Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii akili kweli ama matatizo kichwani! Unanyang'anya chakula raia wako ili ubadilishane chakula hicho na silaha Tena silaha zenyewe outdated! Wakati kupigana kwenye kunahitaji raia na askari walioshiba.

Jisomee wenyewe habari hii ya nchi ya Zelensiky! Amenisikitisha sana.
======
In exchange for weapons and illusory prospects of becoming a member of the “European family”, the Kiev regime is dooming its own people to a protracted food crisis.

After the launch of the Russian military operation in Ukraine, Russian forces blocked the access to the Ukrainian vital seaports in the Black Sea. Before the war, around 5 million tons were shipped each month through the Black Sea. One of the main goods exported from Ukraine were grain crops for Europe.

This became another pretext for accusing Russia of provoking the food crisis in the West. However, a brief analysis of the policy of the Kiev regime and the decisions announced by the United States and European countries predict a long-planned famine in Ukraine.

US President Joe Biden attempted to reassure the Americans that there is no threat of food crisis in the country as the grain can be easily taken from the war-torn Ukraine. He claimed that there are 20 million tons of grain in Ukraine, and now the issue of its export is being resolved. In his opinion, this will help bring down world food prices.

Video Player


00:00

00:12



On May 11, the European Commission will consider a strategy that would address technical and bureaucratic initiatives to speed up the shipping of vegetable oils, corn and wheat, some of Ukraine’s key exports, people familiar with the discussions said Bloomberg.

Europe intends to export crops by rail and , since the seaports are blocked by the Russian Black Sea Fleet. The problem is that the export capacity of the railway is low. Ukraine’s products also face a myriad of phytosanitary measures and quotas for land transport that complicate their ability to pass through various member states to their final destination, Bloomberg sources reported.

These are the main problems that the EU is set to resolve as soon as possible.

Meanwhile, giant columns of grain carriers are spotted in the Moldovan port of Giurgiulesti on the Danube. Hundreds of trucks are exporting grain from the territory of Ukraine to the EU countries.

“This reminds me of 1941, when Hitler exported grain from the USSR, took it out — and then attacked. So we export grain to Europe, so that they then take us for a naked ass, cold and hungry,” the author of the video comments.
Video Player
The price the Kiev regime pays for the supply of weapons and financial support of its allies is too high.

According to the official Ukrainian data, the total amount of wheat produced in 2021/2022 MY amounted to 32,4 million tons. Based on the analysis of exports over the last five seasons (2016-2021), Ukraine exports about 80 percent of its wheat. About 6 million tons traditionally remain on the domestic market. This year, about 26 million tons were designated for export.

According to the Ukrainian statistics, since the beginning of the season, which started on July 1 2021, and as of December 15, exports of crops and grain legumes from Ukraine already reached 28.7 million tons. Wheat exports accounted for 56%. Until December 15, at least 16 million tons of wheat were exported.

During the period from December 15 2021 to February 24, 2022, exports continued in full via the usual logistics chains. After the closure of the sea ports, exports did not stop, but were reoriented to land channels. Only railways allow to export about 1.1 million tons of grain per month. Millions of tons are transferred by trucks. According to the most conservative estimates, from December 15 to May 10, at least 6 tons of wheat were additionally exported.
The entire harvest of 2021 MY was already exported and used for the needs of the Ukrainian domestic market.

Various Western sources, including US President Biden, declare the need for the immediate export of additional 20 tons of wheat from Ukraine. This is grain from Ukrainian strategic reserves in the amount of at least four months of wheat consumption by the domestic Ukrainian market.

In the context of the impending global food crisis provoked by the Western sanctions against Russia and disruption of supply chains, the United States and European countries are aiming to replenish their reserves, thanks to the crops taken from the Ukrainian people.


The policy of the Kiev regime reveal clear signs of famine planning in Ukraine. Amid the ongoing military operations, the sowing season was disrupted in many of Ukrainian regions. The male part of the population were called up for military service, some regions are under control of the Russian Armed Forces. Moreover, the spring of 2022 is significantly colder than in 2021. Not to mention the dysfunction of the agricultural sector, which was sharply reoriented to foreign consumers to the detriment of the Ukrainian market.

Regardless of the developments on the frontline, the harvest in 2022-2023 MY will be much smaller.

At the same time, other branches of agriculture in Ukraine also faced crisis phenomena long before the start of military operations.

According to the Ukrainian statistics, egg production decreased by 13.5%, milk – by 5.8%, meat – by 2%, wool by 6.3%. According to the Association “Union of Poultry Farmers”, Ukraine imported eggs from Belarus in July – August 2021 for the first time since 1991.

The number of various agricultural animals also critically decreased:
• Cattle – by 6.9% (2.93 million cattle heads):
• pigs – by 4.7% (5.83 million heads):
• sheep and goats – by 5.9% (1.19 million heads).

