West na media zao ni washenzi kwa maana halisi ya neno ushenzi...they are uncivilized...bullish...arogant...murderers...exploiters, propagandists, selfish and thieves...they don't care for world peace...what they care is to serve their own interests...Yale majamaa ya Azov yamesalimu amri au kusurrender pale Mariupol...lakini media za west zinasema eti wanakuwa evacuated...very stupid indeed...
Uzuri ni kwamba ,Dunia inafuatilia sakata hili za Ukraine na Urusi kwa utulivu mkubwa sana,hatua kwa hatua.
Dunia inafuatilia vizuri sana juu askari hao waliokua wamejichimbia ndani ya handaki.
Unajua kwa Nini jambo hilo limevutia wengi?
Sababu ni moja kubwa.
Kwa mara nyingi,USA na UK na memba wengine baadhi wa NATO waliwahi kufanya baadhi ya Operation za kukomboa watu wao,Tena kwa kutumia Highly trained Special Forces na wakafanikiwa.
Mfano ni kama Ile ya Israel dhidi ya Uganda.maarufu kama 90 minute s in Entebe.
Na nyingine London,Na Ile iliyosifiwa sana ya kumuua Osama bin Laden.
Sasa watu wakawa wanasikilizia kuona je Hawa umoja wa nchi kubwa kabisa hapa duniani watafanya uokoaji dhidi ya Urusi kama walivyofanya huko awali?
Je Urusi itakua dhaifu kiasi hicho Cha vijiwanajeshi vingine kuja kuokoa watu wao mikononi mwao?
Hapa ndipo palipoifanya Dunia ifuatilie kwa makini sana sakata hili.
Na kwa halii hii,hata BBC wadanganye vipi Dunia haiwaelewi.wanajua abc zote za wale askari waliojificha shimoni.