Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa anamsimamo mkali, yaani Al Shabbab tupa kule


Turkish president Recep Tayyip Erdoğan says envoys from Finland and Sweden "should not bother" visiting Ankara to try and convince Turkey to approve their requests to join NATO, Anadolu Agency reports.
 
Zile kelele za biden za kutamka serikali yake itaruhusu usambazwaji wa mapipa million 1 au 10 ya mafuta utekelezaji wake umefikia wapi?.. Mbona shida ya mafuta bado ipo

Biden ndo rais aliyefeli US hata trump alimwambia huwezi solve tatizo kwa kutoa reserve wakati sisi tuliweka kwa ajili ya future. Tatizo ni vikwazo mlivyotoa mmegusa taifa kubwa akajifanya anakaza fuvu kama Pro NATO wa huku Jf.

Matokeo yake anatoa pipa million 1 kila siku lakini hakuna msaada wowote na pia kaongeza import ya oil kutoka Russia lakn bado bei ziko juu za wese, Russia anapata faida sana hiki kipnd bila shaka nchi za uarabuni zinamshukuru sana Russia[emoji28][emoji28][emoji28].

Tunarud kwenye point kwanini tunasema biden ndo worst president? Unaona madudu anayofanya katoa sanctions kaona hali mbaya kaanza kutoa pipa million 1 za reserve lkn ngoma bado ikabidi arud Russia kupiga magoti kwa Putin biashara iendeleee kimya kimya na akaongeza supply ya oil lkn ngoma bado ina inflate tu[emoji28][emoji28]

Nyie bora hata US uko Germany ndo balaaa hali mbaya sana. Unabak unajiuliza vikwazo ilikua ni kumkomoa Russia au wao??[emoji28][emoji28]

WEST IS WORST [emoji706][emoji706]
 

Kijana nakushauri huu uzi uache nenda jukwaa la Mapenzi tu. Hakuna Russia alicho achieve mpaka sasa?.
 
[emoji779][emoji298]About 10 buses with Ukrainian military left the Azovstal plant in Mariupol, - Reuters

According to reports, about 300 militants surrendered and only 50 of them were injured.
Nilisema huko nyuma kuwa nisuala tu la muda hao nguchiro wote waliojificha shimoni watatoka wenyewe. Comand ya putin ya kutaka walindwe hata nzi asiweze kotoroka ilikuwa nyepesi ila yenye impact kubwa sana, Sir Putin alijua kabisa hakuna shujaa wa njaa na majeraha hivo basi nisuala tu la muda njaa na maumivu vitawafanya watoke wenyewe bila shuruti, Muda umefika hatimae wameanza kujifukua wao wenyewe.

Naposema Putin ni genius muwe mnaelewa, hao askari wa Azov ni mtaji mzuri sana wa Putin hapo baadae na faida ya wao kujisalimisha nikubwa zaidi kuliko wangewaua kwa mabomu. Miongon mwao watatumika kubadilishana na askari wa kirusi walioshikiliwa Ukraine ila wale masenari ndo watatumika kurecover cost za operation ama wakafie jera za urusi huku wakilimishwa usiku na mchana kwenye mashamba ya ngano kufidia gharama za operation.

Narudia tena hii kauli; "Ukiwa na akili ndogo yawezekana ukachelewa sana au usimuelewe vizuri Putin namna anavyoendesha mipango yake, utamuelewa baada ya output ya mipango yake kufika muda wake, leo hii wale wote walio muona Putin kama muoga baada ya kutakamka ile kauli ya Azov battalion wasipigwe mabomu ndo wameelewa sasa lengo la Putin baada ya muda kufika.
Huyo ndo Putin the great master mind.
 
Mkuu karibu sana, ujio wako umeongeza kitu kikubwa sana...[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Tunataka viongozi kama hao ili dunia ibaki salama na ya kuheshimiana.
 
Na kwenye kujazwa inategemea na nafasi ya "kuwekewa" [emoji23] kama ipo... Hawa wanayo kubwa mno wamejazwa hadi wamejaziwa....

I mean hizo propaganda tu sio kingine [emoji847][emoji847][emoji847]
 
Pro Russia kama Pro Russia...

Mtu akisoma post zenu anaweza kuhisi kikundi cha watu kimealikana kushauriana nini cha kuzungumza kumbe ni kichwa cha mtu mmoja tu kinashusha vitu. [emoji847]
 
Wewe ndio uwe realistic

Kama Russia hana uwezo wa kupigana na nchi nyingine ya ulaya na Ukraine kwa wakati mmoja kwa nini nato ambao ni nchi 30 wasiingilie kwa pamoja kumaliza hii vita once and for all!?

Au wao mdio hawana uwezo!?
Wewe jamaa, first thing first Western countries hawakutaka hii vita na Haikuwa na maana
 
Labda kama hao waliostaarabila wamekuwa wastaraabu baada ya vita up Ukraine. Kwani miaka ya nyuma kulikuwa hakuna wastaarabu wakati wa Libya Iraq etc.
Halafu huyo mstaarabu ni nani maana kila nchi iliona vyema kupeleka siraha sio kuchagiza mazungumuzo ya amani.
Na hao wastaarabu wanasaje juu ya Congo Mali Yemen Syria nk. Nani wamewekeea vikwazo.
 
We jamaa wewe [emoji2956], au basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…