STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Nyuzi kama hizi ilikua uietenge pekeake ili waione vizuri hawaKamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha kama panya huko Mariupol.
Aisee wanajeshi wa Russia wanajua kushambulia vizuri, yaani viongozi wa kijeshi wa Ukraine wanaishi kwa kujificha kwenye mahandaki kama panya buku au digidigi, halafu wakipata chansi wanakimbia uwanja wa vita na kuwaacha makuruta[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji38]
Taarifa hizo za kukamatwa viongozi hao zimethibitishwa na chombo cha habari cha Ukraine, Pravda, baada ya kuwasiliana na wanajeshi wengine wa Ukraine waliojificha kama panya huko Mariupol.
========
View attachment 2216674View attachment 2216675View attachment 2216676
Pro puttin watakusifia ila naomba nikupe challange:
Mnaosapoti urusi mnakubali kuwa USA ni wazuri sana katika propaganda, na mm nasema mpo sahihi, sasa kama wote tunakubaliana kuwa USA ni wazuri kwa propaganda tunatakiwa pia tukubali kuwa sio kila tunalosikia ndilo linalofanyika.
Swali la kujiuliza ni, Ukraine bila USA na Washirika wake wangekuwa na upinzani kwa Urusi mpaka sasa?
Swali jingine ni, Urusi anasema nn kuhusu misaada kwa Ukraine kutoka USA na nchi washirika? Lina madhara kwake au halina madhara? Anafanya nini kuhusu hilo?
Ni kwel kbsJamani punguza uongo. Russia ndiye mlimaji mkubwa wa ngano duniani, nayeye pamoja na ukreni wanazalisha almost 75% ya ngano yote duniani. Sasa mkate kwa Urusi ni kitu Gani wakati ngano imejaa na kupitiliza. Nadhani mtakuwa mnaanzwa na kaugonjwa vile.
I
Turkey anasema hawezi kuendelea kumsaidia sana Ukraine hataki kuwa ba uwadui na Russian
Kuna mwehu Mmoja alisema Urusi hana Mali za kuzikamata za ulaya kama zilivyokamatwa zake .... Ujinga mzigo sanaBunge la Ulaya lalalamikia 'Uonevu' wa Russia kwa jumuia ya Ulaya...Lasema Russia imeathiri vibaya sekta ya Usafiri na Utalii ya Jumuia ya Ulaya baada ya kutaifisha ndege 400 za nchi za EU zenye jumla ya thamani takriban USD bilioni 10
Bunge la Ulaya limeiomba Russia iache uonevu huo na kurejesha ndege hizo 400, kwani ni kinyume na sheria za kimataifa (wamesahau kuwa wao EU+US ndio walianza kuzuia mali za Russia, pengine walidhani wao wapo juu ya sheria na hakuna wa kuwafanya lolote...walisahau kuwa Russia sio Zimbabwe)
Aisee kweli kila mbabe na mbabe wake...hivi hizi nchi zoote za EU pamoja na wingi wake ni za kulialia kuwa zaonewa na nchi moja tu ya Russia?!
Kweli EU/NATO ni umoja wa madhaifu
========
View attachment 2214888View attachment 2214889
Okey mkuu, umekuja kiutofauti kabisa na umeonyesha uhalisia wa tatizo kuwa ni USA na si Ukraine na Ukraine si adui kwa Urusi bali nia ya USA ni kupigana na Urusi nje ya ardhi yake.Swali la kujiuliza ni, Ukraine bila USA na Washirika wake wangekuwa na upinzani kwa Urusi mpaka sasa?
Ukraine bila hao US na washirika wake wasingefika hapo walipofika kimahusiano yao dhidi ya Russia. Hili lipo wazi kwa wanaofaham kilichokuwa kikiendelea hapo kabla hata ya 24th Feb.
Ukraine mbele ya Macho ya Russia sio adui bali kuna kikundi kinachopikwa na US na wenzake ndani ya Ukraine na hilo kundi ndio threat kubwa kwa usalama wa Russia.
Pentagon wanakiri ku'train more than 25k soldiers wa Ukraine kama maandalizi ya hiki kinachoendelea na kuna baadhi ya watu nje ya system wanadai all investments US aliyoifanya Ukraine toka enzi za Obama inakuwa destroyed within months...
Niliwah kuzungumza mwanzo kua US keshatumia zaidi ya $14B hivi sasa Ukraine na anaendelea kuzimwaga. Kuna Video nyingi tu nishawah kuzisogeza hapa za baadhi ya Viongozi wa US wakielezea mipango yao ya kuivuta Russia hapo Ukraine ili wapigane nae na sio kwenye ardhi yao huko far west.
