The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Napata shida sana kukuelewa kiswahili unachotumia kitofauti sana.Kumbe lugha inaanza kubadilika.
Jana tulisikia kutoka marafiki wa Putin: Finland hakuna kujiunga na NATO!!
Leo: Hakuna atakayejiunga na nato akawa salama.
Ni dhahiri tangu uvamizi wa Ukraine Finland iliona si salama hivyo wananchi wengi walisukuma serikali kujiunga na NATO (Februari: 22% pro-NATO, Mei: 70% pro-NATO)
Kuhusu ukubwa na nguvu ya jeshi la Urusi: kabla ya uvamizi karibu wote katika magharibi waliamini hivyo waliogopa. Sikumbuki kuona chochote kwamba Ukraine itaweza kujitetea. Hiyo imebadilika, dunia yote inashangaa kasoro nyingi katika uongozi wa jeshi hilo pamoja na mbinu na mikakati inayotumia.
Labda nguvu ya jeshi la Putin itakuja bado? Labda waliamua kuiificha kwa sababu zisizojulikana?
Angalau Wafinland wenyewe wamesema mara kwa mara hawaogopi jeshi la Putin....
Wameanza kugwaya kwenda vitani baada ya kichapo na kudanganywa eti vita itaisha ndani mwezi ππ!!! KIMENUKA !!!!
The Russian army has suffered heavy losses, including the destruction of around three dozen tanks, after the Ukrainian army blew up a pontoon bridge over the Siverskyi Donets river in the Luhansk region, according to reports.
wanasema eti Marekani wameingilia vita si ya kwao - ha ha ha haWameanza kugwaya kwenda vitani baada ya kichapo na kudanganywa eti vita itaisha ndani mwezi ππ
View attachment 2222515
Sema NATO na Urusi,sio Ukraine. ukweli ni kwamba,bila Msaada wa pesa, silaha, intelligence assistance ya NATO na wanajeshi wa Uingereza,marekani na Poland, Ukraine isingekuwa inazungumziwa mpaka sasa,huo ndio ukweli na unajua Ila kwa sababu waafrika akili zetu ni nyeusi kama ilivyo ngozi yetu,mmekalia ujinga wa kujiliwaza.Kumbe lugha inaanza kubadilika.
Jana tulisikia kutoka marafiki wa Putin: Finland hakuna kujiunga na NATO!!
Leo: Hakuna atakayejiunga na nato akawa salama.
Ni dhahiri tangu uvamizi wa Ukraine Finland iliona si salama hivyo wananchi wengi walisukuma serikali kujiunga na NATO (Februari: 22% pro-NATO, Mei: 70% pro-NATO)
Kuhusu ukubwa na nguvu ya jeshi la Urusi: kabla ya uvamizi karibu wote katika magharibi waliamini hivyo waliogopa. Sikumbuki kuona chochote kwamba Ukraine itaweza kujitetea. Hiyo imebadilika, dunia yote inashangaa kasoro nyingi katika uongozi wa jeshi hilo pamoja na mbinu na mikakati inayotumia.
Labda nguvu ya jeshi la Putin itakuja bado? Labda waliamua kuiificha kwa sababu zisizojulikana?
Angalau Wafinland wenyewe wamesema mara kwa mara hawaogopi jeshi la Putin....
Ungefuatilia sababu ya Urusi kuivamia Ukraine,usingeandika haya.Mbona mnaogopa kuusema ukweli?
Russia aondoe majeshi yake yote ndani ya Ukraine hapo ndipo vita itakapokwisha. Mrusi yeye nani mpaka aachiwe nchi ya watu. Mimi naona sasa ni wakati muafaka kwa Urusi kulipia kile alichokifuata.
Saizi kabaki kujitutumua na kulia Lia tuu,Ona alivyokula loss za Karne πwanasema eti Marekani wameingilia vita si ya kwao - ha ha ha ha
Putin, kwa uchumi gani ndugu ulionao wa kutaka kugombana na Dunia nzima sheikh ??