Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Aseee......eti Na huyu ni Great thinker..,urusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.
Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.
Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?
Russia kama ana ubavu avamie NATO members
Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
Kaka mbona unaandika kuhusu mambo ambayo huelewi punje. Bila shaka Urusi inaweza kuangamiza Uingereza, lakini haitafanya vile, kwa sababu Uingereza peke yake (bila msaada wa Marekani) inaweza kuangamiza Urusi vilevile.Eti Ameshawahi, karne hii ya 21 Unaleta mambo ya ameshawahi upo very Outdated... Huyo Uk kabaki jina tu kama Mwenzake Germany zama zao ziliishia 2nd World war..
Russia ana Uwezo wa kumfuta Uk sio kwamba watu wanabahatisha kama wewe mzee wa alishawahi ila ujue kua Hakuna member yeyote wa nato anyeweza kusogeza pua yake peke yake mbele ya russia hata huyo Usa hawezi peke yake . Jeuri yote hii inakuja baads ya kujua wapo tagi.
Nato combined wana Nuclear Warheads 6065 While only Russia ana Nuclear Warheads 6255.
Hili jambo kweli hata mimi nimelisikia.Hata hivyo kwa nini Rwanda wakubali upuuzi huu is a trillion dollar question.Kwanza kanchi kenyewe kadogo.Nahisi Kagame kakatiwa kitu.Yaani haiingii akilini kabisa,mwenzio kitu kakikataa halafu wewe unakikubali!Kwanza wewe hujiulizi,kwa nini yeye akikatae akusukumie wewe?Ni uzuzu of the highest order frankly.African leaders,shida tupu,yaani hawajali maslahi ya nchi zao kabisa.Dada zake Zelensky waliozamia Uingereza kupitia Ireland wanaletwa Rwanda kwa PAKA kuishi...haya team Putin tujiandae tukawaoe hao dada zake Zelensky
View attachment 2221230
Saaafi, na hizo ni Nuclear war heads tu pekee, rudi nyuma angalia ukaribu wa EU na Russia kisha angalia distribution ya hizo Nukes kwa kila nchi, then pima in case ikitokea la kutokea. Nani atakaetangulia kuchomoka kwenye uso wa Dunia.Eti Ameshawahi, karne hii ya 21 Unaleta mambo ya ameshawahi upo very Outdated... Huyo Uk kabaki jina tu kama Mwenzake Germany zama zao ziliishia 2nd World war..
Russia ana Uwezo wa kumfuta Uk sio kwamba watu wanabahatisha kama wewe mzee wa alishawahi ila ujue kua Hakuna member yeyote wa nato anyeweza kusogeza pua yake peke yake mbele ya russia hata huyo Usa hawezi peke yake . Jeuri yote hii inakuja baads ya kujua wapo tagi.
Nato combined wana Nuclear Warheads 6065 While only Russia ana Nuclear Warheads 6255.
Russia Kamshindwa ukraine mpaka sasa ndo amuweze UK? alishindwa na wachechen, alishindwa na afganistan ndo atamuweza UK? hivi nyuklia yeye atakavyokuwa anabonyeza button wenzake watakuwa wanamuangalia tu? halafu wingi wa silaha peke yake sio unaoamua mshindi wa vita kuna vitu vingine vingi tu so kuwa warheads nyingi sio issue UK kamsaidia ukraine zana za kawaida kabisa na zinalipua vifaru vya urusi na urusi hana hana la kufanya.Eti Ameshawahi, karne hii ya 21 Unaleta mambo ya ameshawahi upo very Outdated... Huyo Uk kabaki jina tu kama Mwenzake Germany zama zao ziliishia 2nd World war..
Russia ana Uwezo wa kumfuta Uk sio kwamba watu wanabahatisha kama wewe mzee wa alishawahi ila ujue kua Hakuna member yeyote wa nato anyeweza kusogeza pua yake peke yake mbele ya russia hata huyo Usa hawezi peke yake . Jeuri yote hii inakuja baads ya kujua wapo tagi.
Nato combined wana Nuclear Warheads 6065 While only Russia ana Nuclear Warheads 6255.
Yaaaan mashoga hawaaaaa cjui Akili humalizwa na kupumuliwa mgongoni????mwezi wa tatu huu mambo ndo kwanza yapo fire na hii ngoma haiishi leo wala kesho na misaada kama yote kwa ukraine, urusi kyeiv keshakimbia, meli zake zinalipuliwa, vikwazo vya uchumi vinaongezeka, china, india, brazili wawana msaada wowote wa maana india mjanja sana huyu kanunua mafuta ya russia kwa bei ya promotion yaan ndo utajua kweli india means business wakati mwenzie ana shida kapiga hapo hapo kwenye mshono, makampuni ya china nayo yananza kujiondoa russia aisee kuna mtu anatema bungo muda si mrefu.
