Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Kwanza nikurekebishe kiswahili kidogo japo mimi siyo mwalimu wa kiswahili.Wacha weeee....
Mimi nazani kwa Sasa Urusi ajipime na Ukraine ndie kipimo chake cha sasa. Kwa USA tuache kwanza
Sasa mambo ya Tanganyika na utanganyika wangu kwenye mjadala huu yanatoka wapi!?Wewe jieleze kile kinachokufanya ufurahi ila unyonge wa USA na ukubwa wa Russia hauna maana kwako wewe Mtanganyika hata ukiwahusudu kwa kiwango kikubwa. Mazuri wanayoyafanya kwa mataifa mengine ndiyo yanayostahili kusifiwa na ndiyo yenye maana.
Au warejee kule kwenye swali lako la awali, Wapi USA aliingia yeye kama yeye na akaibuka mshindi [emoji23]Kwanza nikurekebishe kiswahili kidogo japo mimi siyo mwalimu wa kiswahili.
Badala ya kuandika nazani hebu andika nadhani.
Back to topic:-
Nimejaribu kukueleza mambo mengi ili kidogo upate ABC za Russia.
USA huwa wanasherehekea uhuru wao waliopata mwaka 1776. Kipindi hicho Urusi ipo na imekula Millennium na inaelekea kula ya pili.
USA ni kikundi cha wafanya biashara kadha wa kadha. Wapo hapo kwaajili ya maslahi yao wenyewe. Huku Russia ipo pale kama taifa lenye historia yake na utamaduni wake. USA haina utamaduni wake. Is a big tent.
Huyo huyo USA tulimpatia nafasi kujipima ubavu wake huko Vietnam nadhani unakumbuka namna alivyoangukia pua.
Basi tusiongelee masuala ya Vietnam tuongelee tu issue za miaka ya 2000s. Juzi kati tu. Sujui issue ya Afghanistan ilipovamiwa na USA ulikuwa na umri wa miaka mingapi. Lakini nakupatia ndo ndo ndo tu. USA mpaka leo wanahaha hawajui cha kufanya.
Nisiende mbali sana, kuna nchi ya Waajemi inaitwa Iran hao USA kila siku wanabweka tu na sanctions kibao. Wamefanya nini!?
Nikikuambia huyu USA kwa Russia ni mchumba uwe unaelewa. Achana na movie za akina Rambo watazififisha akili zako. Unatakiwa ujue hizo ni movie zinatengenezwa kwenye computer are not real.
Nimejaribu kukupatia conflict iliyopo arctic ocean Russia anawaburuza USA na washirika wake. Wamebaki kupiga kelele tu kwenye media.
Kama unataka tujadili hebu leta hoja zito zenye mashiko utuoneshe ni wapi USA anaweza kupambana na Russia.
Aiseee huuu unyutral mandaz wako ndio unaonichoshaga.Wewe jieleze kile kinachokufanya ufurahi ila unyonge wa USA na ukubwa wa Russia hauna maana kwako wewe Mtanganyika hata ukiwahusudu kwa kiwango kikubwa. Mazuri wanayoyafanya kwa mataifa mengine ndiyo yanayostahili kusifiwa na ndiyo yenye maana.
