Kwa Hali ilivyo sidhani kama atamaliza mwezi kuanzia Sasa..Zele ntu wa dili mpaka op iishe atakua bilionea[emoji28][emoji28]
Nafikiri usahihi ni linashikiliwa na warusi na si la warusi.Nijuavyo Mimi Russia haiwezi kuondoa majeshi huko Ukraine. Eneo la mashariki la Ukraine Sasa ni la warusi..
Inawauma sana hawa wanao ichukia amerika lakini nchi yao ni mshirika wake mkubwa.Hizi nchi zote za Africa mashariki ziko pamoja na US kwa kujua ama kwa kutokujua... Kwa kutaka ama kwa kutokutaka.
Watu Wana base karibia kila nchi unaanzaje kuwakataa[emoji16], huyo mkenya ndio usiseme kila siku anasaidiwa kwenye vita huko
Nimetoa taarifa tu kuhusu habari kutoka Finland.Napata shida sana kukuelewa kiswahili unachotumia kitofauti sana.
Zaidi ya ugumu wa kuelewa lugha unayotumia sijaona cha maana ulichoandika kujibu post yangu.
Alafu juu unadai wafini wameona hawapo salama (baada ya ukr invasion) alafu chini unasema hwaogopi jeshi la urusi. Sasa kama hawaogi wanakimbilia/lazimisha kujiunga NATO ili nini!? Umeona upupu unaoongea ulivyo!?
Mwanzoni hawakuwa wanataka kujiunga NATO, baada ya Ukr kuvamiwa na wao wakaona hawako salama wakataka kujiunga NATO lakini hapo hapo hawaogopi[emoji1787] unachekesha! Au ndio lugha inasumbua!?
Swiss Wana akili,wanajua huo ndio ulikua unaenda kua mwisho wa wao kua offshore tax heaven.Uswizi yaamua kutofautiana na Marekani+NATO, yaziachia mali za Russia ilizozizuia kutokana na mzozo wa Ukraine...Serikali ya Uswizi imesema haiwezi kushikilia mali za Russia kibubusa, wakati hakuna sababu zozote za msingi za kufanya hivyo.
Taasisi ya kimarekani yalalamikia msimamo huo wa serikali ya Uswizi na kuiita Uswizi kuwa muwezeshaji mkubwa wa harakati za Putin. Serikali ya Uswizi imekemea upotoshaji huo, na Rais wa Uswizi ameitaka serikali ya Marekani kurekebisha huo upotoshaji alipozungumza na waziri wa mambo ya nje wa Marekani
View attachment 2222496 View attachment 2222497
RTTaja hizo media ambazo zipo neutral
Waombe msamaha kwa kosa gani?... Kwani wao ndio walianzisha vita na Urusi ?Nchi ya Ukraine kama haitowaomba msamaha warusi basi wasahau kabisa nchi kurudi kama mwanzo.wasahau kabisa Warusi kuondoka Ukraine.
Hapa msaada pekee ni kumkumbusha mdau anaye zama kuwa uokozi umemzungika ni yeye kukamatwa kifaa okozi TU,ama Kwa kumkumbusha Kwa kelele au kumwombea Dua akumbuke kujiokoa Kwa kushuka kiokozi.🤸
Punguza jazba. Angalia mwenzako Galip #39,643 aliandika nini:94% unaikataa 68% unaikubali una akili sawa sawa wewe? Aliyekwambia matumizi ya Oil Finland ni 68% nani?
We are calmly waiting for them to face Legal action.Akiri za kiambiwa changanya na zako
Twenty European natural gas buyers have opened accounts with Gazprombank so they can pay in rubles, a person close to Kremlin-controlled energy giant Gazprom told Bloomberg.