NATO wametumia siku ngapi hapo Afghanistan na bado wakashindwa?Russia Kamshindwa ukraine mpaka sasa ndo amuweze UK? alishindwa na wachechen, alishindwa na afganistan ndo atamuweza UK? hivi nyuklia yeye atakavyokuwa anabonyeza button wenzake watakuwa wanamuangalia tu? halafu wingi wa silaha peke yake sio unaoamua mshindi wa vita kuna vitu vingine vingi tu so kuwa warheads nyingi sio issue UK kamsaidia ukraine zana za kawaida kabisa na zinalipua vifaru vya urusi na urusi hana hana la kufanya.
Kichaaaaa huyoooAseee......eti Na huyu ni Great thinker..,
Una uhakika nguvu aliotumia NATO ni sawa na hii ya Russia kwa Ukraine?[emoji16]NATO wametumia siku ngapi hapo Afghanistan na bado wakashindwa?
Did Russia told you time line ya Operation yao ambayo unaitumia kama Reference ya kushindwa kwao?
Na usikwepe swali, jibu kila swali nililokuuliza.
Tafuta hela acha kulalamikia vitu vya maanaHabari wanajamvi,
Katika uchunguzi nilioufanya wa nyuzi zipi huwekwa kwenye timeline ya jamii forums App na kuonekana kwa watu wengi zaidi, nimegundua issue ya Trophy points
Kwa sababu members wenye trophy points 2000 kama vile wakina Bujibuji Simba Nyamaume ,Smart911 ,Mshana Jr ,Invisible na wengine wengi, nyuzi wanazozitengeneza zimekuwa zikipata replies nyingi zaidi na kuonwa na watu wengi pia ukilinganisha na members wenye trophy points chache kama mimi ambao nyuzi zetu huonwa na kuchangiwa na watu wachache!
Kwa wale wazoefu, hizi trophy points ni kitu gani? Na ni kipi kinachopelekea kuongezeka kwa hizo trophy points?
GudHa ha ha aa! Tumia Google translator utapata kiasi.
Jibu swali kama lilivoulizwa, usipindishe ku'divert attentions.Una uhakika nguvu aliotumia NATO ni sawa na hii ya Russia kwa Ukraine?[emoji16]
Swali lako linategemea na nguvu ama ukubwa wa operation/vita.Jibu swali kama lilivoulizwa, usipindishe ku'divert attentions.
Uturuki/Ottoman pia alishawahi kutawala sehemu kubwa duniani, Roman pia waajemi/persian uk ss hv kolo tu.urusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.
Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.
Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?
Russia kama ana ubavu avamie NATO members
Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
Jibu swali mbona unakwepa kijana...Swali lako linategemea na nguvu ama ukubwa wa operation/vita.
It's different kwenye hizo operation,
Malkia hawez kubal bom za urus zitue ndan ya miji yake lazima makubaliano yapatikane kwa namna yoyoteurusi uwezo wa kumpiga uk hana kashindwa kuimaliza ukraine mwezi wa tatu huu itakuwa uk ambaye ameshawahi kutawala robo tatu ya dunia? na ambaye ana ugunduzi mwingi duniani tena wa kutisha tunaousoma toka primary? mbona silaha za uk za msaada zinaharibu vifaru vya urusi na hana la kufanya, halafu urusi anatishia nyuklia as if anayo yeye wakati uk us na canada kupitia manhattan project walishakuwa na hizo kitu kitambo tu na live test ikafanyika japan na urusi mwenyewe kapata ujuzi wa nyuklia kwa wizi wa taarifa from us.
Kabla hata vita havijaanza Nato walishasema hawatopeleka majeshi yao ukraine kwa kuwa hiyo itakuwa ni direct confrotation na russia na kwa kuwa tupo kwenye civilized world hawataki hilo litoekee.
Hivi huyo urusi si meli yake maaufu imelipuliwa na kyev si katimuliwa?
Russia kama ana ubavu avamie NATO members
Huko syria mpaka sasa us yupo ananyonya tu oil
Rwanda yenyewe iko overpopulated na ni mhanga mkubwa wa ukimbizi. Hizo 26k sq km ambazo ni kama theluthi tu ya mkoa wa Tabora ndo njaa inamuwashawasha apokee wakimbizi? Tena Toka dunia ya kwanza ambayo ina other better options.Tamaa mbaya Mr. PK.Hili jambo kweli lipo,ila kwa nini Rwanda wakubali upuuzi huu is a trillion dollar question.Yaani mwenzio kitu hakitaki wewe unakikuli!Unajua,haiingii akilini kabisa.Kwanza wewe hujiulizi,kwa nini yeye akatae,akusukumie wewe?Ni uzuzu of the highest quality.