MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Umesahau kitu wakijiloga kumfukuza kutoka NATO mrusi anakuja uturuki kuweka nukes halafu tuone kama NATO itaendelea na milango Yao ya kuwaunga Finland na SwedenUkiwa na akili ndogo unaweza ukachelewa sana au usimuelewe kabisa Mr putin kabla ya muda ya kuona output za mipango yake haujafika.
Putin anajua kabisa Sweden na Finland haziwez kujiunga NATO na hata zikijiunga basi itachukua miaka mingi licha ya wao kutuma maombi.
Na putin anaelewa kabisa ili uwe mwanachama wa NATO inatakiwa nchi wanachama wote wakukubali sasa Putin ashaona kabisa kwanini atumie nguvu ya jeshi na kuua raia bure wakati uturuki ambaye nyuma ya pazia ni mshirika mkubwa wa Urusi ashasema atapinga Finland na Sweden kujiunga NATO.
na naomba tuelewe vizuri hapa, miongoni mwa nchi ambayo huwa hairudi nyuma kwenye maamuzi yake ni uturuki.
Tujikumbushe tu maamzi machache ya uturuki (as a NATO member) ambayo hayakuyumbishwa;
*Vita kati ya USA na Vyetenam - Uturuk iligoma magari vita na vikosi vya ardhini vya USA kutumia ardhi yake kuingia vyetenam.
*Uturuk ilitupilia mbali onyo la USA na NATO wenzie juu ya ununuz wa silaha kutoka Urusi (S400 na n.k)
*Uturuki iligoma kuungana na wenzie kuchochea mgogoro wa Ukraine badala yake ikasimama upande wa kusuluhisha.
*Uturuki ilifanya na bado inaendelea kufanya special operation huko iraq kupambana na magaidi bila ruhusa ya USA wala NATO.
*Uturuki ndo nchi pekee mpaka sekunde hii kati ya nchi 30 za NATO iliyotamka wazi kuwa itapinga Sweden na Finland kuingia NATO na haitabadilisha maamuzi.
Mwisho: Uturuk ndo nchi pekee ya NATO inayo aminika Urusi na ndo maana hao wake na ndugu wa wanajeshi wa Azov wameenda kuomba msaada kwa erdogan ili aongee na putin maana wanajua kwa ulaya ndo Rais mwenye akili smart kama putin ambae anaweza ongea jambo na putin na wakaelewana, nakweli baada ya miamba hiyo kuongea kiume, Urusi ikatoa order ya huruma ya kuwatoa majeruhi wakatibiwe.
Hiyo ndo Bond iliyopo kati ya Russia[emoji635] na Turkey [emoji1250] kwahiyo ukiona Putin katulia hivo juu ya Fin na Swed kujiunga NATO basi jua plan yote ya kuzikwamisha ishapangwa na hao miamba wawili na hakuna mtu wa kubadilisha misimamo yao.
UTURUKI SIYO ESTONIA NA URUSI SIYO BOSNIA.
Daa apa wa russia wamechemka, wameruhusu hawa mamluki kutoka salama azov?? walitakiwa kuchinjwa hawaKama wamemwagiwa maji
View attachment 2227290
🔥🔥🔥The first wounded from Azov were captured by the DPR🔥🔥🔥
Magufuli hakuwa na maana ni dikteta mwenye akili ndogo ni hasara kwa nchi na wananchi wakeHivi Tanzania kuna watu waliofunguka akili kama huyu jamaa? Ama wengi wetu ni wachumia matumbo na bendara fuata upepo.
Ni mjinga pekee kama Putin ndio anaweza kupigana senseless War.Hapana. Russia uwezo wa kupigana na NATO anao, hii ameionesha dhahiri kwenye vita yake na Ukraine. Kama kweli NATO hawamuogopi Putin kwa nini hawatoi support 100/% kwa Ukraine?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Una maanisha vilikuwa multisectorsl
Russia ni Taifa maskini mbele ya Ulaya... Hadi Sasa hakuna objective yoyote aliyofanikiwa tangu aanze vita Donbas.Katika watu ambao sina iman nao pro NATO. Nyinyi ndo mlikua mnasema Russia hawez akahimili vita zaid ya week?? Mkaja week2?? Mkaja mwezi?? Sahv naona kimya huu wimbo mmeacha. Mkaja na propaganda ya Russia hana chakula cha kuwapa askari wake mara mafuta. Sahivi mmekuja na wimbo hana uwezo wa kupigana na nchi za ulaya.
Nyie Pro NATO mmeshajazwa propaganda za west nyie ndo mlikua mnasema Russia taifa maskini. Acheni kuichukulia poa Russia, hili taifa kubwa sana. Russia ndo ameshikilia uchumi wa Ulaya na dunia.
Bila shaka dunia imeona Ukubwa na umuhim wa Taifa la Russia duniani. Dunia imeona EU wanamtegemea mrussi, dunia inashuhudia Russia anagawa dozi ukraine changanya na NATO.
Bila kusahau Dunia imeona US ni takataka kwa Russia [emoji635] [emoji38][emoji38][emoji38]
GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
Wanataka kufanya swap kama prisoners of war...?Now hali ngumu wanaanza kulegeza vikwazo wenyewe.
UN Secretary General Guterres proposes to ease restrictions on the export of potash fertilizers from the Russian Federation and Belarus in exchange for the passage of ships with grain from Ukraine.
