Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Walikuwa wanasubiri nini kufanya hili mapema?Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Kaka jaribu kusoma unachonakili. Hakuna taarifa ya Uhindi. Gazeti moja la Kihindi linarudia taarifa ya jeshi la Urusi. Je unaelewa tofauti?India yaripoti kuwa ujinga wa Zelensky umeigharimu pakubwa Ukraine baada ya Zelensky kushauriwa na Uingereza kutuma kikosi maalumu kwenda kukomboa Snake Island (kisiwa cha Ukraine) toka mikononi mwa majeshi ya Russia hali iliyopelekea kikosi hicho maalumu kuangamizwa chote pamoja na kuharibiwa vyombo na zana zao za kivita.
Ktk operesheni hiyo ya Zelensky iliyofeli vibaya, Ukraine imepoteza drone 30, ndege 14 (helicopta 10 na ndegevita 4), melivita 3 na wanajeshi wake bora zaidi ya 50.
View attachment 2220161View attachment 2220163
View attachment 2220162
Ukraine inanyeshewa kila kona. Utakuta mnato mmoja analalama.
View attachment 2219880
***** kwa hiyo sisi hatupo duniani
Naive'Bad weather ' indeed [emoji854]
ajichangànye akatwe kichwa na wamagharibi haoni wenzake wanarukaruka huku na kule.Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Fafanua huo 'unyonge' uliouona wewe ' mtaalamu wa masuala ya magwaride ya kijeshi'Sherehe ilikuwa ya kinyonge sana
Ushindi ni ushindi tu hata kama unarika ruka unaangalia weak point ya mwenzako unammaliza umeshinda.My dear strategy yako inaweza kuwa ya kubahatisha na ikasuinda ndio maana watu wenye mipango minginhawafiki mahali.Nionyesha Professor ambaye ni tajiri namba 1 mpka 20 ndio ujue kujua kwingi wala mipango sio kufanikiwa wala ushindiajichangànye akatwe kichwa na wamagharibi haoni wenzake wanarukaruka huku na kule.
Ni sawa na mtoto kushika mfuniko uliofunika nyama kuujaribu kuufunua kwa nguvu ila akili mwake anajua akifunua vibaya anamwaga nyama zote. Kinachofa ni kipigo na kukosa nyama.
Mbinu za vita baba saa yoyote una change strategy based on the situationWalikuwa wanasubiri nini kufanya hili mapema?
Unakumbuka kuhusu nord stream2???Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Naona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
raia wa magharibi watamuua aiseeUshindi ni ushindi tu hata kama unarika ruka unaangalia weak point ya mwenzako unammaliza umeshinda.My dear strategy yako inaweza kuwa ya kubahatisha na ikasuinda ndio maana watu wenye mipango minginhawafiki mahali.Nionyesha Professor ambaye ni tajiri namba 1 mpka 20 ndio ujue kujua kwingi wala mipango sio kufanikiwa wala ushindi
Mbinu baba ,Zelensky kaamua kama iwe mbwa na iwe wote watashangaa kupigana na comedy. Maana mpaka Tz inashangaa mafuta juu na hatupigani na shangaa kwa nini hatutafuti Rubi kulipa ya Urusi mweee dunia ngumu hii wala simlaumu ZelenskyHiyohiyo gesi ya Urusi ndio inaendesha viwanda vya silaha vya nchi za magharibi ambazo anazipokea ili aweze kupambana na Urusi.
Putin ndio wanakazana kumwua au kumwondoa Mark my word. Najua washabiki wa Putin hawataki kusikia.raia wa magharibi watamuua aisee
Mbinu za vita baba saa yoyote una change strategy based on the situation
Pigo kwa EuropeNaona pigo la mwisho kwa URUSI .Ukraine yakataa bomba la gesi na mafuta inalopita Ukraine wanaliondoa .Ikumbukwe gesi na mafuta yanayoenda Europe bomba linapita Ukraine. Sasa Putin aendelee na vita mwenzake hamnazo kameambia Putin akangoe bomba lake apitishe bahatini au kwenye ndege zake au vifaru.
Mara ngapi shida wana mum underestimate sana Zelensky. Kibongo bongo wanasema ukicheza na mijinga atafanya lolote he has nothing to loose now nyie ndio mnashida ya.mafuta na kulia lia na January Makamba.Hapo atapigwa vibaya sana Ukraine
kwani Putin ndio kakata bomba.Putin ndio wanakazana kumwua au kumwondoa Mark my word. Najua washabiki wa Putin hawataki kusikia.
Kama hawamsaidii anakata wote mpaka Putin utashangaa anaungana na Zelensky soon haaaa watu wanaomshabikia Putin hawataki hii habariKukata bomba la gas ni mbinu ya kivita?? Afu unajiita mchambuzi. Hawana kiburi cha kukata coz hiyo gas inakwenda kwa mashoga zake hawawezi mruhusu kufanya huo ujinga bado wanaihitaji gas ya mrussi. Hizo ni kelele tu hana hicho kiburi.
Zelensky mkuu .Comedian wetu.kwani Putin ndio kakata bomba.