Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Muda ni rafiki ngoja tuwe wapole tu.. maana hapa tunashabikia vitu vidogo.... ni sawa na msemo unaosema " mnatufunga lakini chenga twawala" hiyo ukraine inazidi kuzama, jamaa Putin yuko serious sana tofauti na tynavyomsikia kwenye vyombo vya habari vya magharibi.

hiyo ukraine anazidi kuikata na sidhani kama ardhi aliyochuku atairudisha nafikiri tunakumbuka krimea.. angalia hiyo ramani.. miji yote ya kherson, Morioupa, donets, luhansiki yote kachukua.. sasahivi odesa bado masaa tu maana bandari yake kaifunga kabisa....

 
Huyo raisi wa Ukraine sasa analia kilio cha mbwa koko.Eti umemchokoza mtu halafu unaomba akuhurumie au unatafuta msaada kwa watu ili asiendelee kukupiga
duh ko Huyo Rais aliivamiav Urusi au aliifanyaj Urusi / Putin ?
 
wapo walisema corona haipo , serikali za kidikteta zinajuwa kupiga kamba hatari
 
Huku masahibu yanayoipata Ukraine yakiwa wazi kwa ulimwengu kutokana na maamuzi yaliyokuwa hayakuwa ya ulazima wala hekima,Finland nayo kila siku inasisitiza kutaka kujiunga na umoja wa NATO. Nasikia raisi wa nchi hiyo ni mwanamke.
baada ya kumegwa Crimea bado hakukuwa na ulazima wa kuchukuwa tahadhari ?
 

Kwa taarifa za chini chini idadi ya waliokufa leo ni askari 1000
 
Wanatapatapa kutokana na maamuzi ya kishoga.Unajuwa Ulaya ina maraisi na mawaziri mashoga tele.Hivyo daima mawazo yao yananuka shombo.
kwa kizaz hiki magaidi yatashamir huku tukisingizia USA kumbe akili zetu ndo zimechacha
 
warusi wapo selo kupinga huo uvamiz
 
yaan unaeweza kumuondoka dunia ndo anakupangia nan akuone na nan asikuone?
 

Mtizamo wangu mimi, ulilosema kuhusu finland na sweden ni kweli West wanamtafuta sana Russia lengo Kuharibu mahusiano ya Russia na mataifa mengine.

Uzuri ni kwamba sahv dunia sio ile ya zaman ambayo tuliaminishwa Saddam husen, gadafi nk ni magaidi na watu tukaamini sahv dunia imebadilika kinachoendelea Ukraine hata west wamepata somo.

Mtizamo wangu Russia huwa hatabiriki kabisa atakachofanya atapeleka nyuklia pale kaliningrad so ulaya hawatakua na amani kutokana na location ya hili eneo.

Pili kuna uwezekano Russia akaweka base zake Mexico, Venezuela hawa ni maadui sana wa marekani akifanya hivo utaona kama US atakubali. Russia ni taifa lilobarikiwa watu genius sana huwa wanawaza mbali sana ni suala la muda tu. Comeback yao huwa si ya kitoto kuna ambaye alifikiria Russia angekuja na Ruble?? wote humu ndani tulikua suprised.

Huo ndo mtazamo wangu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…