Bosi hanuniwi [emoji23]
Sweden na Finland kujiunga na NATO ni suala la Muda, anachofanya Erdogan is just a bargain power...Kuna vichwa vingine ukiona madini vinavyotema hadi unatamani uvikodi vije kuongoza kwenye nchi yetu ya loyal tour.
Huyu mwamba Erdogan ni smart sana na anawatesa sana wenzie wa NATO, maana ni rais asiepelekeshwa wala kupangiwa na hao wauaji linapokuja suala la masilahi ya taifa la watu wake.
Walibweka na kumuonya kuhusu kununua siraha kwa mrusi S400 lakini akawapuuza akaagiza mzigo ambao mpaka leo anao na hakuna kitu watamfanya, waliweka vikwazo yeye akakataa, wakaanza kuchochea vita yeye akaanzisha mchakato wa mazungumzo ya kumaliza mgogoro na sasaiv wameanza kumtishia endapo atakataa swiden na Finland kujiunga NATO, mwamba hata hatishiki bado anasimamia msimamo wake anao ona ndo salama zaidi kwa masilahi ya amani na maisha ya raia wasio kuwa na hatia.
Sasa ndo nimegundua kwanini putin anamheshimu sana erdogan kuliko kiongozi yeyote yule wa nchi za NATO.
"ITS IMPOSSIBLE LET THEM NOT BE OFFENDED" Pres.Erdogan.
Huyu pia nae ni great thinker.Hapana. Russia uwezo wa kupigana na NATO anao, hii ameionesha dhahiri kwenye vita yake na Ukraine. Kama kweli NATO hawamuogopi Putin kwa nini hawatoi support 100/% kwa Ukraine?
Hakuna hata mtu mmoja kwenye Jamii ya watu waliostaarabika anaye unga mkono vita ya kipuuzi aliyoanzisha Russia.Ukiwa na akili ndogo unaweza ukachelewa sana au usimuelewe kabisa Mr putin kabla ya muda ya kuona output za mipango yake haujafika.
Putin anajua kabisa Sweden na Finland haziwez kujiunga NATO na hata zikijiunga basi itachukua miaka mingi licha ya wao kutuma maombi.
Na putin anaelewa kabisa ili uwe mwanachama wa NATO inatakiwa nchi wanachama wote wakukubali sasa Putin ashaona kabisa kwanini atumie nguvu ya jeshi na kuua raia bure wakati uturuki ambaye nyuma ya pazia ni mshirika mkubwa wa Urusi ashasema atapinga Finland na Sweden kujiunga NATO.
na naomba tuelewe vizuri hapa, miongoni mwa nchi ambayo huwa hairudi nyuma kwenye maamuzi yake ni uturuki.
Tujikumbushe tu maamzi machache ya uturuki (as a NATO member) ambayo hayakuyumbishwa;
*Vita kati ya USA na Vyetenam - Uturuk iligoma magari vita na vikosi vya ardhini vya USA kutumia ardhi yake kuingia vyetenam.
*Uturuk ilitupilia mbali onyo la USA na NATO wenzie juu ya ununuz wa silaha kutoka Urusi (S400 na n.k)
*Uturuki iligoma kuungana na wenzie kuchochea mgogoro wa Ukraine badala yake ikasimama upande wa kusuluhisha.
*Uturuki ilifanya na bado inaendelea kufanya special operation huko iraq kupambana na magaidi bila ruhusa ya USA wala NATO.
*Uturuki ndo nchi pekee mpaka sekunde hii kati ya nchi 30 za NATO iliyotamka wazi kuwa itapinga Sweden na Finland kuingia NATO na haitabadilisha maamuzi.
Mwisho: Uturuk ndo nchi pekee ya NATO inayo aminika Urusi na ndo maana hao wake na ndugu wa wanajeshi wa Azov wameenda kuomba msaada kwa erdogan ili aongee na putin maana wanajua kwa ulaya ndo Rais mwenye akili smart kama putin ambae anaweza ongea jambo na putin na wakaelewana, nakweli baada ya miamba hiyo kuongea kiume, Urusi ikatoa order ya huruma ya kuwatoa majeruhi wakatibiwe.
Hiyo ndo Bond iliyopo kati ya Russia[emoji635] na Turkey [emoji1250] kwahiyo ukiona Putin katulia hivo juu ya Fin na Swed kujiunga NATO basi jua plan yote ya kuzikwamisha ishapangwa na hao miamba wawili na hakuna mtu wa kubadilisha misimamo yao.
UTURUKI SIYO ESTONIA NA URUSI SIYO BOSNIA.
Naona huijui uturuki vizuri, muulize USA-mkuu wa NATO atakuelezea na waulize EU sababu ya kutoitaka uturuki ijiunge kwenye umoja huo wa ulaya.Sweden na Finland kujiunga na NATO ni suala la Muda, anachofanya Erdogan is just a bargain power...
Anatia pini kuanzia venezuela, kwake, syria, iran, watengeneze injini za maji kama wanaweza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa west ndo watajua hawajui tulisema Russia sio somalia[emoji28][emoji28]
Umesahau kitu wakijiloga kumfukuza kutoka NATO mrusi anakuja uturuki kuweka nukes halafu tuone kama NATO itaendelea na milango Yao ya kuwaunga Finland na Sweden
Wewe ndio uwe realisticRussia hana uwezo tena wa kupigana na Nchi za Ulaya na Ukraine Kwa wakati mmoja kuweni Realistic