NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Safi Brother. God Bless you.Utakuwa humjui wewe Mkuu Kichuguu ,kuna members humu wakicomment unatulia kwanza unasoma kisha unajifunza kitu.Nakushauri chukua muda wako,uwe unamsoma vizuri na upate maarifa zaidi.