Frustrated and thwarted, What's the problems with you?Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi. Vyanzo mbadala vinapatikana...
Bado hayo majimbo hayabebeki kirahisi kwani Ukraine ataendelea na vita kabambe vya kuyakomboa.Waziri wa mambo ya nje wa Russia ameionya Finland kwamba iwapo itajiunga na NATO ,Russia haitasita kuchukua hata za kijeshi.
Linkhttps://edition.cnn.com/2022/05/12/europe/finland-leaders-join-nato-intl/index.html.
...
Frustrated and thwarted, What's the problems with you?
Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi.
View attachment 2222334 Is that 7% to you right? ProNATO mna tatizo Gani?
[emoji23] Block?Sikuiona Comment ya jamaa nimemla block, Huwa sijui anawaza kwa kutumia nini. Finland Gas ni 94 yote anatoa Russia, Oil 68 yote atoa Russia.
Eti mbadala, kama wanaopokea below 30% wamekosa yeye mwenye 68 atautolea wapi? Bangi zingine bana [emoji23]View attachment 2222336
Ukrop Nazis wanashinda mno ase 🤗[emoji23] Block?
Ok I heard that Ukrops are winning so hard that they only lost 4 towns within 48hour and Russia has reached Severodonetsk.
They keep winning, that's impressive.
“I am fully responsible for what I say. There on the spot I witnessed war crimes. I’ve seen a lot of war crimes. I am talking only about those that I saw myself on the spot, and only those that were committed by the Ukrainian military. But not the Russian military… I do not claim that the Russians did nothing… But I confirm the war crimes committed by the Ukrainian military.” he said.
“Azov fighters are everywhere. With neo-Nazi stripes. It shocks me that Europe supplies weapons to neo-Nazis. The symbols of the SS are embroidered everywhere on their uniforms. They not hide their views. They advertise them. I worked with these people and treated them. They openly say that they are ready to destroy blacks and Jews,” he added
Argentina ana mzozo wa kihistoria na Uingereza!Tetesi za chini chini Argentina atakua member wa brics ngoja tusubiri muda ni mwalim mzuriView attachment 2222365
Mambo yanakwenda kinyume Kabisa maatarajio ya PutinKwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi. Vyanzo mbadala vinapatikana. Viongozi wanajua wanachofanya. Wananchi wanadai nchi iingie NATO.
Putin anapata kitu ambacho hakutegemea.
Mwezi wa Februari asilimia 20 za wananchi walipenda kujiunga na NATO. Hali imebadilika tangu uvamizi na taarifa kuhusu jinai za Urusi huko Bucha. Sasa ni asilimia 70 wanaopenda nchi iiingie NATO.
Hakuna cha mtego wala nini ni uoga tu unaowafanya wajikusanye kila mara. Mwanaume yuko peke yake hana wasiwasi.Waziri wa mambo ya nje wa Russia ameionya Finland kwamba iwapo itajiunga na NATO ,Russia haitasita kuchukua hata za kijeshi.
Linkhttps://edition.cnn.com/2022/05/12/europe/finland-leaders-join-nato-intl/index.html.
Hapo hapo Finland keshasaini mkataba baina yake na UK endapo atashambiliwa na nchi yoyote UK ataingia direct kumsaidia Finland katika kipindi chote akijiandaa kujiunga NATO.
Binafsi sipendi vita maana ni maisha ya watu,ila kuna dalili tosha hii vita lengo kubwa ni kuiangusha Russia, tunamlaum Putin ndie kaanzisha ila kuna namna mtego ulitegwa Russia akanasa nachoomba Putin apunguze jazba maana Finland ni mtego mwingine,ukizingatia wameshamchosha kiuchumi ,ajikite kuyabeba hayo majimbo mawili apite hivi hawa jamaa siyo ,wanamuundia propaganda kila kukicha .
Huyo jamaa ni special caseFrustrated and thwarted, What's the problems with you?
"Kwa bahati nzuri gesi si muhimu nchini Finland, takriban asilimia 7 tu ya mahitaji yao ya nishati. Mafuta ni muhimu zaidi,lakini si 94%, labda 60-70% kutoka Urusi."
View attachment 2222334 Is that 7% to you right? ProNATO mna tatizo Gani?
Afya yake itadhoofisha upambanaji na utekelezaji madhubuti wa jeshi lake hasa pale hatua ya kuchukua maamuzi magumu endapo yanaweza igharimu ardhi yake pia. Waandamizi watamuona anachukua maamuzi hayo sio kwa weledi ila kwa kuwa yeye ameona anakaribia kupoteza maisha.Sasa ata kama anaumwa na ndio anakufa, basi ndo wakuogopewa huyo. Mana ashajua hana maisha so hato ona atabu kuingia kwenye nuclear war.
Cha msingi wa Afrika tulifunge kamba bara letu lisogee south pole wakidundana kwa nuclear huku yasitufike[emoji28]