Usidhani naandika nasinzia.Leta source please
Nenda dukani angalia bei. Unadhani bei za vyakula zinapanda kwa sababu ya uwingi wa chakula?Leta source please
Mbona unalitetea kwa nguvu sana hili jambo inaonekana na ww ni mdau nn?Asante, unathibitisha nilichoandika. Hakuna sheria inayokataza matendo ya kishoga nchini Urusi. Sheria iliyokuwepo ilifutwa 1994. Sheria ya mwaka 2014 inahusu kulinda familia ya kimila ilikataza kutangaza au Kusini hadharani njia mbadala za kuishi pamoja.
Natumaini tofauti inaeleweka.
Your definition of 'complaining' is vagueBila Shaka mambo yanayoendelea ukraine ni proxy war since the westerners have been arming ukraine. Under this situation am curious with Russia's military superiority on her complain over western aggression. Does the victor complain?
Kuna kitu umerukaNATO kuanzishwa ilikuwa shauri la USSR. Nchi nyingi kutaka kujiunga na NATO shauri la Urusi.
Maana Poland, Latvia, Lithuania, Estonia, Hungaria wote wanakumbuka jinsi walivyoshambuliwa na Urusi kabla ya kuwepo kwa USSR, kuwa koloni za Urusi, kushambuliwa tena na Urusi kwa jina la USSR, hawakuwa na hamu kuona marudio.
Asante, unathibitisha nilichoandika. Hakuna sheria inayokataza matendo ya kishoga nchini Urusi. Sheria iliyokuwepo ilifutwa 1994. Sheria ya mwaka 2014 inahusu kulinda familia ya kimila ilikataza kutangaza au Kusini hadharani njia mbadala za kuishi pamoja.
Natumaini tofauti inaeleweka.
Huyo raisi wa Ukraine sasa analia kilio cha mbwa koko.Eti umemchokoza mtu halafu unaomba akuhurumie au unatafuta msaada kwa watu ili asiendelee kukupigaUsidhani naandika nasinzia.
Chanzo hicho kutoka Aljazeera, soma.
Zelenskyy calls for international help to end Odesa blockade
Russian missiles hit a shopping centre and a depot in the key Black Sea port, killing one person and injuring five.
Ukraine and its allies have intensified efforts on how to unblock ports or provide alternate routes for exporting its significant crops of grain, wheat and corn [File: Valentyn Ogirenko/Reuters]
Published On 10 May 202210 May 2022
Russian forces have pounded the southern Ukrainian port of Odesa with missiles, killing one person, as Ukraine’s President Volodymyr Zelenskyy called on the international community to take immediate steps to end the Russian blockade of the country’s ports in order to allow wheat shipments and prevent a global food crisis.
In Odesa, the major Black Sea port for exporting agricultural products, missiles hit a shopping centre and a depot, killing one person and injuring five others, Ukraine’s armed forces said on Facebook on Monday. Video footage from the scene showed fire and rescue workers combing through piles of rubble, dousing still smoking wreckage.
Ukraine and its allies have intensified efforts to unblock ports or provide alternate routes for exporting its significant crops of grain, wheat and corn, a lifeline for many countries relying on these staples.
Ulisikia kutoka wapi?Samahanini nina swali.
Nilisikia May 9 Putin atatoa tangazo kuhusu hii vita na wengi waliamini anatangaza all out war.
Naomba kujua kama ametoa tangazo lolote
Uzuli wa Russia wanapiga kwenye uti wa mgongo pingili baada ya pingili. Mpango wa kwenda kuichukua Kyiv direct waliona si wakati wake......Huyo raisi wa Ukraine sasa analia kilio cha mbwa koko.Eti umemchokoza mtu halafu unaomba akuhurumie au unatafuta msaada kwa watu ili asiendelee kukupiga
Leo hiii wafunge kokiG7 wameshasitisha manunuzi ya gas na oil kutoka Russia??
Tena mji mmoja ambako watu wengi wanaongea kirusi. Tena Warusi Waukraine wanaofundishwa na Putin kwamba anakuja kuwaokoa, wapende wasipende, hata kama ni lazima kuwaua.
🇷🇺🇺🇦Briefing by Russian Defence MinistryNenda dukani angalia bei. Unadhani bei za vyakula zinapanda kwa sababu ya uwingi wa chakula?
Utaratibu wa uchumi ni kinyume. Bei inapanda wakati vitu ni haba. Tanzania hali si vibaya mno kwa sababu nchi ilkuwa na mavuno mazuri ya vyakula mbalimbali. Nchi nyingine kama Somalia, Ethiopia ni balaa.
Ukorofi wa Putin unaleta njaa duniani.
Samahani nilisahau jambo gani zuri la USSR katika topics tulizojadili?Kuna kitu umeruka
Nato ilianzishwa kwa sababu ya ussr kabla ya urusi kwa nini ilipovunjika ussr bado nato ilizidi kuwepo!?
Kuzidi kuwepo na kuzidi kujitanua ndipo kumeifanya urusi iwe korofi. Na urusi kiwa korofi ndio chanzo zha nchi hizo kutaka kuingia nato, bado nato hakwepi lawama.
Ni kwa nini unaihusisha habari ya ukoloni wa ussr na urusi!? Ussr ndio alikiwa mkoloni au urusi!?
Jambo baya la ussr unalirithisha kwa urusi jambo zuri la ussr haulifikishi kwa urusi. What a sick logic
Yule kamanda wa mwanzo alifanya makosa makubwa.Kumbe kichwa cha adui unacho halafu unakwenda kupiga makalio kwanza.Uzuli wa Russia wanapiga kwenye uti wa mgongo pingili baada ya pingili. Mpango wa kwenda kuichukua Kyiv direct waliona si wakati wake......
Sasa si mnaona jamaa anavyobweka kwa sauti kubwa kumbafu huyu
Wanaanzaje sasa, Japan mmoja wao huyo kesha wagomea.G7 wameshasitisha manunuzi ya gas na oil kutoka Russia??