakaa chini,yaani NATO na Urusi.
Hapa hakuna mswalia mtume.
Mimi ni mkatoliki na kiongozi wa jumuiya ya Mt Tito
umerudi ! Ulinikimbia kuna jamaa kajibu swali la kwanza kama ilivyotakiwa. We umeshindwa hata yalubaki hujajibu kama inavyotakiwa bla bla nyingi kama mwanzo upifeli basi yaliyobaki hutoyaweza. We si unakaza fuvu kifupi hii vita ipo kimaslahi zaidi ya ujuavyo. Hakuna cha kusema oooh kavamia nchi huru hata hao wanaomsaidia wanamaslahi hapo.we jamaa si ushajibiwa
Binafsi lakini sina imani na hii day naona kama kuna washenzi watachafua hali ya hewa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo huyo msemeji wa Ikulu ya Marekani anatiwa vidole na huyo mpnz wake
ππππAu Jang'ombe Urusi. Mtaa fulani wa kiswazi kule Unguja. Home of gongo, bangi na wahuni wote wa huko enzi hizo.