LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Urusi ilifahamu fika kuwa haitapata uungwaji mkono kutoka mataifa mbalimbali,lakini haikutegemea kabisa kutoungwa mkono kwa kiwango kikubwa namna hii,imegeukwa kila upande,imetengwa kwa kiwango kikubwa,na balaa la uchumi linakuja itaporomoka vibaya mno,inaonekana ni nchi ya maajabu kwa Karne hii,nayo pia inajuta sema wanajikaza tu,ili wasiaibike,hata wakichukua Kiev watapata shida sana kwa maamuzi ya hovyo kupata kutokea.
 
North Korea accused US of pursuing 'military supremacy' at the expense of Moscow’s 'legitimate' security demands
kwa kijemeni "Korea Kaskazini inainanga Marekani kwa kujiwekea 'ubabe wa kijeshi' dhidi ya mahitaji ya himaya ya kiulinzi ya Mosco".
Korea anamuunga mkono Russia na kuwatadhalisha inzi wa USA kuwa anaweza akatia chumvi kwenye kidonda
 
Wakenya bhana,sasa umeandika nini hicho?
 
Saizi mmefikia huku 😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mnatia huruma sana
 
Western media wameamua kusema ukweli sasa kwamba Ukraine kachakaa na hapo bado Russia kasema silaha haitashushwa chini hata wakati wa mazungumzo labda baada ya mazungumzo na inategemea na makubaliano wakati wa mazungumzo
Warusi wa kwa mtogole mna mbwembwe
 
Western media leo kimyaa utasema hakuna vita maana wametudanganya mpaka wameona hakuna cha kudanganya tena. Vita inabidi ureport ukweli ili uweze kuepusha balaa zaidi kwani wangewaambia...
Eti leo kimyaaa,wakati hapa tunaona wanareport,huwa mnafikiria nini kutudanganya utadhani TV na access ya kuangalia mnazo nyinyi tu
 
Mkuu Russia imetengwa na nani ukitoa EU, CANADA na USA??
 
US urges Americans to leave Russia “IMMEDIATELY”


The US Embassy in Russia has advised Americans to leave the country urgently with a “contingency plan that doesn’t rely on US government assistance”.


Their official advisory cites “ongoing tension along the border with Ukraine, the potential for harassment against US citizens, the embassy’s limited ability to assist US citizens in Russia, Covid-19 and related entry restrictions, terrorism, harassment by Russian government security officials, and the arbitrary enforcement of local law.”


The State Department currently has a Level 4: Do Not Travel advisory in place for Russia for US citizens.
 
Nimekuuliza unaijua historia ya Ukraine na mikataba waliyoingia na Russia!?
Najua moja wapo ya mikataba ni Ukraine kukubali kuachana na silaha za Nyuklia kwa makubaliano kuwa atakuwa huru kufanya mambo yake..unaujua huu, ndugu msomi?
 
Wenye akili waliona propaganda toka mwanzo, Putin ana akili sana yule jamaa. Wale wanamgambo ndio wameingia front ambao kiuhalisia ni waukraine wanapiga ndugu zao. Jeshi kamili la Urusi linamsubiri hata jiwe kutokea NATO.
Punguzeni porojo zenu hapa,unaandika yale yaliyo kichwani kwako na unataka watu na akili zetu tukuamini.
 
Najua moja wapo ya mikataba ni Ukraine kukubali kuachana na silaha za Nyuklia kwa makubaliano kuwa atakuwa huru kufanya mambo yake..unaujua huu, ndugu msomi?
Mzee unajua makubaliano kuhusu NATO au unabweka tu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…