Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Halaf kwa nini NYUKLIA mnaziogopa sana si nisilaha!!?
US ndio mpuuzi wa kwanza kuzitumia baada yakuona mambo yanaenda kombo na hao NATO ikibidi zitatumiwa dhidi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuliza kibabe [emoji41][emoji41][emoji41]

Waseme ase kwanI US alipotupia Nuke pale Japan alikosa silaha zingine za kutumia? Hata mawe na marungu kweli? Hadi kufikia hatua ya kutumia Nukes.

Kule Vietnam nako, alikosa hata visu vya kimasai hadi kufikia hatua ya kutumia mabom ya kemikali?

Hadi sasa duniani kuna taifa moja tu ambalo lishatumia aina zote za WMDs, US 'mada ni fanta'
 
Good News

📝Washington failed to get the summit with the ASEAN countries to condemn Russia's invasion of Ukraine.

ASEAN nations are Vietnam, Indonesia, Cambodia, Laos, Malaysia, Myanmar, Singapore, Thailand and the Philippines.

Out of these Countries, Singapore was among those countries who condemned Russia but now yu peke yake so kaungana na wenzie kumpotezea Washington.

Unafiki hauezi kuisha Duniani 😂
 
Hapa tunasubir tuone Reaction zao hawa watu... Hapo sipati picha Wales nae afanye hivyo... Northern Ireland nao wafanye hivo then Russia na China waende kuwapa back up ya kujitenga...

Ukiangalia ile Northen Ireland inakaliwa kibabe tu,

Hapo ndio tutaona mkuki kwa binadam mchungu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha urrraaa
 
Walijua Mrusi ataanzia hapo, nae Mrusi akadeshi kuelekea Kiev, wakajikusanya huko huku sehem zingine zikipigwa weeeee... kisha baada ya hapo akarejea kwenye lengo lake la Donbas wakiwa wameshatepeta.
 
Utaishaje sasa kama hapa ndani tu watu washaanza kana taarifa zao...

Ila huyu mzee bn, eti lini na nani kasema kama Russia ataishiwa chakula ha ha dah
 
My People, mnafaham size ya US? ni hii. The only place that wapo capable to deploy their troops officially. Hola hola What a coward Nation 🤣, A collapsing empire, right?

📝 Biden orders redeployment of US troops to Somalia, reversing Trump pullout.

US President Joe Biden has ordered the full-time deployment of US troops to Somalia, claiming to offer help to the African country in its fight against the al-Shabaab takfiri militant group.
 
Kwani Somalia wamo NATO? Kaombwa apeleke jeshi lake uko? Zele si analia lia huko mbona hapeleki [emoji23][emoji23][emoji23]

Tutashuhudia mengi awam hii.
 
It's high time the rest of the World to abandon Dollar let dollar be for Nato alone

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
They are masters of URBAN WARFARE Not Guerrila

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Mwelezee kabisa akili za aina gani...

Maana kwa akili za upumbafu na ujinga mwingi mwingi umemuacha mbali sio kitoto... MBALI MNO nazidi kukazia [emoji3] That's why hamkuweza na hautoweza kufahamiana nae.
Jamani huna kitu ila matusi . . . .
 
Kweli wewe ni mwehu kabisa ivinkati ya Russia na Ukrain nani kwake kuna baridi kali na ni nani kwake kalizoea baridi kupita maelezo asee duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…