Putin: Dogo, hivi unajua nikitoka madarakani nafikiria kukupasia kijiti wewe?
Medvedev: Ahahaaaah, ebu acha utani wewe mzee!
Hola hola, nakupa mwendelezo ulipoishia George.
Putin: Sio utani kijana wangu, nataka nikurudishie mikoba umri umeenda.
Medvedev: Haina shida kaka, nipe kijiti niwanyooshe hawa makima 😂, Ujue kaka mara ya kwanza ulivonipa kijiti walijua nitauzima upepo ulioanza kuupuliza. Wali enjoy kufungulia A/C kisa joto sasa wanalalamika baridi.
Putin & Medvedev: (All laughing out loud)
Pro Russia: Mzee baba wanyooshe hao Magasho, wanyooshe baabeki.
Pro US/NATO: (Huku jasho likiwatoka kwa kitete) Hamtuezi, tutakaa vikao 120172910370016291791027302 kujadili vikwazo vya kuwapa.
Kremlin Spoke Person from JF: Tusubirini hapa hapa tukafute vumbi kwenye Samart a.k.a Satan 2.
Pro US/NATO: Aaaa bros kwani hamtaniwi, kidogo tu hivo mnanuna, basi bana, basiii tunaenda somalia sisi. Hatutaki mbichi hizi.
V. Putin, Medvedev, Pro Russia, Other smart people all Over the world: