NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Kwani lini ulitangaziwa kua RUSSIA anamiliki anga la UKRAINEKWA HALI INAVYOKWENDA KWASASA INAONYESHA DALILI ZOTE KUWA RUSSIA AMESHASHINDWA HII VITA. TENA KASHINDWA VIBAYA. KWASASA UKRAINE AMEANZA KU GAIN MOMENTUM NA AMESABABISHA CASUALTY KUBWA SANA KWA JESHI NA VIFAA VYA RUSSIA.
ILIFIKA WAKATI HAPAKUWA NA NDEGE HATA MOJA YA UKRAINE ILIYOWEZA KURUKA LAKINI KWASASA NDEGE VITA ZAO ZIMEANZA KUONEKANA ZIKIRUKA. PIA LENGO LA NATO/ USA KUIDHOOFISHA RUSSIA LINAFANIKIWA SANA.
KITENDO CHA FINLAND NA SWEDEN KUONYESHA NIA YA KUJIUNGA NATO KIMEZIDI KUMCHANGANYA RUSSIA AMBALO NI LENGO LA NATO/ US (psychological warfare) na RUSSIA KASHACHANGANYIKIWA SANA.
PENYE UKWELI TUUSEME TU
Wasahau hili[emoji23][emoji23][emoji23]Nato ipigane vita vya muda mrefu tu mpaka mrusi achoke ndio dawa yake wazidi tu kupeleka silaha Ukraine bila kuchoka hii itaathiri maisha ya watu wa Russia watachoka tu siku moja nato isikate tamaa AT NO LONGER A GIANT RUSSIA WILL SURRENDER...! And at that time it shall be a good time to divides Russia and collapse it totally, no good chance the western had than this time"
Ulaya magharibi imekaa kimchongoNilichojifunza kupitia hii Special Military Op. ni kwamba:
Maisha mazuri waliyonayo nchi za ulaya yanatokana na unyonyaji wanaoufanya sehemu zingine. Maisha ya ulaya yanabebwa Sana na upatikana wa resources za Bei nafuu/rahisi.
Russia imekuwa inawapatia Cheap Gas, Oil, Industrial minerals, ili limezifanya nchi za ulaya kuwa competitive kwenye uzalishaji wa goods or services.
Alafu unasema Marekani hakushiriki moja kwa moja kwenye vita ,ina shangaza Sana.Sio kwamba kakosea, jamaa ame google half- baked information ambayoo hajaelewa context yake. Hio 2.7 million ni wanajeshi wote in total wa Amerika ambao wali serve ndani ya Vietnam. Number sahihi ni around 500,000 in a particular day.
Mkuu, lakini inategemea na alieukoment ana trophy points ngapi!!Trophy points zinaongezeka kila likes zinapokua nyingi.
Ila mwisho ni 2000 tu.
Uzi kua juu inatokana na uzi kuchangiwa mara kwa mara haihusiani na trophy points.
Ndiyo maana uzi unaweza usiwe juu hata mwaka halafu kuna mtu akakoment basi huo uzi utapanda juu na kuonekana.
Ila kama hizo habari zilizoandikwa na Shirika la Habari la CNN ni za kweli, basi Warusi ni watu wabaya sana ukikutana nao kwenye vita. Yaani nasikia raia wanatolewa kutoka kwenye hiyo Steel Plant ya Azovstal wanapekuliwa kwenye zaidi ya vizuizi 10.Kamanda wa batallion ya Azovstal katika jiji la Mariupol amewaomba wananchi wa Ukraine wafanye juhudi ya kuwaokoa na kwamba hawana haja ya kuambiwa wamekufa mashahidi.Amesema hali huko shimoni ni mbaya sana na kwamba waliokuwa hawajaowa wanaomba watoke salama wapata kufanya hivyo na wle wenye wake na watoto hawataki kusikia jambo jengine ila kuona familia zao. Yule kamanda wa mwanzo kuomba msaada mpaka kwa papa inasemekana hatimae alifanya njama na Urusi na kutoroka.
Msemaji mwengine wa jeshi la Ukraine ametoa maelezo ya haraka isiyo kawaida kama kwamba yuko mbioni kiasi kwamba maelezo hayo yanapingana na taarifa za jana kwamba wameangamiza batallion nzima ya Urusi iliyokuwa ikijaribu kuvuka mto Siverskyi .Katika taarifa ya leo amesema bado wanaendelea kusukumana na nguvu kubwa ya Urusi inayovuka mto huo.Taarifa yake imekiri kuwa jeshi la Urusi limeongeza kwa kiasi kikubwa jeshi na vifaa katika kudhibiti majimbo ya Luhansk Sloviansk na Donetsk.
Katika kujichanganya kukubwa msemaji huyo amesema jeshi la Urusi linafikiria kujiondoa kutoka maeneo yanayouzunguka mji wa pili kwa ukubwa wa Kharkiv.
Na hapo akaua maadui 900,000.Alafu unasema Marekani hakushiriki moja kwa moja kwenye vita ,ina shangaza Sana.