According to experts of the Association “Pig Breeders of Ukraine”, the cattle breeding in Ukraine has already passed the point of no return in 2021 and “the restoration of the livestock is almost impossible.”

As of November 2021, the food prices in Ukraine increased by almost 15%. In 2021, bread has increased in price by 18.9%, dairy products by 15.2%, meat products by 15.4%, sugar by 20.4%.

It is obvious that such a policy of the Kiev regime will lead to a critical shortage of food by the autumn-winter of 2022-2023.

A similar situation took place in the USSR in the early 1930s, when the young Soviet state, weakened by the First World War and the Civil War, was forced to export large volumes of grain, including wheat, to the United States and other Western countries, including Germany. In 1930-1031, the USSR exported about 2.5 million tons per year.

In 1932-1933, the agrarian policy of the USSR, which caused a crop failure, led to famine in Russia, Ukraine, and Kazakhstan. The number of deaths in Ukraine amounted to 3 million 917.8 thousand people, Russia — 3 million 264.6 thousand, Kazakhstan — 1 million 258.2 thousand people, in total 8 million 731.9 thousand people throughout the USSR.

In 2023, the tragedy may be repeated in Ukraine because of Kiev’s policy. Russia will once again be declared the culprit of the Ukrainian famine.
===
Chanzo: SF.com
 

Make mie nichekeee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Vipi Pro NATO mliokua mnasema Germany anaban Energy kutoka Russia mpo wapi?? hio ndo imeisha Mrussi anaupiga mwingi sana.

Nilitaka shangaa yani uache gas ya bei chee kutoka Russia? EU mwaka huu wamepigwa na kitu kizito sana[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Subira ya aina sio nzuri.Mtu anayekufanyia ubaya kwa pembeni huyo ni adui yako pia.
 
Mchawi lugha
 
Kifaru
Kifaru Cha T14-Armata hakijawa deployed Kwenye combat na kimebaki tu kwenye maonyesho Kwa sababu utengenezaji wake ni ghali sana na Uchumi wa Urusi upo kwenye mwambo mkali sana🤔
 
urusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.

Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.

Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?

Russia kama ana ubavu avamie NATO members

Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
 
Kuna muda unajiuliza US amewapa limbwata gani hao watu wa EU, nchi kama Germany ilikua inakua vzr kiuchumi pale ulaya, lakini from no where wanagombanishwa na urusi ambaye ni supplier wa bidhaa muhimu ya mishati kwenye uchumi wa Germany. Sio kwamba Germany hawajui, wanajua sana kinachoendelea ila wanatii maaamuzi ya US... hii ulaya ya saizi ni ya mchongo.

Medved alisema last month kua, ulaya watalazimika kuishi na makombora ya nyukilia mlangoni ikiwa Finland na Sweden watajiunga Nato, Russia wanaona kua ili wawe salama ni lazima nao wasogeze adui mlangoni kwao kama wao wanavyosogezewa. Natamani hatua kama hizi US azipate kama ilivyokua kwa Cuba miaka ya 1960s..

Russia aanze kufund vikundi vya wahuni pale mexco, Venezuela na cuba.. nna uhakika watakaa meza moja tu ku bargain.
 
Tena Uiengereza amejifanya ndie msemaji wa jeshi la Ukraine.Kilaa baada ya masaa anatoa takwimu za kipropaganda kuivunja moyo Urusi na kuwapa matumaini jeshi la Ukraine. Putin amekuwa mtu wa huruma sana.
mwezi wa tatu huu mambo ndo kwanza yapo fire na hii ngoma haiishi leo wala kesho na misaada kama yote kwa ukraine, urusi kyeiv keshakimbia, meli zake zinalipuliwa, vikwazo vya uchumi vinaongezeka, china, india, brazili wawana msaada wowote wa maana india mjanja sana huyu kanunua mafuta ya russia kwa bei ya promotion yaan ndo utajua kweli india means business wakati mwenzie ana shida kapiga hapo hapo kwenye mshono, makampuni ya china nayo yananza kujiondoa russia aisee kuna mtu anatema bungo muda si mrefu.
 
Russia aanze kufund vikundi vya wahuni pale mexco, Venezuela na cuba.. nna uhakika watakaa meza moja tu ku bargain.
Russia hana hela na ushawishi wa kuvifund hivyo vikund, misaada gani ya maana ambayo ameshawapa crimea na wengine anaotaka wajitenge? hela ni ulimbo sasa now russia kapigwa kabali ya kiuchumi hali ya maisha russia ishakuwa tete
 
Russia hana hela na ushawishi wa kuvifund hivyo vikund, misaada gani ya maana ambayo ameshawapa crimea na wengine anaotaka wajitenge? hela ni ulimbo sasa now russia kapigwa kabali ya kiuchumi hali ya maisha russia ishakuwa tete
Hana hela? Ndivyo mnaongopewa na west media? Kule Syria alitumia mawe? Kawaulize US.
 
