ila wasiombe waende Chorna chollym lile jela alilikouwa boyka aisee warus wana jela katil sanaKama ni hivyo sawa, maana wasije wakaleta ugai gai huko wanakopelekwa, siwaamini kabisa hao watu.
Niliiona ila swali lake sikulielewa jomba [emoji41]
hiv wale jamaa wa seal team six wale si wangee da kumaliz bii game. au jamaa wa delta forceMkuu iamini Urusi kuliko unavyoiamini US, wakati Kamanda Putin anatangaza kuwa hao panya waliondani ya kiwanda waachwe ila wahakikishe hata inzi hatoroki watu wengi walitilia shaka kuwa huenda hao panya wakaendelea kuchimba mashimo chini kwa chini na kutokea mbali na kuweza kutoroka.
Leo kiko wapi, kuteka askari zaidi ya elfu na kuwatibu na kuishi nao wakiwa hai sio mchezo, kumbuka wengi ni Makamanda na wakufunzi wa kijeshi.
Zaidi ya nchi ya 30 zikiongozwa na Marekani wanavikosi hatari vya uvamizi na uokoaji umeona inchi yoyote iliyojaribu kutaja tu hata kikosi chake maalum...
Urusi,NATO/US wanafahamiana vyema kabisa, sema NATO wako mbele kwa propaganda.
🤣🤣🤣MiceDaaa hataimaye Hawa nguchiro wametoka shimoni wenyewe bila shuruti.
Sipati picha ingekuwa Wanajeshi wa Russia ndio wana surrender. Hiyo mijadala huko kwa CNN, BBC Aljazeera tungeikoma.
Mara John Graham is a military expert from the BID military Company, Mara sijui nani ni prof wa nini?
Mungu ni mwema, wamejikausha as if the Surrender of Azov Mice is not a story aloo😂😂😂😂😂.
Hao ni kwa ajili nchi zetu za dunia ya tatu kama walivyotupangia mabeberu...hiv wale jamaa wa seal team six wale si wangee da kumaliz bii game. au jamaa wa delta force
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Doh!Huenda hawakuona ulazima wa kuitumia silaha hii hapo awali. Ila ukitaka majibu zaidi unaweza kuwatafuta ubalozi wa Russia popote ulipo, hao wanaweza kukupa majibu mazuri zaidi.
Hao ni waoga vibaya, wao wanachoweza ni kuzivamia nchi dhaifu tu kina Iraq, Syria na Libya...hizo ndo size yaoKuna sub inaogopa kuingia katika game (NATO) sijui kwa Nini 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2230812
CALL OF DUTY LOSER HAVING A BAD TIME!!!
It is reported that the South Korean mercenary Lee Geun - insta and YouTube blogger, a former captain of the special forces of the South Korean Navy, was seriously wounded in the fighting in the Donbas.