Mbali na hizo walizomwaga ni Dementia Joe anayetaka additional ya $33B kutoka nchini kwake ku'sponsor Ukraine iendelee kupigana dhidi ya Russia...
Russia namna anavyofanya hapo Ukraine, hapigani kiu'adui, hiyo inajionesha wazi namna wanavyokwepa Civilians Casualties na namna wanavyohamiliana na Raia wa Ukaine kupitia Humantarian Corridors na Aids wanazowapa.
Ni hawa hawa US and allies waliokwamisha makubaliano yaliofikiwa pale Minsk kuingia katika utekelezaji, lengo likiwa lile lile la kuendelea kui'confront Russia... Kama ingekuwa kweli wanaipenda Ukraine wangehamasisha hayo makubaliano yaingie katika vitendo kwenye hiyo miaka 8 yote hiyo.
Donbass kila uchao ilikuwa ni watu kuuliwa kisa tu wanazungumza kirusi, unajua hiyo chuki kaipandikiza nani na kwa lengo gani? Yakadiliwa kuna watu zaidi ya 14k wameuliwa hapo Donbass ndani ya hii miaka 8 na media zote zimeuchuna. Haya tulikuwa tunayapata tu kwa baadhi ya waandishi huru hapa sizungumzii RT wala Sputnik.
Ni Azov hawa hawa waliojulikana wazi wakitumia SS symbol, wakifanya madudu yote ya kinazi na hizi MSM media za magharibi walikuwa wakitangaza pia hao Azov kua ni Neo Nazi, ila baada ya 24th Feb vyombo hivo hivo wakaacha kuita Nazi wakapachika jina la Far right. Na ni kundi hili hili la kinazi linalofadhiliwa na US na washirika wake kupigana na Russia.
Kwa kifupi tu mwanzilishi wa hili Vugu vugu katika kutimiza ajenda ni US, hata hawa EU wanatumika tu ka Toilet paper kufeed interest za Washington.
Nachelea kusema dunia bila US ingekuwa sehem salama sana. OH NO! Yani Dunia bila kile kikundi kilichopo nyuma ya US Government ingekuwa sehem salama sana. Ukitaka kujua how angalia viongozi wa Marekani walioingia madarakani wakiwa na mtizamo tofauti na hicho kikundi... Hawakukaa mda mrefu walipotezwa. Mfano nenda kauchukue kwa marehem John Kennedy "JFK" Prezdaa wa 35 hapo US.

Wangetupa Moja Kila mkoa aseee ...ndege 400 SI mchezo .... Tuwaulize PRONATOAMERICA ndege ngapi za Urusi zimezuiliwa ulaya !!??Mia nne nyingi sana. Wangetupatia sisi japo 5 tu
Dunia ichangamke kidogo ilipoa sana. ..North Korea launched what is believed to be a ballistic missile towards the Sea of Japan - Japan Coast Guard.View attachment 2214961
Swali jingine ni, Urusi anasema nn kuhusu misaada kwa Ukraine kutoka USA na nchi washirika? Lina madhara kwake au halina madhara? Anafanya nini kuhusu hilo?Pro puttin watakusifia ila naomba nikupe challange:
Mnaosapoti urusi mnakubali kuwa USA ni wazuri sana katika propaganda, na mm nasema mpo sahihi, sasa kama wote tunakubaliana kuwa USA ni wazuri kwa propaganda tunatakiwa pia tukubali kuwa sio kila tunalosikia ndilo linalofanyika.
Swali la kujiuliza ni, Ukraine bila USA na Washirika wake wangekuwa na upinzani kwa Urusi mpaka sasa?
Swali jingine ni, Urusi anasema nn kuhusu misaada kwa Ukraine kutoka USA na nchi washirika? Lina madhara kwake au halina madhara? Anafanya nini kuhusu hilo?
Aseee sikujua kumbe wewe ni mweupe kiasi hiki ... Marekani ana companies ngapi private military /Mercinery, hivi unajua jeshi la watu 600,000 !!?? Aseee hii nchi Ina wajinga wengi sana ..na wewe ni Mmoja wao tena unaweza kuwa na cheo Cha juu sana kati ya wajinga wa nchi hii....Mmeamka salama ?
Wagner jeshi binafsi lililoajiriwa na Urusi kupigana vita huko Ukraine, linasema kuwepo / na uongezwaji wa Askari vinginevyo tutashindwa vita. Yaani urusi itashindwa vita. Na Wagner wanafikiri kwamba wanahitajika asikari laki 600,000 hadi laki 800,000 kuwashinda Waukraine.
