Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bad News [emoji21]

[emoji409] Natural gas prices in Europe have increased markedly after Russia imposed counter-sanctions on a number of energy companies. The Wall Street Journal writes about it.

Gas futures in the Netherlands rose 11% on Thursday, while gas prices in the UK rose 15% and electricity prices in Germany rose 11%. Although the cost of "blue fuel" is below its March highs, it is still 4 times higher than a year ago.
 
Mfano wa uvamizi wa urusi nchini Ukraine Afrika tunajipanga ama tupo gizanitu.
Wanasemaga mwenzako akinyolewa......!

US ndio anaongoza kwa kuvamia vamia nchinyingine na wenzake wanafuatia kama tunavyo shuhudia sasa, yani niubabe tu.

Naskia China nao wanafanya mazoezi katika maeneo yanayo zunguka Taiwan.

Russia wakiweza kuidhibiti Ukraine yote huo mchezo utaendelea.

Ninamashaka kunataifa lita kujakuvamia Nchi mojawapo ya Africa na wengine watakaakimya.
Baada ya hapo kilamwenye nguvu atavamia nchianayoiweza na kuichukua kwanguvu.

Dunia inaelekea kubaya sana.

Watu wanamakombora yana lenga shabaha umbali wa zaidi ya kilometa 2000.
"Hatuponi"
 
US yupo kwenye mpango wa kutengeneza kombora moja linaitwa "gay bomb" Gay bomb - Wikipedia Hapa ndio utajua Dunia imefika pabaya mno basi tu. Mgunduzi wa hilo kombora akajinyakulia tuzo Gay bomb and BMJ authors win prizes

Nikiona kijana anaishabikia US huwa najiuliza maswali mengi sana juu yake... Vyoko kama Kokoriko 😂 dah
 
Ushabiki ukizidi unaweka ubongo uwe katika default mode(autopile mode)
We disire something to be true though it's not true!
 
Tufanyaje sasa sisi Africans tulojaa umimi,uzandiki,usaliti ivi aiwezekani kwa mfano nchi ukaingia makubaliano na RUSSIA kiulinzi alafu tukaanza upya kuandikishana mikataba ya rasilimali zote tulizonazo kwa faida yetu.
 
Exclusively for the RT military chronicle - analytics on the situation in Ukraine on May 12

The most important and expected news of the day is the assault on Severodonetsk. It started from the side of Rubizhne. The first 12 extreme houses are occupied there, the battles are of medium intensity. At the same time, an offensive began from Popasnaya to the north, which indicates a real threat of encirclement of the Severodonetsk-Lisychansk group of the Armed Forces of Ukraine. The battles for Belogorovka continue. The Russian Armed Forces manage to gain a foothold on the right bank of the Seversky Donets and keep the Soledar-Lysichansk highway under fire, the movement and supply of reinforcements for the APU group along which is now impossible.

In order to realistically imagine what kind of load is placed on the forces of Russia and the LDNR, you need to understand that the length of the front line is about 300 km, and if you take into account all the fortified areas and the real accumulation of manpower, then all 600 km.

The Snake Island still haunts the Kyiv regime. Bayraktar was shot down there again today.

The Kremenchug Oil Refinery was hit again.

Cleansing continues at Azovstal, part of the territory has already been liberated. The remainder are subjected to rocket and bomb strikes.

 
Austrian Chancellor Nehammer has threatened to take away a gas storage facility in Salzburg from Gazprom if it is not filled with fuel, local media reported.
 
The number of Britons living in poverty could reach 1 million next year.

This forecast is published by Bloomberg, citing data from the National Institute for Economic and Social Research NIESR.

The preliminary amount of state support for households, which will avoid these consequences, is estimated at £4.2 billion.

Analysts believe that the UK economy is experiencing one of the most serious shocks due to anti-Russian sanctions, with rising prices and tight labor markets leading to record inflation.

According to NIESR, inflation in the country will reach 14.4% by the end of the year, which will be the highest rate in the last 40 years.
 
Urusi ni Taifa lililoendelea Lakini Bado Kuna rushwa sana.Usikute ni upigaji mpaka jeshini askari wanakuwa na zana duni.Halafu waliidharau UKRAINE ndio kimewapata hicho!
Hata kama aisee wao wanajua kuwa wako vitani na mtu anayesaidiwa na wengi na hapo hapo wanajua kuna AWACS za NATO na US angani muda wote, afu wanavuka kizembe
 
Latvian deputies are somewhat naive people. They think if they destroy the temple, then the faith will go away, that these people can be forced not to come on May 9th. They will come to an empty place with flowers"

Kirill Vyshinsky @vyshinkv, Executive Director of MIA Rossiya Segodnya, commented on the decision of the Latvian authorities to demolish the monument to Soviet soldiers-liberators in our stream Beautiful Russia Boo-Boo-Boo.

“May 9 is such a secular Soviet Easter. By their death, millions trampled down death and made it possible for generations to live.

And when the "Immortal Regiment" appeared, everything worked out absolutely. Here it is - the procession. People go with icons, it's just that each family has its own icon.

It is almost a belief that memory cannot be destroyed, especially if it is bought at the highest price - the price of life.
 
Calvin Klein released an underwear ad featuring a pregnant trans man for Mother's Day. Users on social media are confused:

"I promise never to buy their products again";

"World has gone mad";

“Does this really bring in new customers or, more likely, lead to a boycott? I will definitely never buy their products again."
 
Us na washirika wake sio wakushabikiwa wao ndio wameanzisha huu mpango waubabe kuvamia nchi kama Iraq na hata Libya.
Na hawakujali kelele za mtu yoyote sasa akitokea mbabe mwingine nae aki act kama US ndio mwanzo wa kilambabe kujikatia nchiyake.
Kumbuka kinacho piganiwa Ukraine ni maslahi.
Mbele ya safari wakiona nguvu zao zinalingana wanaweza kuamua kugawana kilammoja avamie anapoweza na ajitwalie lasirimali kama ilivyokuwa Uingereza na ujerumani walivyo gawana zamani.

Ushabiki wa namna yoyote kwa wazungu niupumbavu sababu haowatu hawana habari na sisi, tunajipendekezatu.
 
Tufanyaje sasa sisi Africans tulojaa umimi,uzandiki,usaliti ivi aiwezekani kwa mfano nchi ukaingia makubaliano na RUSSIA kiulinzi alafu tukaanza upya kuandikishana mikataba ya rasilimali zote tulizonazo kwa faida yetu.
Mbaka tuwe na mtu mwenye maono ya kujitegemea kiuchumi ndio tutaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…