LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
warusi saiv ndo mmekuwa na huruma kubwa kwa raia wa ukraine kias hich?
hakika urusi maji ya shingo,
Kila nikifikiria zile mbwembwe za Warusi wa JF kabla ya vita na kwa sasa walivyogeuka kuwa washauri wa Ukraine nabaki kucheka tu.
 
Wewe jamaa nakutunukia shahada ya uzamivu katika Uongo uliotukuka
Yaani profile name inasadifu uwezo wako wa kufikiri. Nakuhakikishia wewe kweli ni Myamizi yaani umetokana na mama yako kunywa dawa za kienyeji. Yaani wewe asili yako ni ushetani.
 
Ndio mimi yule yule tatizo kuna pro-Russians huwa wanaamini mimi ni mwenzao kisa nimejiita jina la kifaru chao. Mimi sipendi kutetea upande, kama ulizoea kwingine kama Syria naitetea Urusi sio kwamba nawashabikia. Inategemea wamefanya nini, na kwa hili la Ukraine wala sina upande ingawa kwa sasa nimeanza kutamani either mazungumzo yamalize vita au Kyiv ianguke.

Nahisi dalili mbaya za Westerns kutaka wabaki wao tu dunia hii tutateseka kiusalama. It seems wanataka vita iendelee, Russia atumie nguvu nyingi aue raia zaidi. Mpaka sasa Russia ameua raia wachache, Ukraine yule Zelensky namtilia wasiwasi Wayahudi sio watu wa kuwaamini sana. Putin alipokuwa anawaita neo-Nazi wapiganaji wa Ukraine kuna ukweli wa mbali, ile vita ya Donbass kuanzia 2014 neo-Nazis walikuwa na batallion yao inapigana kwa ubora kabisa. Tangu Zelensky aombe wageni wakaisaidie Ukraine walioenda wengi ni extremist groups na mashabiki wa Nazi wapo. Surprisingly, Zelensky mwenyewe Myahudi.

Palestina na Yemen wakifanya hikihiki kilichofanywa na Ukraine wanaitwa terrorists. USA akifanya hiki kilichofanywa na Russia, anaitwa global police sijui democracy. Ninachopendelea ni strong Russia, hawa wazungu kwanini wanatumia nguvu sana ashindwe wanataka akishindwa na akafeli uchumi wakose upinzani kisha watufanye nini. Imagine kusingekuwa na Iran pale Middle East jinsi ambavyo Israel ingekuwa inawafanya Waarabu. Kunatakiwa kuwepo balance of power
Ila Ukraine imejitutumua kwa kiasi chake, ila naona na wao wame anza kukili ya kwamba hali ni ngumu kwao inabidi silaha ziwaishwe kabla hawajakata pumzi.
Screenshot_20220228-113701.jpg


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Yupo kitengo cha propaganda Mkuu,akikolezea na porojo za kibongo bongo
Ila wewe Nyamizi nina wasiwasi utakuwa upo bado kwa wazazi maana saa nane usiku upo, kumi na moja asubuhi upo, mchana upo, yaani muda wote unatupia tu humu. Yaani unabidii kuliko mwanamchi wa Ukraine
 
Na yeye atume atuwekee kubwa la kutuliza Put in kazi ianze.. lile group lililompa uchiba lizu litaingia job am sure
 
⚡️ Ukraine’s main goal of negotiations with Moscow is an immediate ceasefire and withdrawal of Russian troops – Zelensky office
Aim 😂😂😂. Russia aim is demilitarize Ukraine.

Hakuna mjadala mwingine mzee. Ukraine waweke silaha chini wajiunge na ndugu zao kutoka Russia.
 
Mkuu Russia imetengwa na nani ukitoa EU, CANADA na USA??

Hao watatu ndio dunia, ukitengwa na EU, UK, USA na Canada, umeisha.

Nilisoma sehemu Urusi amesitisha safari za kwenye sayari za nje maana imeshindikana.
 
Lifahamu Kombora la balistiki la Russia liitwalo ISKANDER, lililoshambulia na kuusambaratisha uwanja wa ndege wa Ukraine (Zhytomyr Airport)

SmartSelect_20220228-114550_Chrome.jpg
 
US urges Americans to leave Russia “IMMEDIATELY”


The US Embassy in Russia has advised Americans to leave the country urgently with a “contingency plan that doesn’t rely on US government assistance”.


Their official advisory cites “ongoing tension along the border with Ukraine, the potential for harassment against US citizens, the embassy’s limited ability to assist US citizens in Russia, Covid-19 and related entry restrictions, terrorism, harassment by Russian government security officials, and the arbitrary enforcement of local law.”


The State Department currently has a Level 4: Do Not Travel advisory in place for Russia for US citizens.

Hawa tushawazoea Covid-19 walijidai kuwahamisha kila nchi mbona wamerudi,unamtoa mtu sehemu kama kawekeza kule je au watalipwa
 
Hao watatu ndio dunia, ukitengwa na EU, UK, USA na Canada, umeisha.

Nilisoma sehemu Urusi amesitisha safari za kwenye sayari za nje maana imeshindikana.
Tatizo wakenya hamna akili kichwani. Russia ilikuwepo miaka na miaka. Usiifananishe Russia na kibera 😂😂😂 Mpaka sasa kenya wanakunya kwenye flying toilet unakuja kubweka humu.

Screenshot_20211114-135616.png
 
Back
Top Bottom