Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Although the enemy is only a few miles away, the villagers of the north of kherson Oblast PLANT GARDENS, HELP THE UKRANIAN ARMED FORCES, AND DREAM OF PEACE.

I PRAY FOR PEACE FOR THE PEOPLE OF UKRAINE.
 
Huku masahibu yanayoipata Ukraine yakiwa wazi kwa ulimwengu kutokana na maamuzi yaliyokuwa hayakuwa ya ulazima wala hekima,Finland nayo kila siku inasisitiza kutaka kujiunga na umoja wa NATO. Nasikia raisi wa nchi hiyo ni mwanamke.
Sikumbuki ni nchi gani, lakini kuna nchi ya umoja huo wanasema watapiga Kura ya veto kupinga Finland kujiunga NATO
 
Matilda Bogner, the head of the United Nations Human Rights Monitoring Mission in Ukraine, said there is “credible” information regarding the mistreatment of Russian prisoners by Ukrainian troops during the war.

“We have received credible information of torture, ill-treatment and incommunicado detention by Ukrainian Armed Forces of prisoners of war belonging to the Russian armed forces and affiliated armed groups,” Bogner said on Tuesday.
 
Sikumbuki ni nchi gani, lakini kuna nchi ya umoja huo wanasema watapiga Kura ya veto kupinga Finland kujiunga NATO
Rais wa Kroatia anataka kuzuia Finland na Uswidi kujiunga na NATO, lakini huyu si kiongozi wa serikali; bunge la Kroatia inatarajiwa kukubali.
Halfu: Rais wa Finland Sauli Niinistö si mwanamke, waziri mkuu ni mwanamke.
 
Mbabe wenu ameshasema hatatoa onyo bali ikibidi watajikuta mavituuz yakitua kwenye ardhi yao. Na wasitegemee OP. Bali vita kamili

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo wakishafuta mahojiano ndio watakuwa wamefuta hizo silaha!!!
Hakika mabeberu wameshikika[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya Kwanza mzungu anaichukulia afrika kama mshirika na Siyo nyani 😄😄😄😄
Kwa bahati mbaya si mara ya kwanza. Katika kipindi kabla ya ukoloni wafanya biashara wa watumwa walitegemea kabisa wafalme Waafrika waliokamata watumwa na kuwauzia. Hao wazungu waliwatendea kwa heshima kubwa kwa sababu waliwahitaji na kuwategemea. Wafalme wa Dahomey walituma mabalozi Ureno kwa sababu Wareno walikuwa wateja wao bora.
 
Da ,kufuta ni kuepuka taharuki kwa raia wao.aisee!
 
Mbabe wenu ameshasema hatatoa onyo bali ikibidi watajikuta mavituuz yakitua kwenye ardhi yao. Na wasitegemee OP. Bali vita kamili

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Mbabe aseme tu. Baada ya matokeo hafifu ya jitihada za jeshi lake huko Ukraine, hofu imepungua sana. Wote wanaelewa hana uwezo sasa, nje ya silaha za nyuklia ambazo hawezi kutumia.
 
Putin ni kama mwanamke, alikuwa anapiga kelele eti nato isijipanue zaidi eastern europe na kwamba waondoe majeshi yao, wakati huo sweden na finland walikuwa hawataki kujiunga nao,

leo, eastern europe is the most militarized region in the world,
finland and sweden will soon be nato members.

an opposite of what putin wanted.
 
Wanataka wafanane na Chuck Noris

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…