Acha ubishi usio kuwa na maana yeyote, sheria ya kupiga marufuku ushoga kwenye shirikisho la Urusi ililejeshwa mwaka 2014 na hili jambo lilizua mzozo na ukosoaji kutoka nchi za magharibi.Tafadhali utaje jina la sheria, tarehe yake na kifungu. Sidhani ni kweli. Mimi naona walikuwa na kifungu 121.1 katika sheria ya jinai iliyokataza kuingiliana kati ya wanaume. Kifungu kilifutwa mwaka 1993.
Mnapata muda wapi wakuzitafuta hizo. Mwanakijiji yaani hata weweee kweli unashabikia haya mamboView attachment 2218897 Comrade Brezhnyew na Comrade Dubcek wa CSSR
Bila Shaka mambo yanayoendelea ukraine ni proxy war since the westerners have been arming ukraine. Under this situation am curious with Russia's military superiority on her complain over western aggression. Does the victor complain?We all are already dying and we will be dead for too long. Au unahisi wewe hutokufa!?
NATO wanataka kuivamia Urusi ila hawawezi na hawatoweza. Couple of cowards bunching up won't scare the Bear
The Russian federal law "for the Purpose of Protecting Children from Information Advocating for a Denial of Traditional Family Values," also referred to in English-language media as the gay propaganda law[1] and the anti-gay law,[2][3][4][5] is a bill that was unanimously approved by the State Duma on 11 June 2013 (with just one MP abstaining—Ilya Ponomarev),[4] and was signed into law by President Vladimir Putin on 30 June 2013.Tafadhali utaje jina la sheria, tarehe yake na kifungu. Sidhani ni kweli. Mimi naona walikuwa na kifungu 121.1 katika sheria ya jinai iliyokataza kuingiliana kati ya wanaume. Kifungu kilifutwa mwaka 1993.
Ni kweli kabisa.one time Russia will attack LPR after LPR wish to join NATO
Mkuu Kuna watu humu unaweza kuchemka kichwa kwa sbabu ya kuwajibu au kuwaelimisha,hawajui vitu lakini wanajifanya wanajua.Ni vyema kuuliza kama hujui.
Nchi zilizoingiliwa kinguvu na NATO/US huzijui!? Ama kweli
Nato ilianzishwa kwa sababu ya urusi au USSR!?
Ulisikia wapi MKUU !!!??Samahanini nina swali.
Nilisikia May 9 Putin atatoa tangazo kuhusu hii vita na wengi waliamini anatangaza all out war.
Naomba kujua kama ametoa tangazo lolote
Asante, unathibitisha nilichoandika. Hakuna sheria inayokataza matendo ya kishoga nchini Urusi. Sheria iliyokuwepo ilifutwa 1994. Sheria ya mwaka 2014 inahusu kulinda familia ya kimila ilikataza kutangaza au Kusini hadharani njia mbadala za kuishi pamoja.The Russian federal law "for the Purpose of Protecting Children from Information Advocating for a Denial of Traditional Family Values," also referred to in English-language media as the gay propaganda law[1] and the anti-gay law,[2][3][4][5] is a bill that was unanimously approved by the State Duma on 11 June 2013 (with just one MP abstaining—Ilya Ponomarev),[4] and was signed into law by President Vladimir Putin on 30 June 2013.
Basi wewe unamwona Putin, mimi namwona putin tu.Namaanisha Putin huyuhuyu ambaye mnamuogopa kizazi cha nato/us
Labda Urusi ya MwanarumangoBwana Putin anatawala tangu miaka 20. Hadi leo hajaleta sheria inayopiga marufuku matendo ya kishoga ambayo so marufuku Urusi. Tafadhali tusitangaze mambo yasiyo na msingi.
Haya yako ya kumpinga Putin ndio yenye msingi?Je una msingi wowote kwamba NATO inataja kuvamia Urusi? Kwa shabaha gani??
Tafadhali tusilete hapa mambo yasiyo na msingi.
Inawezekana. Ushoga ni biashara kubwa dunianiKumbe hata wew unachangia urusi kufanya uovu kwa kuwapa hela!
Kutokujua kwako hakuondoi ukweli wa NATO kuwa waharibifu wa duniaHadi leo sijui mfano kwamba NATO iliingia nchi fulani. Ninachojua kuna nchi ambazo zimejiunga na NATO kwa hiari yao.
Ninajua nchi zilizoingiliwa kwa nguvu na Urusi. (CSSR 1968, Hungaria 1956, Georgia, Poland 1939, Latvia - Estonia 1940, sasa Ukraine).
Ninavyoelewa ilikuwa tabia hiyo ya Urusi iliyowafanya wengine kushikamana na kuanzisha NATO.
Leta source pleaseSasa ni vita ya jumla ya Russia kuichukua sehemu yote ya jimbo la Donbas ili kuunganisha uzuri jimbo la Crimea na sehemu ya kusini mashariki.
Tayari kuna tishio duniani la upungufu wa chakula baada ya Russia kuizuia Ukraine kusafirusha vyakula kwenda sehemu mbalimbali duniani.
NATO kuanzishwa ilikuwa shauri la USSR. Nchi nyingi kutaka kujiunga na NATO shauri la Urusi.Ni vyema kuuliza kama hujui.
Nchi zilizoingiliwa kinguvu na NATO/US huzijui!? Ama kweli
Nato ilianzishwa kwa sababu ya urusi au USSR!?
Ndoto za Alinachaone time Russia will attack LPR after LPR wish to join NATO
Mashoga na wafuasi wao watakapoacha kuishabikia UkraineOperation inaisha lini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Huu ni mwezi wa 2 tangu phase 2 ianze na Bado Donesk iko vile vile
Unamjibu jamaa anayekupa mifano jinsi Urusi ilivamia nchi nyingine. Huna jibu.Kutokujua kwako hakuondoi ukweli wa NATO kuwa waharibifu wa dunia
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app