Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ha ha ifike mda sasa na wao waachane na huyo ng'ombe mzee... Atawalambisha chunvi mno kwa vitisho vya kingese kila kukicha
 
Kwani hiyo second Chechen war Russia hakupigana nao. Nani alipeleka majeshi mjini Grozny, hiyo sifa yao ya urban warfare wameipata wakipigana na nani.
Na hakuna mahala wametajwa wapiganaji wa leo hii kuwa ndio wa Chechen wars
Second war ni Russian Forces wakishirikiana na Chenchen forces (pro govt).
Dhidi ya Islamic + Chenchen Ichkeria...
Winners ni Russians + Chenchen pro govt...., kutokea hapo hoja yako ya dhidi ya Russia inakuwa imekufa.
Msako wa mda mrefu kuwamaliza waasi wa Ichkeria Chenchen ya leo being Offensive forces, ulifanywa kwa kushirikiana na Russians sio dhidi ya Russians.
 
Aisee! hii vita ni mbaya na haina maana yoyote. Hasa ukiwaona wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye Kiwanda cha Chuma (Azovstal Stell Plant) unaona huruma sana.

Yaani wamechoka sana, walikuwa hawana nguvu tena ya kupigana zaidi ya propaganda za wakubwa wao. Mbaya zaidi Urusi wamesema hawatawachukulia kama "prisoners of war" badala yake watawachukulia kuwa ni magaidi (Terrorists) watahukumiwa Urusi na wakipatikana na hatia watanyongwa.

Ingawa Ukraine wameiomba Urusi wabadilishane wafungwa wa vita, Urusi wamegoma. Tumwombe Mungu atusaidie kusitisha vita hii isiyo na maana yoyote.
 
Propaganda!
Hii ya Wanajeshi 265 wakiwemo majeruhi 51 waliokuwa Azovstal Steel Plant imeoneshwa kwenye TV ya Aljazeera na kwenye media mbalimbali. Ila Ukraine wanaposema wamewaua Warusi 1,600 sijaona uthibitisho wowote. But all in all hii vita si ya kushabikia ni muhimu ikasitishwa ili kuiokoa Dunia na hali mbaya ya uchumi.
 
Achana na pesa mzee,mbele ya pesa Hadi amri za dini zinasahaulika/kuwekwa pending.West Ni mashetani kabisa Yale.
 
πŸ˜‚
My people, as I said, Hakuna Zuri wala Ovu isipokuwa ni nani kafanya na ni nani kasema.



US probe: No wrongdoing in Syria strike that killed scores of civilians.

πŸ“ A Pentagon investigation claims it has found no wrongdoing in a 2019 US military strike against an eastern Syrian town that killed at least 80 civilians.
 
Kwa lugha yoyote ya kujifariji itakayotumiwa na Ukraine kukubali kujisalimisha majeshi yake na kuchukuliwa kwenye maeneo ya Urusi kwa ajili ya kutibiwa na kuhojiwa ni kukubali kushindwa na kuliachia jimbo muhimu la Mariupol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…