LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wewe una porojo Sana ,athari zipo za kuzidi,ban imepigwa kwa swift,ban ndege zote na marufuku ya anga na mambo mengine ya vikwazo.

Ukweli ni kwamba Russia atakula hasara 7 wazungu hasara 3 out of 10..
Wao sio wajinga kuweka hivyo wamepiga hesabu.

Russia sio supplier pekee wa gas na mafuta hapa Dunia, uzalishaji utaongezwa kutoka pande zingine na techs ya renewable energy itaongezeka.

Mwisho athari kubwa kwa EU ni air space tuu nothing else.

Mtu akisoma harakaharaka anaweza kuhisi unaakili na uhafamu kumbe kabumba bumba
 
Ulichokiandika chote inaonyesha haufuatilii taarifa za habari bali umetoa mawazo yako.
 
Zamu ya Urusi usiku

Videos on social media captured what appears to be a HUGE artillery assault apparently launched by Russian troops
 
Sawa
 
UN Security Council votes to convene an emergency special session of the General Assembly on Monday to discuss Russia's operation in Ukraine - this is the first time a move like this happened since 1982.

RT
 
Huma ujualo kaa kimya, Putin alimtaka Zelensky wakutane belaruse kwa mazungumzo baada ya kupata ugumu kwa miji mikubwa iliyobaki tofauti na alivyofikiria, Zelensky akakataa akasema belaruse hataki kwa ndio ilikuwa gateway ya russia kupita na kushambulia Ukraine ndio wakakubaliana wafanye mpakani mwa belaruse na ukraine bila ya masharti yoyote, kwaiyo Zelenskey atapeleka mawakala wake akamsikilize putin anataka nn.,

Russia alifkiri vita ya Ukrain itakuwa kama ya Syria lakini amepelekeshwa kinyama mpaka sasa anaona atumie nyuklia
 
UN Security Council votes to convene an emergency special session of the General Assembly on Monday to discuss Russia's operation in Ukraine - this is the first time a move like this happened since 1982.

RT
Let's see

Mchezo huu ni wa hatari sana!
 
UN Security Council votes to convene an emergency special session of the General Assembly on Monday to discuss Russia's operation in Ukraine - this is the first time a move like this happened since 1982.

RT
Hao UN Kazi yao ni kupitisha maazimio ya kulaumu ila hayana impacts yeyote,kiujumla sijawahi elewa hasa.
 
Wanamjoke Putin, jamaa ni kama kaja kuwazawadia majamaa dhana za kivita, inawezekanaje una run out of fuel means huna calculations, au wanajeshi wake wanamhujumu, kapigika sana hususani jana.

#STOP WAR
Logistic system ya Jeshi lake kwenye Vita ya nchi ndogo iliyo mpakani mwake inamshinda,huyu ndio ataweza kupambana na Marekani kwa vita ya kawaida bila Nuclear? Maana hatujawahi kusikia popote Jeshi la Marekani limekumbwa na uhaba wa mafuta kwa vifaa vyake tena anapigania maelfu ya maili kutoka kwake.
 
Nimegundua wewe NI Mshamba wa International Affirs na Wala hujui Nini Kinaendelea.

Nikuulize;

Ni Vita gani ambavyo Marekani imepigana Chini ya Utawala wa Trump (2017-2020)?
 
UN Security Council votes to convene an emergency special session of the General Assembly on Monday to discuss Russia's operation in Ukraine - this is the first time a move like this happened since 1982.

RT
Nimegundua kuna watu ni mashetani. Ngoja tuone wataipeleka wapi dunia.
 
Belarus Katangaza kuingia Ukraine kumsapot Putini.

My opinion:, Putin kavuliwa nguo na Ukraine mbele ya wakwe zake.
ameanza kutag washirika wake.. soon tutasikia Rocket Man nae kaingia mzigoni.
Rocket Man atapitisha wapi hao Wanajeshi wakati yuko mbali na Ukraine? Hao wa Belarus ni karibu na Ukraine na wameenda kwa Mguu.

Anga la Ulaya limeshafungwa kwa ndege zote za Urusi na Washirika wake,Hizo ndege za North Korea zitakazobeba hao Wanajeshi zitapita Anga ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…