Huu ni mtazamo wako kweliMtazamo wangu kuhusu Finland na Sweden kujiunga NATO
Nina Imani kabisa urusi hataingiza majeshi au kuipiga kijeshi Finland, maana lengo la marekani na nato ni kutaka kuifanya urusi ionekane ni nchi korofi wakati Siyo kweli bali wanamchokoza
Kwa hiyo kikubwa atakachofanya ni kufunga gas na Oil, huku akiacha muda uwe mwamuzi, unajua Kwa nini nasema muda uwe mwamuzi??, Ni Kwa sababu
Mpaka sasa urusi kawakamata sehemu nyeti NATO na USA, Kwa sababu ya oil, gas, chakula na vikwazo walivyoweka EU
Juzi Kati Joe Biden alisema kuwa wanafanya juu chini kutoa nafaka Tani 20milioni kutoka Ukraine ili isambazwe ulimwenguni kupunguza baa la njaa, Kwa maneno mangine ni kuwa janga la njaa ni real ipo njiani inakuja, ndiyo sababu ya lile tukio la kuteka kisiwa ambapo Ukraine imeangukia pua Kwa kupigwa vibaya Sana, lengo la operation hiyo ni kutaka kufungua bandari ili kumsafirisha nafaka
Kwa hiyo kipindi cha baridi ulaya watahitaji gas Sana, viwanda vingi kufungwa Kwa kukosa malighafi hii itasababisha raia ambao hawana kazi inaongezeka, hapo hapo njaa itapiga na chakula bei kupanda Sana kufikia raia kushindwa kumudu, hapa ndipo chanzo cha machafuko utakapoanza, hakuna jeshi litakalozuia raia mwenye njaa, Kwa hiyo ndiyo sababu ya ulaya na marekani kuangaika kila Leo ili kufikia kipindi hicho wawe wamepata suluhisho au nchi hizo ziwe vitani wapate sababu ya kukosekana chakula, nataka niione Finland kipindi cha baridi kama raia hayo mateso
Hapa ndipo mrusi atatumia chakula na gas kama bargain chip, kwamba ili mpate chakula,gas na oil basi ondoeni vikwazo na zile nchi zote zilizokuwa Balkan zijiondoe au ziondolewe NATO, Kwa hiyo hizi nchi zitaondolewa au kujiondoa zenyewe
Hapa ndipo ninapohisi sababu ya kufanya operation hii kuchukua muda mrefu ili ukifika muda sahihi EU na NATO watalazimika waje mezani kupata suluhisho
Mkuu kwanza nikushukuru kwa kunifundisha kiswahili fasaha, teh teeeeee.Kwanza nikurekebishe kiswahili kidogo japo mimi siyo mwalimu wa kiswahili.
Badala ya kuandika nazani hebu andika nadhani.
Back to topic:-
Nimejaribu kukueleza mambo mengi ili kidogo upate ABC za Russia.
USA huwa wanasherehekea uhuru wao waliopata mwaka 1776. Kipindi hicho Urusi ipo na imekula Millennium na inaelekea kula ya pili.
USA ni kikundi cha wafanya biashara kadha wa kadha. Wapo hapo kwaajili ya maslahi yao wenyewe. Huku Russia ipo pale kama taifa lenye historia yake na utamaduni wake. USA haina utamaduni wake. Is a big tent.
Huyo huyo USA tulimpatia nafasi kujipima ubavu wake huko Vietnam nadhani unakumbuka namna alivyoangukia pua.
Basi tusiongelee masuala ya Vietnam tuongelee tu issue za miaka ya 2000s. Juzi kati tu. Sujui issue ya Afghanistan ilipovamiwa na USA ulikuwa na umri wa miaka mingapi. Lakini nakupatia ndo ndo ndo tu. USA mpaka leo wanahaha hawajui cha kufanya.
Nisiende mbali sana, kuna nchi ya Waajemi inaitwa Iran hao USA kila siku wanabweka tu na sanctions kibao. Wamefanya nini!?
Nikikuambia huyu USA kwa Russia ni mchumba uwe unaelewa. Achana na movie za akina Rambo watazififisha akili zako. Unatakiwa ujue hizo ni movie zinatengenezwa kwenye computer are not real.
Nimejaribu kukupatia conflict iliyopo arctic ocean Russia anawaburuza USA na washirika wake. Wamebaki kupiga kelele tu kwenye media.
Kama unataka tujadili hebu leta hoja zito zenye mashiko utuoneshe ni wapi USA anaweza kupambana na Russia.
Nakupa ushauri mwanangu, jikite tu kwa copy and paste manake hoja zako ni nyepesi sana.Kwanza nikurekebishe kiswahili kidogo japo mimi siyo mwalimu wa kiswahili.