Eti Ameshawahi, karne hii ya 21 Unaleta mambo ya ameshawahi upo very Outdated... Huyo Uk kabaki jina tu kama Mwenzake Germany zama zao ziliishia 2nd World war..
Russia ana Uwezo wa kumfuta Uk sio kwamba watu wanabahatisha kama wewe mzee wa alishawahi ila ujue kua Hakuna member yeyote wa nato anyeweza kusogeza pua yake peke yake mbele ya russia hata huyo Usa hawezi peke yake . Jeuri yote hii inakuja baads ya kujua wapo tagi.
Nato combined wana Nuclear Warheads 6065 While only Russia ana Nuclear Warheads 6255.
 

Sio kuweka vikwazo SI walipue tu Hapo Ukraine Poland na Bulgaria Ili wamzuie kusambaza ulaya... ndio watajua Kwa Nini MKUKI HAUPIGWI KONZI.
 
Nakazia

1.Huo u PLATINUM MEMBER unaupataje?


2.Na siku hizi kuna alama ya tiki✔ kwa baadhi ya Member, hiyo alama inamaanisha nini?
 
Kifaru

Kifaru Cha T14-Armata hakijawa deployed Kwenye combat na kimebaki tu kwenye maonyesho Kwa sababu utengenezaji wake ni ghali sana na Uchumi wa Urusi upo kwenye mwambo mkali sana🤔
Naona ni kweli unachosema, ila pamoja na hayo hali halisi hawana kifaru hicho maana hawakuweza kutengeneza zaidi ya labda 20.
 
Habari ni nini? Wamesema hiyohiyo tangu miaka 40 walipoanzisha uhusiano wa kibalozi na China bara.
Wamesema hiyohiyo na kuwapa Taiwan silaha ili waweze kujitetea.
Hakika China haina mpango kushambulia Taiwan sasa, hawako tayari, hata kama wangependa.
Kushambulia Taiwan si rahisi vile jinsi ilivyokuwa kwa Urusi huko Ukraine, maana kuna bahari na umbali wa kilomita 160. Bila shaka Taiwan walitazama vizuri sana jinsi manowari za Urusi zinabadilishwa kuwa nyambizi . . . . na China inatazama pia. Roketi ndogo yenye bei ya $ elfu kadhaa inaweza kuzamisha meli yenye thamani ya milioni nyingi...
 
We ndo hujaelewa kuwa Urussi sio Zimbabwe.
Kabla ya special opperation Urussi ilishajua what is going to happen against them so walishajipanga kitaambo. Walijipunguzia Utegemezi kwa nchi nyingine na na ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa ina self sufficient Economy, Products wanatengeza wenyewe power yakutosha, Energy ipo, Technology ndo balaa So Maybe hizi Sunction zingemuathiri sana russia labda angekuwa anategemea Kuimport Mafuta na gas na commodities nyingne, Sana sana wanumia wenyewe na hizo sunction zao.
 
Ukiziangalia nchi za Ulaya na Viongozi wao utapata majibu kwanini CIA wako involved na kila kiongozi wa juu wa nchi wa maeneo hayo.

Holding someone weakness ni rahisi sana kumtawala na hicho ndicho US anachowafanyia hao viumbe. Anawachonganisha na jirani yao, hivyo badala ya kufocus kwenye uchumi wao wanahamia kuangalia zaidi ulinzi wao. Which z nonsense at all.

Inasikitisha kuona nchi zinazoitwa za werevu duniani wanabaki wakiimarisha uhasama na nchi ambayo wanashare nae bara kisha wanaenda kutengeneza urafiki na nchi ambayo ni adui wa jirani yao.

Just kama sie tutengeneze uadui na jiran zetu kenya kisha tukaweke urafiki na nchi kama Morocco ambae ni adui wa kenya kisha tumlete akae hapo Arusha jirani kabisa na Kenya then tutegemee Kenya ku'go ease with us.

Nataman sana Wakaziweke hizo Nukes hapo Kaliningrad labda kidogo watapata akili kua Russia sio adui kwao bali wanagombanishwa na kulishwa chuki ambazo zinawaathiri zaidi wao na kuineemesha washington.

Russia ni kubwa kieneo, ina extend from Europe to Asia, ana alot of alternatives juu ya wapi akae au ajihusishe nako. Then vipi kuhusu EU? Apart from being a home of large financial institutions kipi kingine wanaeza fanya bila kutegemea nchi zingine?

Kama kuanzia kile kinachoenda kwenye matumbo yao hadi vile vinavyoingia kwenye viwanda vyao wanafanya ku'imports?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…