Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi asahau hatuwezi fanya nae Tena biashara kwani tunampa pesa anazigeuza kua silaha kuua binadamu Tena watoto

Mwendawazimu mkubwa
Unaxhezeshwa ngoma usiyo ijua. Inakupasa kama unasusa utengeneze bidhaa zako na sio uhame kutoka kwa beberu mmoja kwenda kwa beberu mwingine. Wote unao wasikia huko wanatetea maslahi yao. Hakuna anayetokwa povu huko ambaye yupo kwa ajili ya maslahi ya mwafrika
 
This is scrap metal to say the least.Yaani the West wameifanya Ukraine kuwa damping ground for WWII obselete millitary hardware!Shameful indeed.
Kumbe! Nisipokosei Ukraine iliweza kutumia hiyo "scrap" mara nyingi kuinua vifaru, ndegevita na kadhalika za Putin kufikia ngazi ya "scrap".
Skrepu!!!!

(halafu: ukipenda kunakili tovuti za Marekani, si vibaya ukikumbuka hakuna "damping ground" - ni "DUMPING GROUND". Ona maelezo : damping, in physics, restraining of vibratory motion, such as mechanical oscillations, noise, and alternating electric currents, by dissipation of energy. Unless a child keeps pumping a swing, its motion dies down because of damping. Shock absorbers in automobiles and carpet pads are examples of damping devices.
Bila asante, ushauri wa bure!!)
 
πŸ‡ΈπŸ‡ΎπŸ‡»πŸ‡ͺπŸ‡·πŸ‡ΊTalks on the recognition of the Lugansk People's Republic (LPR) are underway with Syria, Venezuela and a number of other countries, the LPR ambassador to Russia, Rodion Miroshnik, said in an interview with Sputnik.
 
Nimekuuliza op yako 821kj hujanijibu naongea na mtu ambae hana exposure. Tatizo lako unakaza tu shingo but uwezo mdogo sana. Mtu mwenye defence mechanism eti ( msamie shemeji yako ) inaonekana jinsi ulivyo kilaza kuzani kuwa kila mtu anaishi kwa shemeji yake kama ulivyo wewe. Kwanza shika adabu yako mimi sina ushabiki wa kipumbavu eti "pro nato'' sina huo utoto. Unajifanya kichaa kujua kuwa mitandao yote ya kijamii ni rahisi mno kusambaza propaganda kuliko vyombo rasmi vya habari. Nyuma kidogo radio zilikuwa propaganda machine na magazeti hata kipindi cha Adolf Hitler magazeti yalitumika kuoneza propaganda za wanazi. Nchi nyingi zenye socialist elements wana propaganda sana include russia, mwanzoni Russia alifanya propaganda ( alifanya military drilling kalibia kabisa ni mipaka ya ukraine ) alipoambiwa anapanga uvamizi alikataa, mwisho kilichotokea mpaka leo kinaonekana. Note, kufanya propaganda ndani na nje ya uwanja wa vita nilazima kwa ajili ya kuongeza morale kwa askari.
 
Jaribu kujifunza matumizi ya paragraphs.
Langu ni hilo tu.
 
Bloomberg si hasimu wake na mrusi(mmarekani) kweli una mwamini hata kama mrusi ana shida kwenye uchumi atamwombea iwe mara kumi zaidi ya uhalisia πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…