Badala ya kuandika nazani hebu andika nadhani.
Back to topic:-
Nimejaribu kukueleza mambo mengi ili kidogo upate ABC za Russia.
USA huwa wanasherehekea uhuru wao waliopata mwaka 1776. Kipindi hicho Urusi ipo na imekula Millennium na inaelekea kula ya pili.
USA ni kikundi cha wafanya biashara kadha wa kadha. Wapo hapo kwaajili ya maslahi yao wenyewe. Huku Russia ipo pale kama taifa lenye historia yake na utamaduni wake. USA haina utamaduni wake. Is a big tent.
Huyo huyo USA tulimpatia nafasi kujipima ubavu wake huko Vietnam nadhani unakumbuka namna alivyoangukia pua.
Basi tusiongelee masuala ya Vietnam tuongelee tu issue za miaka ya 2000s. Juzi kati tu. Sujui issue ya Afghanistan ilipovamiwa na USA ulikuwa na umri wa miaka mingapi. Lakini nakupatia ndo ndo ndo tu. USA mpaka leo wanahaha hawajui cha kufanya.
Nisiende mbali sana, kuna nchi ya Waajemi inaitwa Iran hao USA kila siku wanabweka tu na sanctions kibao. Wamefanya nini!?
Nikikuambia huyu USA kwa Russia ni mchumba uwe unaelewa. Achana na movie za akina Rambo watazififisha akili zako. Unatakiwa ujue hizo ni movie zinatengenezwa kwenye computer are not real.
Nimejaribu kukupatia conflict iliyopo arctic ocean Russia anawaburuza USA na washirika wake. Wamebaki kupiga kelele tu kwenye media.
Kama unataka tujadili hebu leta hoja zito zenye mashiko utuoneshe ni wapi USA anaweza kupambana na Russia.
Kwanza nakushukuru sana kwa kutambua kuwa mimi ni kaka yako. Maana hizi nondo ninazozitoa hapa inakubidi uwe umekula kitabu haswaaaaa.kaka unaishi katika dunia ya ajabu....
1) Wanatuma silaha Ukraine; ni kawaida upande mmoja inakamata silaha kadhaa kutoka upande mwingine. Ila nisipokosei silaha nyingi za NATO zinafika katikati ya magari, vifaru, ndegevita na miili ya Warusi, si mkononi mwao
2) tekinolojia ya Urusi? Hmm. Nilituma jana uchambuzi wa droni yao Orlan 10 iliyofika mkononi mwa Ukraine. Walikuta kamera yake ni ya Canon EOS Rebel T6i, chipsi za GPS-tracker ni HC4060 2H7A201 na STC 12LE5A32S2 35i kutoka China, starter generator PTN 78020 kutoka Texas Instruments, injini yake kutoka kampuni ya Saito (Japani), chipsi nyingi kutoka Marekani na Ulaya, pamoja na moja inayotenegezwa Urusi (ambayo ni kopi ya Marekani). Wanatumia tekonolojia kwa sababu wanayo wenyewe iliyo bora? Au sababu hawana? Na sasa hawawezi kupata vipuri tena isipokuwa kwa njia ya magendo. Makampuni ya China hayauzi tekinolojia y akisasa kwa sababu Wachina wenyewe wanatengeneza kwenye msingi wa hataza za Marekani - wanapaswa kufuata vikwazo. - Juzi Ukraine walikuta GPS ya mkononi kwenye ndegevita ya Kirusi waliyoangusha wakaona rubani hakuweza kutegemea kifaa chake cha kirusi...
3) kwanza china haitafikia kubadilisha magari yote kuwa umeme, pili nchi nyingi pamoja na EU wanakataza kuuza magari ya petroli na diseli kuanzia 2035.
4) China mtumwa wa Urusi? Uchumi wa Urusi ni asilimia 10 za China. Jitu mtumwa wa kibete? Hongera sana!
