mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Urussi kwisha habari yake, zana nzito zimefika donbass. Hii inaitwa M777s na inaweza kupiga sehemu yeyote ndani ya 40km radiusView attachment 2219221
How?!God bless America
Hahahaha msianze kulalamika kesho..Urussi kwisha habari yake, zana nzito zimefika donbass. Hii inaitwa M777s na inaweza kupiga sehemu yeyote ndani ya 40km radiusView attachment 2219221
Alieanzisha vita anaweza kuimaliza hata kesho akitaka bila kujali Westerners wanapeleka silaha au la. Elewa kuwa Ukraine inaji defend itself. Haitaki vita.Waambieni westerns waache kutuma silaha Ukraine, Vita iende mezani wayamalize.
Mgogoro wa Russia na marekani unawagharimu machawa wote[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mpumbavu ni wa kumpuuza, alivyo mjinga anajidai anaishi Moscow Russia.Wewe jamaa huu
mwe
Wewe jamaa huu mwezi kama hujapata vidonda vya tumbo sijui..maana akili yako unawawazia vibaya hao warusi, uko negative tu.Umekua totally biased kabisa....kwa comments zako UKRAINE ni mtakatifu Russia ni jambazi....kitu ambacho hakiwezekani.Hawa wote wanamaungufu yao..na humu kama jamii huru kifkra tunapaswa kutoa maoni yetu kwa mtazamo huo...Hapo umetoa negativity nyingine kuhusu Russia..inawezekana kweli au si kweli.maana huaminiki tena..vipi mbona Ukraine hujawekadata zake tuone jinsi inavyofanya vizuri? Hii operation ya Urusi imetufungua vingi sana kuhusu ulimwengu huu..lkn pia kuhusu uwezo wa watu humu jamii forum..kumbe wengi chenga tu, hakuna professinalism,zaidi ni mihaba.Akiingia mtu mpya humu hawezi jifunza chochote sababu ya mentality ya baadhi ya watu humu.
Zishafika front line DonbassWamalize kuwafundisha kuzitumia alafu wawape wajenazo front si tunawasubiri.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Una uhakika june watajiunga?? Kila siku mnapeleka siku mbeleunajuwa maana ya JUNE ?
Hizo process zinachukua muda gani?maomb yq kujiunga NATO sio kama mipango ya kuivamia Ukraine , Kujiunga NATO ni process
Tupo hapa!Urussi kwisha habari yake, zana nzito zimefika donbass. Hii inaitwa M777s na inaweza kupiga sehemu yeyote ndani ya 40km radiusView attachment 2219221
Kwani ushindi wa vita unapimwajwe? Maana kuifuta ulaya in 30min kama inawezekana lazima kuna side effect .Nchi zote za ulaya pamoja na Marekani kamwe hata zifanye Nini hazitaweza kuishinda Russia kijeshi.....yule mkuu wa Mambo ya anga wa Russia juzi alihojiwa na kuweka wazi kuwa nusu saa kwa maana ya dk. 30 zinatosha kwa Russia kuzifuta katika ramani ya dunia nchi zote za NATO...baada ya kauli hiyo nchi za west zimefuta mahojiano hayo kwenye mitandao yote...
Kumbe Asovstal wanajiamini kuruka. Sehemu nyingine za Ukraine bado wanaogopa kuingia, wanarusha tu roketi kwa mbali. Tuone akiba yao itadumu hadi lini.
Unapenda hao wenye makelele? Usiwe na wasiwasi, anajua vema kwamba angeweza kuangamiza za Ulaya, lakini anajua pia akitoa amri hiyo, ameamua pia kufuta Moscow na Petersburg na miji mingine ya Urusi kutoka ramani . . . .Nchi zote za ulaya pamoja na Marekani kamwe hata zifanye Nini hazitaweza kuishinda Russia kijeshi.....yule mkuu wa Mambo ya anga wa Russia juzi alihojiwa na kuweka wazi kuwa nusu saa kwa maana ya dk. 30 zinatosha kwa Russia kuzifuta katika ramani ya dunia nchi zote za NATO...baada ya kauli hiyo nchi za west zimefuta mahojiano hayo kwenye mitandao yote...
Kasikilize tena uliposikia, bila shaka utapata majibu mkongwe.Samahanini nina swali.
Nilisikia May 9 Putin atatoa tangazo kuhusu hii vita na wengi waliamini anatangaza all out war.
Naomba kujua kama ametoa tangazo lolote
'Hii ndo Mara yangu ya kwanza kuskia pikipiki vitani' alafu kuna kina Bwana Utam watakuja kulike hii post alafu waseme urussi imebarikiwa na wachambuzi. Jf imejaa wajuaji sana.Hawa jamaa hawajai kua Serious na hawatokua Serious abadani... Wameanza kutumia pikipiki za Umeme π. Hii ndio mara yangu ya kwanza kusikia matumizi ya pikipiki vitani π€
View attachment 2219229
Ama kweli "Ukraine is Winning"
View attachment 2219230
This is like being sentenced to death on a bike π, hata jeshi letu la mgambo lisingefanya hivi, hapo charge ikiisha ndio kwamba anatembea kwa miguu ama π€
Another blood show, people dying for sh*t...
Pole sana mkongwe!!!Kumbe Asovstal wanajiamini kuruka. Sehemu nyingine za Ukraine bado wanaogopa kuingia, wanarusha tu roketi kwa mbali. Tuone akiba yao itadumu hadi lini.
Hakika Ukraine si mtakatifu, hata kidogo!! Ila katika ugomvi huu Urusi ndiye "mjambazi". Urusi ndiye anayevunja mikataba (Helsinki 1975, Minsk 1994), anavamia nchi nyingine ambayo haikushambulia Urusi, analeta kifo na uharibifu.Wewe jamaa huu
mwe
Wewe jamaa huu mwezi kama hujapata vidonda vya tumbo sijui..maana akili yako unawawazia vibaya hao warusi, uko negative tu.Umekua totally biased kabisa....kwa comments zako UKRAINE ni mtakatifu Russia ni jambazi....kitu ambacho hakiwezekani.Hawa wote wanamaungufu yao..na humu kama jamii huru kifkra tunapaswa kutoa maoni yetu kwa mtazamo huo...Hapo umetoa negativity nyingine kuhusu Russia..inawezekana kweli au si kweli.maana huaminiki tena..vipi mbona Ukraine hujawekadata zake tuone jinsi inavyofanya vizuri? Hii operation ya Urusi imetufungua vingi sana kuhusu ulimwengu huu..lkn pia kuhusu uwezo wa watu humu jamii forum..kumbe wengi chenga tu, hakuna professinalism,zaidi ni mihaba.Akiingia mtu mpya humu hawezi jifunza chochote sababu ya mentality ya baadhi ya watu humu.
Pole ya nini?? - Naona uwezekano huu upo.Pole sana mkongwe!!!
Kwahiyo waendelee kupiga mpaka akiba yao ya mabomu ikate, sio!?
ππππ