Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro US: US hakushindwa Afghanistan, US ni Military Superpower in the World.

Matt Gaetz-US Congressman:
View attachment 2228712

A humble Pro Russia: US ni level ya Somalia

Pro US: US hakushindwa Afghanistan, US ni Military Superpower in the World.

Matt Gaetz-US Congressman:
View attachment 2228712

A humble Pro Russia: US ni level ya Somalia πŸ˜‚.
Cc Frank Wanjiru
Wewe masikini boss wako naye masikini.
Ng'ombe mmoja Maksai anauzwa kati ya laki 5 hadi sita nusu kwenye minada ya kanda ya kati kwenda kanda ya ziwa wewe unashindwa kununua?
Ng'ombe wa Furaha baba,ana raha yake Kula na wenzako Tena nyama choma na supu.
 
Pale kuna makubaliano yaliyokwisha fikiwa kati ya Urusi na Ukraine kwa kuratibiwa na UN.
Kutakuwa na kubadilishana hao askari na mateka wa askari wa Urusi walioko mikononi mwa Ukraine

Hao magaidi tu hamna chakubadilishana hapo
 
"Goat herders" 🀣🀣🀣
Pro Russia, urraaaah πŸ‡·πŸ‡Ί
Pro Russia ni pasua kichwa aisee.
Iliingia nao ligi waweza kata moto,wanachimbua vitu adimu.
Sasa Congressman wa USA anakili kuwa walipoteza vita na watalaban afu kijimtu Cha buguruni kwa mnyamani kinasema USA ataipiga Russia.
LoL!
 
Sogea karibu na dunia,vikwazo walivyomwekea Urusi ndo ananeemeka!
 
Wewe ni mwehu kabisa vita ya haki kwani aliyeanza kumvamia mwenzake ni nani ni nani aliyeanza kumvamia mwenzie
 
Ushakunywa uji unakuja kujamba uku hivi vikwazo ni kama msumeno inakata mbele na nyuma waulize west wanavyo jamba jamba kila siku vikao alafu urusi wala husikii akilia waliisi urusi ataumia kuliko wao Ila imekuwa tofautii uswis kashatoa vikwazo vya pesa alivyoweka Kwa makampuni na warusi saivi urusi inangojea mwezi wa 11 Tu kelele zote izi zitaisha

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
WABONGO KWA UBISHI NYUZI IMEFIKA PAGE HADI YA 2000 BADO VITA INAENDELEA URUSI BADO HAJAICHUKUA UKRAIN TUπŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…