Ooh, ookey😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ndio inaingia maktaba... bado mpya mpya kabiiisa. Kalisema hili leo baada ya US Congress kuidhinisha zile B40
Khaviv has been liberated, on that side the russian military has been pushed behind and now they have reduced themselves to guerrilla warriors, ambushing and running back to Russia.
Wamarekani walimtaka Biden wenyewe,ngoja wawe screwed up,na bado.America is fast disintergrating and will soon become a third World country!Na sio kwamba this is wishful thinking,the NWO has planned it that way.Tunaprint tu[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2220952
HahahahaKumbuka kuna robots humu haiwezekani mtu mmoja awe active katika majukwaa yote! Yaani kila uzi ye anachangia!
Trust me. Kuna Members ni noma Robots zenyewe zinafika wakati zinashangaa na kuanza kujifunza kutoka kwao.Kumbuka kuna robots humu haiwezekani mtu mmoja awe active katika majukwaa yote! Yaani kila uzi ye anachangia!
Leta hela nikuwekee 30000Habari wanajamvi,
Katika uchunguzi nilioufanya wa nyuzi zipi huwekwa kwenye timeline ya jamii forums App na kuonekana kwa watu wengi zaidi, nimegundua issue ya Trophy points
Kwa sababu members wenye trophy points 2000 kama vile wakina Bujibuji Simba Nyamaume ,Smart911 ,Mshana Jr ,Invisible na wengine wengi, nyuzi wanazozitengeneza zimekuwa zikipata replies nyingi zaidi na kuonwa na watu wengi pia ukilinganisha na members wenye trophy points chache kama mimi ambao nyuzi zetu huonwa na kuchangiwa na watu wachache!
Kwa wale wazoefu, hizi trophy points ni kitu gani? Na ni kipi kinachopelekea kuongezeka kwa hizo trophy points?
Dawa yako ni kukupiga block
Wekeni hata kavideoWewe jiulize kwa nini oparation yao on snake Island failed miserably na kupoteza ndege helicopter na meri wakati ili ongonzwa na kuratibiwa na Wingereza with 50 elite highly trained military personal
Wanapita kama hawaoniRussia leo kachezea kichapo heavy hana hamu,vyombo vya Kimataifa vimeripoti ushindi na ku advance kwa jeshi la Ukr leo [emoji116]
View attachment 2221023
View attachment 2221024
Hio stori ya snake island ni uongo usisumbukane nao..Wekeni hata kavideo
Sisi tumeweka video tukionesha tulichofanya huko snake island
Umezungumza vyema.Now The French are admitting that Ukraine’s bid to join the European Union could take several years and probably several decades. Decades often means never.
Meanwhile West continues to make claims about the slow progress of the war wrt Russian operations only westerners don't appear to be asking themselves why Russia has never once stated any timescales to achieve what they consider to be their objective and goals.
I think Westerners are failing to grasp that the longer the war goes on the blowback in terms of the sanctions is only going to get worse and in terms of any future peace agreement it is only going to strengthen Russian demands and weaken the position of Ukraine and its government.
More I can say is that, One of the fundamental problems in the west is policy decisions are made by politicians, advisers and academics who live in illusionary bubbles and have zero grasp of reality. They reduce everything to theoretical or ideological conceptual thinking and it is doomed to fail.
Anyone with different view, you are welcome. Let's argue with fact no MATUSI plz.
MmeanzaLeta hela nikuwekee 30000
Yaani nipo Group moja la Telegram la mjeda aliopo Kazini kwakweli kunatisha yaan Wanajeshi wa Ukrein wanachapika vibayaView attachment 2221212kutokea uwanja wa vita kharkov angalien vijana wa ukraine walivyo lazwa
View attachment 2221213mwanajesh wa urusi akilikamatia mzinga wa panzer fault kutoka ujerumani