Hiki ndiyo pia kimelikera sana jeshi la Russia, kitendo cha Wagner kuletwa battleground halafu wanapigana huku hawapo chini ya jeshi la Russia bali some people in Kremlin
Wakati huo huo Italy meli ya Putin ilikuwa imejikita ufukweni ikiwa na mashushushu wanaofanya kazi Kwa kuisaidia Urusi imekamatwa na mitambo kadhaa wanaanza uchunguzi dhidi yake
View attachment 2214987
Maswali yako yote yanalenga kuonyesha kuwa USA ni adui, sawa. Nakubali. Ila swali ni kwann Urusi anampa USA anachotaka? Vita vya muda mrefu ndani ya ardhi ya Ukraine.Swali jingine ni, Urusi anasema nn kuhusu misaada kwa Ukraine kutoka USA na nchi washirika? Lina madhara kwake au halina madhara? Anafanya nini kuhusu hilo?
Hapa duniani kuna kitu hiki wanakiita International Laws, ila bahati mbaya kuna Nchi kwao hizi sheria huzichukulia as if wao ndio Sheria...
Kilicho kwenye Interest zao ndio sawa na kisicho sio kwao si sawa.
Weapons supplied by US and It's allies hakuzuii chochote katika advancement ya Jeshi la Russia hapo Ukraine labda kikubwa ni kuichelewesha.
Kauli ambayo imetoka upande wa Russia kuhusu hizo silaha ni kua are legitimate target... na tumeona zikiharibiwa kila kukicha kitendo cha hizo silaha kushindwa kufika frontline wakibaki weupe.
Madhara naeza sema yapo haswa kwa jeshi la Ukraine sio kwa Russia. Kwasabab wanajeshi wakutumia hizo silaha hakuna. Wanalazimishwa Raia ambao hawana hata ule uzoefu wa matumizi ya hizo silaha matokeo yake inakuwa kama suicide mission.
Namnukuu mmoja wao baada ya kujisalimisha anasema "I was conscripted into the army on March 1, straight from my workplace, as the martial law was declared. My employer threatened me: “Either you go to war, or you get fired”. I am not a military man, I did not want to fight, so I surrendered."
Fikiria huyo ni mmoja je wapo wangapi mfano wake?
How many are going to die, US ili atimize malengo yake?
Na me nikuulize maswali...
La kwanza, Kwanini US nad It's Allies hawataki kutumia diplomasia kuumaliza huu mgogoro zaidi wanatumia silaha na kuchochea kuni kwenye vita ambavyo fika wanajua hawawezi kushinda?
La pili, Kwanini US aligomea kutoa Security Guarantee aliyoomba Ukraine katika Negotiations ila anazidi kutuma silaha kila uchao?
La tatu, Unafaham kama bomba la mafuta linaloelekea Europe linapita Ukraine na Hawa Ukraine wanapokea about 800Mil dollar kwa mwezi kama Transit fee? Yet wanataka Europe waiban ila wao kila mwezi wanaweka pesa mfukoni?
La nne, Nje kidogo ya mada... ila utaelewa kwanini nakuuliza. China kwa US ni adui yake. Hongkong duniani kote yafahamika kua ni Special Administrative of China. Unaweza fikiria reason behind US kufadhili Protestors wa Serikali hapo Hongkong?
La tano, nje ya mada vile vile... Solomon Islands wameingia treaty na China katika mahusiano yao ya kiusalama. Australia na US wanatishia kuipiga Solomon wakidai ni hatari kwa usalama wao... Solomon Islands hii ambayo ipo thousands of mile kutoka kwenye nchi hizo... Unaeza kutusaida sababu?
La sita, mara kwa mara tumekuwa tukisikia muungano tofauti tofauti wa ki'military ambayo inaamzishwa na US, Mfano nje ya NATO kuna hii AUKUS... ushajiuliza wanaungana kujilinda dhidi ya nani? Na vipi kama dunia ikijaa matabakanya design hii... tutaeza kua na Amani tunayoitangaza?
La mwisho nisikuchoshe, this way ambavyo kunakua na mataifa ambayo yanakua au kujiweka juu ya sheria kisa wako powerful na no one can question matendo yao against others. Ndivo ambavyo dunia yapaswa iwe? Tunawezaje kupata accountability na transparency kama wote tutajificha chini ya mwamvuli mmoja unao'force lake ndio liwe sheria?
Upo sahihi kabisa. Yaani Dunia ilishaanza kupoa hadi ilifika kipindi nikajiuliza tupo Duniani kweli au tumeshasogea kidogo kule pasipo na usiku wala mchana. Sasa kwa hii amsha amsha ya Ukraine Vs Russia, Mara North Korea kajaribu kombora inaonyesha vibe halisi.Dunia ichangamke kidogo ilipoa sana. ..
Unapendekeza iwe lugha gani?Nihibitishie ndo lugha gan umeandika
😂😂😂😂 Nakubali Pro Russia, leo umesikia Kuna Meli zingine mbili zimezamishwa