Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

10,128 sanctions have been imposed against Russia. More than against any other state in the entire history of their existence.

10,128 challenges to get stronger.

US President Biden believes that only a third world war can be an alternative to sanctions against Russia.

What doesn't kill us makes us stronger.
 
Ni wazi sasa USA ameamua kutia mguu sasa ngoja tuone kama putin ataitikisa USA maana si alisema yeyote atakaye ingilia chamoto ata kiona
Maneno TU kwani huu ndo msaada wa kwanza....anapeleka msaada na anatangaza natoa msaada wa silaha za kulipulia vifaru na Putin yupo anasikia....huyo Hana uwezo wa kutekenya USA....Putin Hana tofauti na ZITO KABWE pale kigoma🤣
 
kaka heri usimwige mtu anayesababisha fujo la aina hiyo. Anatuma jeshi dhidi ya jirani mdogo na baada ya miezi zaidi ya miwili bado mafanikio?? Pamoja na kubomoa uchumi wa taifa?? Kiongozi wa kuigwa kweli???
Mafanikio huwezi kuyaona humu jf kaka[emoji16], hasa ukiwa na ushabiki wa UNato, mnasema jirani mdogo ila mko taari kuona ni taifa linalotumikiwa na nchi za Nato kuidhuru Urusi, mlikua mnafurahi leo warusi wa Crimea kushambuliwa au warusi wanaishi nchini Ukraine kushambuliwa?? Ktk operations inayoendelea Urusi analinda usalama wake, Operations itaendelea
 
🇭🇰 Former police officer John Lee Ka-chiu was elected as the new Hong Kong Chief Executive in uncontested election on Sunday, the Hong Kong government announces.

John Lee, sanctioned by the US for “undermining Hong Kong autonomy” during the 2019 mass protest, was supported by 1,416 members of the electoral college and will serve as the Hong Kong head for five years.
 
Sijakuelewa kabisa Yani.
Kaka uliandika kuhusu habari zinazokupa raha, ulimnukuu mmoja Iskander akipiga debe jinsi jeshi la Kirusi lilidai kuharibu vitu mbalimbali kwa roketi.
Tunajua kila upande unapiga kelele ya propaganda, ni sehemu ya vita.
Nadhani ni kazi "kuona raha" kutokana na propaganda. Bila shaka uwezo wa kuwa na imani unasaidia!,
Habari hizi ndio Huwa zinanipa raha.

Iskander
 
Mwanamkiwi umenyong'onyea sana. Zile mbwembwe zenu za mwanzo wa operation zimeishia wapi!?
 
Ndani ya hizi siku 5, toka May 2 hadi Jana May 7 zimetua takribani ndege 100 za kivita zikishusha silaha hapo Poland kuingizwa Ukraine.

Lakini ajabu walioko front wanalalamika silaha hawana, Mmoja wapo ni yule Sniper Wali niliyemnukuu jana kwenye ile video yake...

Kwamba “There was a tank regiment behind the landing. My friend and I only had one Javelin. We were in position when a Russian tank hit us. I was confused for a while. When I came to, my friend was lying next to me. He had no legs, he was bleeding..." Note hapo kwenye Javelin... Hizo silaha zinaenda wapi?

Na kingine ambacho nilisahau kukisema jana kutoka kwenye hiyo Video ya wali, kuna jamaa aliyekuwa pembeni ake, I bet ni his Companion akawa anasema "it's mostly US Marines in our unit getting killed every day and the living US Marines primarily spend days cleaning up the dead."

Ukiiangalia hiyo kauli inatosha kabisa kujieleza kua Russia anapigana na nani Ukraine.

Duh yani 100 ndani ya siku 5, that's an avarage ya ndege vita 20 kwa siku zikitua na silaha. Na hawajawai kukomboa mji hata ule wa kusingizia. Na every day wanadai Russia is Advancing 🙌

Their economies are shrinking more n more kila siku, Yet these morons wanaendelea kutupa pesa zao into a black hole called Ukraine. Sizan hata kama wanajali kuhusu kushinda au kushindwa, zaidi ya kutengeneza pesa tu kwa hawa elites na hizi Military Complexes za US.

Na shida nayoihisi ni nani ataja lipa yote haya? Ukaine huyu anayedai deficit ya budget ya $7B kwa mwezi na $600B kurejesha kila kilichoharibiwa? Ha ha sure as fu*k is not gonna pay yote hayo 😪

The Globalist are pissed, their world domination has been stopped by Jembe Vladeeeeeeeeee Putin...

Zaidi ukitizama namna US na wenzao wanavoshiriki unaweza feel as if tupo kwenye Cold war nyingine. Na this round, I have a feeling that Russia will beat the West... Enzi zile Brezhnev alikuwa weak neither very smart kiviiile... This time they will have to deal with de 🐻, Wakati Putin plays chess while Dementia Joe huko can hardly play checkers...

Oh sh!t wait, Huyu Biden doesn't even remember what checkers are at this point... Serikali iko busy ku'middle in a meaningless war, at the same time hundreds of thousands ya wamarekani wako homeless na Millions kati yao wakiwa hawana health care.

Just imagine kama wangetumia hizo resources zote katika making America a beeter place huku wakiwaacha Russians na Ukrainians mend their problems by themselves?

Na mwisho kwanini tunamwona Putin yuko smart kuliko hiki kikosi cha waimba taarab wa No Action Talk Only? Ni hivi... Wakati Viongozi wao wakiwaambia ni wakati sasa wa kutoka ndani wazime Taa, mara wakitumia Kettels wasizijaze hadi juu...

Putin anawaambia haya watu hao kwa unyenyekevu... Sasa nani kichaa kati yao
 
Wewe ni kichwa. Shuleni watu waliokuwa wanajua hisabati vizuri tuliitwa wachawi wa namba. Wewe ni mchawi wa geopolitics.
 


6 years of NATO training lost in almost 80 days
Pentagon admitted that since 2015 they have trained
25 000 UAF soldiers...

And if we post graphic evidence of this numbers we will be insta suspended 100%...

CAN YOU NOW IMAGINE HOW BAD IS FOR 🇺🇦?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…