STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Hiyo maneno ingine kabisa nato wanaijadiri Kila sikuOyaaaaa mwanangu Iskander imewatesa sana [emoji23][emoji23][emoji1787], si mchezo
Tatizo yamejigawa hapa Africa kwenye vyama tawala, huwa hawana akili zao wanatumia akili za mbayuwayu tuuuu,kwenye ukweli wao wanapingaAisee nilikuwa najiuliza hivi kwanini Africa atuendelei kumbe sababu kuu ni moja tu. Uwepo wa pro nato(puppets) , tukiwaondoa maendeleo tutayaona hawa ni vikwazo tosha ndio maana wakiona sio size yao wanakimbilia vikwazo sababu wao wenyewe ni vikwazo tosha.
Umenikumbusha mbali sana. Utotoniiiii , tulikuwa mnaambia tupigane ila usirushe mateke, wala ukaba koo iwe ngumi tu
View attachment 2229284
Zelensky: Urusi Inarusha makombora kwa sababu ya ukosefu wa mafanikio ardhini
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amedai kuwa Urusi inarusha makombora ya masafa marefu katika miundombinu ya raia na ile ya kijeshi ya Ukraine kwa sababu jeshi lake haliwezi kuonyesha mafanikio yoyote muhimu.
Katika hotuba yake ya video iliyotolewa jana usiku, Zelensky alisema kumekuwa na ufyatuaji wa makombora katika maeneo ya Lviv, Sumy na Chernihiv, mashambulizi ya anga katika eneo la Luhansk na "shughuli za hujuma" katika maeneo ya mpakani.
"Haya yote sio tu kuleta mvutano kwa jimbo letu, sio tu kujaribu nguvu zetu," Zelensky anasema.
"Hili ni jaribio la jeshi la Urusi kufidia safu ya kushindwa mashariki na kusini mwa nchi yetu.
"Hawawezi kuonyesha mafanikio kwa hatua za jumla za kijeshi katika maeneo wanayojaribu kusonga mbele. Kwa hiyo wanajaribu kuonyesha mafanikio kupitia makombora yao na shughuli nyingine. Bila mafanikio pia."
Hii nakuja na uzi wake soon, kuna mpango huo marekani kuingia mazima ila nchi za ulaya zimegomaJamaa kwani huwa anafanyaje yaani wanashambulia bila makamanda wao kujua kuwa wanazungukwa?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama ni kweli basi ni pigo kubwa Kwa NATO, kuna kila dalili NATO na USA kuingia Ukraine mazima, maana kila wanavyomvuta urusi Kwa kumchokoza jamaa anawakwepa kusudi halafu anawaumiza pakubwa
Yaani ukuwaangalia viongozi wa NATO na USA mdomoni wanacheka lakini macho yanatoa machozi
Wow!!!I am a black woman, a lesbian and an immigrant."
The new press secretary of the White House, Karine Jean-Pierre, decided at her very first briefing at the White House to tell reporters the main thing about herselfView attachment 2229115