Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata Mimi Nina wasiwasi huenda kukatokea shambulio la kigaidi toka kwa wa Ukraine kwa ufadhiri wa USA
 

Habari hizi ndio Huwa zinanipa raha.

Iskander" in the areas of the railway stations of Krasnograd and Karlovka, Kharkiv region, destroyed large accumulations of weapons and military equipment delivered from the United States and Western countries, as well as the personnel of units of the 58 motorized infantry brigade of the Armed Forces of Ukraine.
 
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watadhibitiwa kama panya wadogo
Asante kwa kuanitia moyo ndugu.
Mkuu naiamin sana intelligence ya Russia hakuna kitu kama hiko na wakitaka nuclear itumike wafanye huo ujinga. Hakuna hata nzi wa kugusa hio parade
Na kama Mimi mtu nisie na utaalam wowote wa masuala ya usalama nimeliona hilo,naamini FSB wameshafanya analysis ya kufa mtu.
 
Asante kwa kuanitia moyo ndugu.

Na kama Mimi mtu nisie na utaalam wowote wa masuala ya usalama nimeliona hilo,naamini FSB wameshafanya analysis ya kufa mtu.

Mkuu tukio la kimataifa hilo hadi babu yao biden lazma aangalie[emoji28][emoji28] watu wazma wakiwa kazini. Macho na masikio yatakua Russia
 
Kuanzia leo usiku wa manane leo saa sita usiku hadi kesho usiku wa manane tumshukuru Mungu kuwashindia vita wayahudi wa Ukraine tusile chochote wala kunywa chochote

Tusiombe kuwa awashindie Mungu alishajibu watashinda tumwamwambie tu Mungu asante kwa kujali agano aliloongea na baba wa wayahudi Ibrahim ambaye ni baba yetu pia wa imani
 
The Next Target ya Ukraine Ni Kuliangusha Daraja la Crimea.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…