Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We jamaa una comedy nyingi balaa kwenye Post zako [emoji23][emoji23][emoji23] hata kama taarifa huipendi unaeza jikuta unacheka tu.
 
Kwamba "Putin diverted the target to deceive NATO" ndio alikuambia hivyo?[emoji3]
 
To My People, Only Good News as usual ✨

🇺🇦🇷🇺 Russia will restore roads and bridges in the Kherson region. Funds have already been allocated for this, said Deputy Prime Minister Marat Khusnullin.

Hapa Pro NATO atajiuliza (oh My God, How is it Possible, Russia is Poor Country?)

Then Pro Russia tunawajibu kiufundi (Oh yes, It's poor in your brain washed mind, You know why? Because your brain is too tiny to accommodate Russian's Contents)

Hola hola my people while Mother Russia is taking care for her children... God Bless... Amen 🤗
 
Hizi story za vijiwe vya kahawa.Putin kazidiwa tu.Kapoteza askari wengi wakiwemo majenerali 10 pamoja na vifaa vingi sana.Wala NATO haipo Kyiv WaUkraeni wenye tu wanajilinda🤔
 

Bossy hanuniwi
 
Hizi story za vijiwe vya kahawa.Putin kazidiwa tu.Kapoteza askari wengi wakiwemo majenerali 10 pamoja na vifaa vingi sana.Wala NATO haipo Kyiv WaUkraeni wenye tu wanajilinda[emoji848]
Trust me. Hawa hata siku vita ikiisha kwa wenyewe kuchapwa, watasema wameamua wenyewe kuacha vita[emoji16]
 
Isolated Putin escalate war in Israel 🤔
🇮🇱🇷🇺 — BREAKING REPORT: In a possible shift in Moscow’s attitude to Israel, Russian forces opened fire on Israeli jets with advanced S-300 anti-aircraft missiles after an alleged Israeli attack on terror targets near the city of Masyaf in northwestern Syria last Friday night.
 
Hahah! Kwenye huu uzi ukija kichwa kichwa unaweza ukapigwa K.O hadi ukatamani usirudi tena.

Mkuu Galip Vrl ahsante sana kwa kumpunguzia mzigo wa ujinga huyo kijana. Nadhani alijisahau kama yupo JF badala yake akafikri yupo kwenye page zao za udaku Facebook. Naamini hatarudia tena kuleta pumba kama hizo mbele ya great thinkers hasa pro Russia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hatari sana
 
Mwanajeshi wa Urusi aliyekamatwa alisimulia jinsi jeshi la Urusi lilishambulia Kharkiv

[emoji3502]Andrey Ushakov anakaribia umri wa miaka 21. Alivuka mpaka wa Kiukreni asubuhi ya Februari 24.

[emoji3502]Hadi ya mwisho, Ushakov alifikiri kwamba walikuwa wanapelekwa kwenye mazoezi, kama uongozi wa juu ulivyosema. Kwa kweli, jeshi la Urusi lilikuwa chini ya Kharkov.

[emoji3502]Kulingana na Ushakov, Kharkiv ilipigwa makombora na wanajeshi wa Shirikisho la Urusi - walifyatua risasi kuelekea jiji na kuelekea nyuma.

[emoji3502]Mwezi mmoja baada ya vita kuanza, Ushakov alitekwa. Wenzake watatu wa Andrey walijipiga risasi
 
usingemjibu, maana hadi anaandika hivo nimegundua brain empty.....
 
Mkuu Galip Vrl ahsante sana kwa kumpunguzia mzigo wa ujinga huyo kijana. Nadhani alijisahau kama yupo JF badala yake akafikri yupo kwenye page zao za udaku Facebook. Naamini hatarudia tena kuleta pumba kama hizo mbele ya great thinkers hasa pro Russia.
[/QUOTE]
Unaongea kishabiki magego nje kama k.a.h.a.b.a wa buguruni kimboka aliyepata buzi la kinyalukolo😡
 
At the American base "Et-Tanf" in Syria, militants loyal to the United States are being trained for deployment to Ukraine, the Foreign Intelligence Service reported.

Mpaka dictator aombe poo,[emoji41]
 
Ndiyo anataka afrika tumuunge mkono ujinga wake??????🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mwambie atulie sindano isije inakatika
 
Hii ni hadithi tupu waukraine wanajisalimisha huko
Kuanguka Kwa mji mmoja haizuii ukraine kuGain na kurudisha miji mingine .Inakuwaje media moja ikisema ukraine imepoteza unakubali ,media hiyo hiyo ikisema Russia imepoteza unabisha😲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…