passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Alafu ndo mnasema jamaa ni masikini Sana?
Mkuu,hawa Pro Putin ni hodari wa kuandika mi comment mirefu lakini asilimia kubwa ya wanachokiandika ni porojo tuLeta updates za RT kama unaona unadanganywa na western media.
Kuna makubaliano nimekutajia pia hapo nawe unayajua au unabweka tu?Mzee unajua makubaliano kuhusu NATO au unabweka tu!?
Kila nikifikiria zile mbwembwe za Warusi wa JF kabla ya vita na kwa sasa walivyogeuka kuwa washauri wa Ukraine nabaki kucheka tu.warusi saiv ndo mmekuwa na huruma kubwa kwa raia wa ukraine kias hich?
hakika urusi maji ya shingo,
Nimekuuliza unayanajua makubaliano kuhusu NATO we mtoto wa mama!?Kuna makubaliano nimekutajia pia hapo nawe unayajua au unabweka tu?
Yupo kitengo cha propaganda Mkuu,akikolezea na porojo za kibongo bongoHaha mkuu upo kitengo gani hapo jeshi la Russia?
Wewe jamaa nakutunukia shahada ya uzamivu katika Uongo uliotukukaUkraine tayari ipo chini ya Urusi. Mission ya Putin completed.
Yaani profile name inasadifu uwezo wako wa kufikiri. Nakuhakikishia wewe kweli ni Myamizi yaani umetokana na mama yako kunywa dawa za kienyeji. Yaani wewe asili yako ni ushetani.Wewe jamaa nakutunukia shahada ya uzamivu katika Uongo uliotukuka
Ila Ukraine imejitutumua kwa kiasi chake, ila naona na wao wame anza kukili ya kwamba hali ni ngumu kwao inabidi silaha ziwaishwe kabla hawajakata pumzi.Ndio mimi yule yule tatizo kuna pro-Russians huwa wanaamini mimi ni mwenzao kisa nimejiita jina la kifaru chao. Mimi sipendi kutetea upande, kama ulizoea kwingine kama Syria naitetea Urusi sio kwamba nawashabikia. Inategemea wamefanya nini, na kwa hili la Ukraine wala sina upande ingawa kwa sasa nimeanza kutamani either mazungumzo yamalize vita au Kyiv ianguke.
Nahisi dalili mbaya za Westerns kutaka wabaki wao tu dunia hii tutateseka kiusalama. It seems wanataka vita iendelee, Russia atumie nguvu nyingi aue raia zaidi. Mpaka sasa Russia ameua raia wachache, Ukraine yule Zelensky namtilia wasiwasi Wayahudi sio watu wa kuwaamini sana. Putin alipokuwa anawaita neo-Nazi wapiganaji wa Ukraine kuna ukweli wa mbali, ile vita ya Donbass kuanzia 2014 neo-Nazis walikuwa na batallion yao inapigana kwa ubora kabisa. Tangu Zelensky aombe wageni wakaisaidie Ukraine walioenda wengi ni extremist groups na mashabiki wa Nazi wapo. Surprisingly, Zelensky mwenyewe Myahudi.
Palestina na Yemen wakifanya hikihiki kilichofanywa na Ukraine wanaitwa terrorists. USA akifanya hiki kilichofanywa na Russia, anaitwa global police sijui democracy. Ninachopendelea ni strong Russia, hawa wazungu kwanini wanatumia nguvu sana ashindwe wanataka akishindwa na akafeli uchumi wakose upinzani kisha watufanye nini. Imagine kusingekuwa na Iran pale Middle East jinsi ambavyo Israel ingekuwa inawafanya Waarabu. Kunatakiwa kuwepo balance of power
Ila wewe Nyamizi nina wasiwasi utakuwa upo bado kwa wazazi maana saa nane usiku upo, kumi na moja asubuhi upo, mchana upo, yaani muda wote unatupia tu humu. Yaani unabidii kuliko mwanamchi wa UkraineYupo kitengo cha propaganda Mkuu,akikolezea na porojo za kibongo bongo
Aim 😂😂😂. Russia aim is demilitarize Ukraine.⚡️ Ukraine’s main goal of negotiations with Moscow is an immediate ceasefire and withdrawal of Russian troops – Zelensky office
News from Al Jazeera, rafiki yake BBC.Ila Ukraine imejitutumua kwa kiasi chake, ila naona na wao wame anza kukili ya kwamba hali ni ngumu kwao inabidi silaha ziwaishwe kabla hawajakata pumzi.View attachment 2133872
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mkuu Russia imetengwa na nani ukitoa EU, CANADA na USA??
US urges Americans to leave Russia “IMMEDIATELY”
The US Embassy in Russia has advised Americans to leave the country urgently with a “contingency plan that doesn’t rely on US government assistance”.
Their official advisory cites “ongoing tension along the border with Ukraine, the potential for harassment against US citizens, the embassy’s limited ability to assist US citizens in Russia, Covid-19 and related entry restrictions, terrorism, harassment by Russian government security officials, and the arbitrary enforcement of local law.”
The State Department currently has a Level 4: Do Not Travel advisory in place for Russia for US citizens.
Tatizo wakenya hamna akili kichwani. Russia ilikuwepo miaka na miaka. Usiifananishe Russia na kibera 😂😂😂 Mpaka sasa kenya wanakunya kwenye flying toilet unakuja kubweka humu.Hao watatu ndio dunia, ukitengwa na EU, UK, USA na Canada, umeisha.
Nilisoma sehemu Urusi amesitisha safari za kwenye sayari za nje maana imeshindikana.
Mwaya Mkuu, chukua hii hapa toka chombo cha habari cha Israel ambapo wanaripoti kuwa rais wa Ukraine alimuomba waziri mkuu wa Israel amshawishi Putin asitishe mapiganoNews from Al Jazeera, rafiki yake BBC.