Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hujasikia kwamba rais fulani alipokea Pole kwa matatizo katika nchi yake? Ingawa kwa kawaida si rais anayeumia?
je ni kweli lazima kubishana kuhusu mambo ya kitoto vile???
 
Yugoslavia ilivamiwa na baba yako sio?

We jamaa unajitia mjuaji sana.
Yugoslavia haikuvamiwa na yeyote. Yugoslavia ilikuwa shirikisho la jamhuri na sehemu zake ziliachana mwaka 1992. Serbia ilijaribu kwa muda kutwaa maeneo ya jamhuri jirani kama Kroatia na Bosnia, na hapo sehemu za jeshi lake zilianza kuua Waislamu wengi wa Bosnia. Hapo nchi za Ulaya ziliingia kati, lakini hazikuvamia, zilitumia jeshi la anga.

Sasa eleze wewe kwa nini unaleta Yugoslavia nikitaja mfano wa mkataba wa Helsinnki kuhusu usalama na ushirikiano katika Ulaya ambako ncho zote za Ulaya zilipatana
1) mipaka ndani ya Ulaya isibadilishwe tena kwa nguvu
2) kila nchi ina haki kuamua yenyewe kama inataka kushirikiana au kutoshirikiana na nchi nyingine.

Wakati ule Serbia (si Yugoslavia) ilivamia nchi jirani ikajaribu kubadilisha mipaka. Sasa Putin anavamia nchi jirani anajaribu kubadilisha mipaka.
Pamoja na kuzuia nchi jirani isichague ushirikiano wake na nchi nyingine.
 
Nimesomaaaa nikafika Hapo "Nasikia nchi nyingi"... Hearsay ndio unatuletea Kama facts ...
 
Maoni yangu leo juu ya Tamasha la Victory Day la Russia Federation.

Nimeitizama kuanzia mwanzo hadi mwisho, kuna kitu niliki'note ingawa sikutaka kukurupuka kukisema immediately baada ya tukio.

Ila kabla siku haijaisha wacha niseme ya Moyoni.

[emoji95] Katika wakati ambao dunia ipo katika "Chaos", isingekuwa busara ku-show off full military capabilities ya Vifaa vya kijeshi kwenye Gwaride kwani ingeleta tafsiri as if Russia anafanya vitisho to the rest of the world...

Na hiki tunafurah hakijatokea, this show how Russia inaongozwa na Viongozi wenye hekima na wako humble.

[emoji95] Media zote kubwa zilikuwa zikieneza habari kua Putin will make some major announcements hii leo kwenye Victory Day. Wengine walienda mbali zaidi kudai kua leo Putin ata'declare war wazi wazi kwa Ukraine.

Lakini kawa-outshine with their wrong predictions, katoa nice speech with zero announcements ya any kind related to War. None at all... Hapa kaonesha wazi namna alivo systematic kwa kutochanganya his military policy with Holidays.

[emoji95] Na katika hiki kipindi ambacho "Truth is first Casualty"... Kujizuia kutozungumza mengi kuhusu Ukraine zaidi ya kile kidogo alichozungumza kwangu mie naona ni busara ya hali ya juu...

Kwasababu kila neno lingebinuliwa na kubadilishwa uhalisia wake...

Na it look like western walikuwa wamejipanga kwenye hii Victory Day, maana ajab huko YouTube all western Mainstream Media I know zilikuwa live kurusha matangazo hayo moja kwa moja...

Ikumbukwe ni jana tu ahead of victory day walitangza kwamba Russia Army wameua watoto zaidi ya 600... Kama kawaida yao ku-demonize RF na ku'divert attention ndio Priority yao.

[emoji95] Kwa ufupi nilichokisia toka kwake katika hotuba yake kaeleza sababu haswa za kuendesha military operation hapo Ukraine, akapongeza advancement inayofanywa na jeshi lake ila zaidi akipongeza achievement of the Soviet people during World War 2.

Na nahisi lau ka hizi MSM zingeiona hotuba yake kabla zingeunyuti [emoji23]... hapa naona kama wameishobokea huku walichokitarajia kama kauli za vitisho na chokochoko za kupamba headlines zao sicho walichokipata...

Life z too funny indeed [emoji847]
 
Nimesomaaaa nikafika Hapo "Nasikia nchi nyingi"... Hearsay ndio unatuletea Kama facts ...
Sidai kwamba mimi mwenyewe ni mtaalamu wa mambo hayo. naona Marekani wanasema mafunzo ya wiki 22 kupokelewa katika jeshi la vifaru, ila hii si timu bado iliyo tayari, si mafunzo kwa kamanda. Jisomee hapa
Ila nashukuru unakubali makadirio yangu kuhusu idadi ya vifaru vinavyopatikana hali halisi....
 

Tunatoka Jf mpaka tiktok falla sana wewe mtoto. Huko tiktok ndo unapatia taarifa zako ndo unazileta humu jf. Dogo inaishusha hadhi jf huku kuna critical thinkers afu unataka niamin kwmba akili yako ipo sawa. Endelea kujitiktok dogo mimi ni mzee mzima situmii hiyo mitandao.

Ndomana tunasema daily huu uzi umevamiwa na watoto msio na uelewa wowote na vita, kama tiktok ndo source ya taarifa zako dogo nenda jukwaa la mapenzi tu huku hakukufai kabisaa unajaza uzi tu.
 
Haya ndio matokeo ya demokrasia "wayaoitangaza" ....
 
Kumbe kushambulia nchi nyingine kwa mashambulizi ya anga sio uvamizi?

Kama Nato walikuwa na haki ya kuzihami kosovo iweze kujitenga ili kuondokana na unyanyasaji wa Serbia, basi na Urusi ina haki ya kuihami Dombas ili iondokane na uonevu wa Ukraine.
 
imekuaje, nasikia victory day speech ya putin ilikua ya dakika nane tu. the war is taking a toll on him already or what?
 
Leo putin kawapiga chenga ya mwili, walitegemea angetoa hotuba ya vitisho ili wapate cha kubwabwaja ila wameambulia patupu.
 
Hivi kama NATO walikuwa na plan ya kuivamia rusia, kwa nini hawajaivamia sasa hata kwa kuwatumia ukraine kama proxy? hivi kuna wakati mzuri wa kufanya uhuni kama huu?

Actions za Putin hazina tofauti na late Mugabe, he is a dying man. He fears democracy wants to pull him down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…