Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Nimekuambia acha ushamba. Hizo ni issue za kishamba. Jiamini, tulikuwa tunafanya hivyo wakati tukiwa watoto.Huenda akawa yeye ndo ame edit post yake baada ya kumshtukia
Maabala ya nini!?Kaambiwa nini? afunge maabala?
Walitegemea GDP ingeshuka maana walitegemea vikwazo vinge sababisha sarafu yake kuporomoka lakini matokeo yamekuwa tofauti kabisa.Sources nyingi sana zinasema kwa mwaka 2022 GDP yake itashuka kutoka ilipokuwa 2021 na hii ni fact wala haihitaji kujua uchumi kwa vikwazo alivyowekewa, gharama za kugharamia vita inayoendelea, uzalishaji wa huduma na bidhaa ambazo tayari ushapigwa dafrau hiyo GDP inapandanje kwa mfano?
Kuna mwenzake alikua na tabia za ku-edit comments za wenzake alikua reported kwa modes akapigwa life ban.Toa report kwa modes akiendelea na tabia hio.Acha ushamba wa kikenya ku edit comments za watu. Hiyo ni inferiority complex
View attachment 2224428
Oh!! Unataka nikuletee ushahidi wa Biological Labs za Ukraine!? Unataka nizibebe hizo Labs niweke hapa JF!?
Unataka ushahidi gani!?
Kuhusu Finland na Sweden. Leo leo tu Rais wa Finland kapiga simu kwenda Rusia unajua ameambiwaje!?
‼️ 🇷🇺 🇫🇮 Putin told Finnish leader Niinista that abandoning the traditional policy of military neutrality would be wrong, there are no threats to Finland's security
hahahahaha, kumbe na wewe huzijui maabala unazozungumzia?Maabala ya nini!?
Tuzungumzie hoja yako ya ukandamizwaji wa Africa na USA inayokufanya usapoti Urusi kwenye hii mada ndipo tuamie kwenye hoja nyingine:Sasa mwanangu unataka nikuambie vitu unavyo vipenda wewe!?
Kila kitu nimekiweka wazi unaendelea kuzunguka pale pale tu.
Acha kujifungia kwenye chumba kidogo cha akili. Panua ubongo wako. Najaribu kukutafunia kila kitu laki hola. Unataka nikujibu unavyopenda. Mimi sikujibu unavyopenda bali natoa uhalisia.
Kumbuka tunaongelea operation iliyopo Ukraine. Halafu wewe mwenyewe ulikataa kuongelea Russia vs USA. Halafu wewe mwenyewe unaleta mada ya Russia vs USA. Hebu jaribu kujiatambua basi mwanangu maana unaonekana hujui hata unachokisimamia.
Je, unataka tuongee USA vs Russia au unataka tuongelee Operation ya Russia ndani ya Ukraine!?
Ninavyokuona upo na msongo wa mawazo. Huelewi kipi cha kuongelea.
USHAURI:-
Nenda kamuone daktari kwanza, maana ukiendelea kuzubaa utajikuta unaongea pekee yako barabarani.
Anaongea mambo mengi sana. Parapanda inalia tu. Pooooooo pooooooohahahahaha, kumbe na wewe huzijui maabala unazozungumzia?
umesahau umedai hii vita ni sababu ya maabala zilizo ukraine mpakani na rusia, za magonjwa ya congo hahahahaha
Sasa mzee mbona kama unaleta ujinga tena. Umeongelea issue ya Sweden na Finland. Nakuuliza huko Finland na Sweden ni maabala gani.hahahahaha, kumbe na wewe huzijui maabala unazozungumzia?
umesahau umedai hii vita ni sababu ya maabala zilizo ukraine mpakani na rusia, za magonjwa ya congo hahahahaha
Huyo taahira nashaanga kwani hamumjui, account yake ni ile Venus Star.Anaongea mambo mengi sana. Parapanda.
Kama ni hivyo kwanini Zimbabwe isifanye hivyo ili irudishe thamani ya sarafu yake.Bei ya sarafu ya Urusi hupangwa na Serikali. Sio soko
Urusi wameioandisha ili walipwe Ruble nyingi kwa mauzo ya gesi na mafuta!!
HahahaHuyo taahira nashaanga kwani hamumjui, account yake ni ile Venus Star.
Nyie NATO banahaya ni kama maoni tu, hakuna evidence umeweka.
Pili, zaidi ya malalamiko yasiyo na ushahidi juu ya maabala, Sababu alizosisema Rusia za kuivamia Ukraine haipo hata moja inayohusiana na hayo mambo ya maabala?
Leo Rusia wanadai Finland na Sweden wakijiunga NATO itareact, nako wana hizo maabala?
usipaniki, hamna haja ya kutukanana. relux and compose yourself, we are not at war my friend, i believe we are all worried about what is going on in Ukraine, no vex.Sasa mzee mbona kama unaleta ujinga tena. Umeongelea issue ya Sweden na Finland. Nakuuliza huko Finland na Sweden ni maabala gani.
Wewe leta kitu wazi tujadili kama watu wenye akili.
Hizi n mechi za BIG BOYS......(wapambanaji, mariski teka,wenye uthubutu) ngoja nikujibu kwa mfano...M n mdau wa utalii ivyo basii kutokana na huu mtanganange naona soko la east likiamka ivyo kuacha kutegemea west west kma nikiwa na visent vya kutosha ntatafuta wataalam wa kufundisha vijana kichina, kirusi kutokana na demand inapoelekea hence will make money na nchi yangu pia itapata kipato kupitia uthubutu wangu.Unauliza swali hapo hapo unanyoonya mikono kuwa You are done. Unataka ujibiwe au uachwe uendelee na mambo mengine? Usipojibu nitachukulia kuwa umeamua kuendelea na mambo mengine jambo ambalo ni sahihi pia.
Issue hiyo nimeiongelea long time. Au unataka tuendelee kuongelea kitu hicho hicho!?Tuzungumzie hoja yako ya ukandamizwaji wa Africa na USA linalokufanya usapoti Urusi kwenye hii mada ndipo tuamie kwenye hoja jingine:
Majibu yako sasa,
Vitu unavyovipenda ndo uambiwe, kamuone daktari, operation vs Ukrane. Hahaha.
Bosi, huyo bosi mwenzako kadai hiyo vita inayoendelea huko ni sababu Ukraine kuna Maabala, sio hayo mambo ya kujiunga NATO, ndo naamuliza na hivyo vitisho wanavyopewa Finland na Sweden ni sababu nako kuna maabala au nini?Nyie NATO bana
Yaani hapo umesema mwenyewe RUSSIA anataka kureact kwa FINI kwaajili ya kutaka kujiunga NATO
Hapo hapo unauliza kuhusiana na maabala(maabara ndio sahihi)
Kila mtu atapimwa kwa kipimo kinachomstahili MKUU
Huyu UKRAINE kapimwa sababu ya MAABARA MANAZI nakutesa na kuua watu kule DON BASS
Nahuyo FINI na wenzie watapimwa kwasababu ya NATO hiki RUSSIA wamekieka wazi mbona
Sasa hapo napo umeuliza swali wakati jibu unalo mwenyewe MKUU !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app