Ongeza , kuwafanya binadamu wenzao guinea pigue to expand there pharmaceutical empires.Sasa mambo ya Tanganyika na utanganyika wangu kwenye mjadala huu yanatoka wapi!?
Leta hoja mezani tuichambue na tujadiliane.
Halafu unatakiwa kujua mimi nimezaliwa kipindi cha Tanzania. Issue za Tanganyika na nchi yangu Tanzania ni Historia ambayo tunaisoma na tunaijua vizuri tu.
Back to Topic:-
Mimi na wenzangu tunajaribu kutoa elimu bure bila malipo, ili watu wa namna kama yako mpate japo maarifa kidogo.
Hivi unajua kwanini tunaishabikia Russia!?
1. Nchi za kiafrika zimechoka na chokochoko za wamagharibi wakipewa nguvu na USA. Kila siku kuleta migogoro katika bara letu. Wanataka kutulazimisha ushoga huku wakiita ni Demokrasia.
2. Tunataka bipolar world. Kwamba hatutaki kiranja mmoja ambaye kazi yake ni kuzionea nchi dhaifu.
3. Demokrasia ya marekani ni illusion. Kila kukicha wamarekani weusi wanauawa. Hakuna wa kuwasemea maana nchi zetu za kiafrica zimeweka katika tishio kubwa.
4. Nikukumbuka jinsi ya hawa wa magharibi walivyokaa huko Berlin na kuligawa bara letu. Naona vyema kabisa Russia awatandike hawa wamagharibi ili Africa ipate nguvu tuweze kuwafungulia kesi ya kutesa mababu zetu.
Au mwenzangu kwanini unashabikia USA!?
Mpaka aseme UKWELI[emoji23]
Komaa nae huyo hadi akiri either yeye au BBC nani yuko sawa... Asijizungushe zungusheeee.
HatariNakupa ushauri mwanangu, jikite tu kwa copy and paste manake hoja zako ni nyepesi sana.
Acha tuone MKUUKwa mujibu wa taarifa toka Ukraine wanasema kuwa Urusi inarefusha maksudi vita ili vifike majira ya baridi muda ambao wanaamini kuwa mataifa ya ulaya yatake yasitake yatalazimika kuzungumza na Urusi tu.
Juu nyuki chini nyoka koboko..... 🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio atajua Kwa Nini Lucky Dube aliimba No body can stop reggae.....
Ninakushukuru tena sana. Kwa kuamua leo tujadili kwa mapana. Najua wengi watapata elimu. Hata Coco Master Coco reborn coco stim mkazi wa pale nirobary atapata kidogo.Mkuu kwanza nikushukuru kwa kunifundisha kiswahili fasaha, teh teeeeee.
Pili, naona umeamua kuegemea kwenye umbri (age). Umeamua kueleza kuwa USA husherehekea sikuu ya uhuru wake ulioupata mwaka 1776 wakati huu Russia alikuwa Kesha timiza millennium kadhaa. Hilo halikukutosha ukaona unidharau kwa kuniuliza nilikuwa na umbri gani kipindi US anaivamia Afghanistan.
Nikwambie tu swala la umbri lisikupe kiburi kujiona kuwa wewe ni zaidi ni vyema kujua age is just a nomber.
Kuna Mataifa mengi ni makongwe na yana historia ya kutisha miaka hiyo bc ila leo ni yakawaida na hayawezi kubweka tena eg:- Egypt
Nimependa Jinsi ulivyomaliza kwa kusema "nilete hoja ijadiliwe kama ipo" nashukuru kwa Mara ingine.
Nipende kusema, vita tusiijadili kama mashabiki wa mpira wanavyojadili ushindi wa team wanazozishabikia kwani kwenye mpira kuna wakati bahati huamua mshindi.
VITA huamuliwa na mambo matatu
1: Uchumi / Economic
2: Intelligence
3: Technology
Kama unakubaliana nami basi tuanze mjadala wetu kwa kuyaangalia hayo maeneo matatu tuone nafasi za USA vs RUSSIA zimekaaje.
Karibu
[emoji23]Aiseee huuu unyutral mandaz wako ndio unaonichoshaga.
Hii dunia tokea inaumba n kwa ajili ya wenye nguvu ,ushawishi hakuna taifa litakalokuja kukutendea wema bila kunufaika hiyo n never ever.
Hivyo huu mjadala sio wa kipumbavu hapa kuna wanasayansi,wanasiasa,wafanyabiashara n.k wanafuatilia huu uzi kwa ukaribu ili kupanga future zao.
Sasa kama ww uko hapa kusimpasize am sorry.....
Huyo chawa hoja zake za kitoto sana sio wakuchukuliwa serious. Sasa umri wa nchi ni kitu cha kukaza shingo kweli.Nimeipenda hekima uliyoionyesha katika maandishi yako. Ila huyu #Jesus Mlokozi Hawezi kuelewa yeye anachotamba nacho cha kwanza ni swala la umbri wake (yeye ndiye mwenye umbri mkubwa kuliko wote humu jf)
Kwanza nakushukuru sana kwa kutambua kuwa mimi ni kaka yako. Maana hizi nondo ninazozitoa hapa inakubidi uwe umekula kitabu haswaaaaa.
Mdogo wangu tunapoongelea Technology unajua maana yake. Unadhani kuongelea dron peke yake tayari utakuwa umeongelea Technology!?
Technology is the application of science.
Sasa basi kuna mambo mengi sana tunapoongelea suala la technology. Kwa sababu tunaongelea Military technology tunasema Russia ipo juu sana kwenye technology ya kijeshi. Tunasema hivyo kwanini!?
1. Mpaka hivi leo tunavyoongea ni urusi pekee mwenye hypersonic missile.
2. Russia pekee mwenye nuclear weapon combine all countries in this planet.
3. Russia kautangazia ulimwengu kuhusu RS-28 Sarmat. Sijui ulikuwa wapi wakati inaweka hadharani.
4. Russia ndiyo nchi pekee yenye ICBM nyingi duniani kuliko nchi yoyote.
Hayo machache tu yanakutosha kwa sasa kuhusu Technology.
Back to Uchumi.
Tatizo unapoongelea uchumi unajikita kwenye eneo moja tu la GDP. Unashindwa kabisa kuingia ndani na kuona yaliyomo je, yamo!?.
1. Unatakiwa uanze kwa kuongelea Assets kwanza ndio uendelee upande mwingine. Mzee kwenye suala la asset sitaki hata kuliongelea zaidi maana unajua ninakoelekea.
2. Unatakia ujua literacy rate ya warusi ukilinganisha na USA na china. Nikwambie kitu tu. Literacy rate ya warusi ni 9.9% yaani kwa kifupi ni 100% Huko urusi hakuta jitu lenye elimu ya kuunga unga.
3. Unatakiwa tena uje na maelezo hapa utuambie population ndogo ardhi na resources kubwa ipo na effect ipi kwenye uchumi.
4. Unatakiwa ujue USA serikali yake inaishi kwa liabilities. Yaani serikali ipo na madeni zaidi ya 159% ya GDP. Je, kwa upande wa uchumi tunaposema Utajili ni Liabilities au Assets. Hiyo nakuachia wewe utueleze.
5. Umeongelea magari ya umeme. Hapa mwanangu tulikuwa tunaongelea USA na China. Nakutaka kabisa usihamishe mada. Maana umekubali kuwa mimi ni kaka yako. Nilisema kwamba huko USA demokrasi imewaponza. Siku hizi mambo yanaongewa tu utekelezaji ni zero. Ndiposa nikaongelea suala la magari madogo kutumia umeme. Sasa kama wewe hujanielewa tatizo litakuwa langu au wewe!?
Nimekuachia hiyo home work. Njoo na majibu ya uhakika. Na nitaendelea kutoa nondo maana leo nipo free.