Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tukiwambia Putin ni kichwa muwe mnaelewa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Most EU buyers open RUBLE accounts for [emoji635] gas as ‘no other advisory options’: Gazprombank

Half of [emoji635] gas giant Gazprom's clients have opened accounts at Gazprombank, Deputy Prime Minister Alexander Novak said, as Moscow seeks to compel its clients to pay for its gas in roubles. https://t.co/OCur3mOoDs
 
Tukiwambia Putin ni kichwa muwe mnaelewa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Most EU buyers open RUBLE accounts for [emoji635] gas as ‘no other advisory options’: Gazprombank

Half of [emoji635] gas giant Gazprom's clients have opened accounts at Gazprombank, Deputy Prime Minister Alexander Novak said, as Moscow seeks to compel its clients to pay for its gas in roubles. https://t.co/OCur3mOoDs
 
Anaongea Mtaalam huyu wa Kijeshi,wa jeshi moja mahili kabisa ulaya.
General wa Jeshi la Ujerumani.
Leo hii anakuja mtindiga mmoja anakuambia Russia ni dhaifu.
Aisee!
Unajua maneno kama haya ya Gen huyu ndio yanaongelewa kwenye corido za makao makuu ya majeshi ya nchi za west.
Ila sema hawana Cha kusema mbele za wanasiasa.
Huyu ni Gen wa pili baada ya Mac Gregory wa USA kama sijakosea jina.

Ila wataielewa TU Urusi.
 
Wapumbavu wakubwa, yaani wanapelekeshwa na mtu mmoja sjui wawili ivi hawa EU wakoje lakini??

Yaani kuamua maamuzi yao wenyewe hawezi hadi wamshirikishe Marekani na Uengereza?? Kwann wanapelekeshwa majuha hawa amabapo inapelekea mporomoko wa uchumi ktk nchi zao pia hatari ya nchi zao kugeuzwa uwanja wa vita ???

Haya , habari inayotufikia hivi punde ni kuwa leo Ujerumani kagoma kupitisha maombi ya kuwa EU isaidie kuijenga Ukraine, haya mambo yasingefika kama wangekaa kikao na Putin kutatua mgogoro
 
Wakati vita vilianza,kuna watoto waliozaliwa juzi wakasema atapigwa na Ukraine,nikawaambia,Mjerumani anajua mziki wa Mrusi pale Stalingrad,yaani toka siku hiyo, Mjerumani hana hamu na Russia.
 
Hii mbinu iliyotumika Ukraine walikuwa hawana chaguo lingine zaidi ya kulinda Kiev coz kama wangejifanya wameshtukia mtego basi ule msafara wa kilometa kadhaa ungeingia Kiev

Bad enough ule msafara baada ya kutimiza lengo ulisambaa kiaina only 14 tank ndio zilisonga mbele na zikapigwa magari mengine yote yakashika mielekeo mingine

Ukraine baada ya kupiga zike tank 14 wakajua wameshinda maskini ya Mungu
 
Wahindi sawa ila waarabu hapa panahitaji wajuvi
Nipo tayari kuelimishwa ila mpaka Sasa hakuna waarabu pia.

Wale Caucasian kutoka milima ya Ural unawasikia Majin yao kama Hakim Sultanov na wengine ni waislamu ila wazungu, wengine ni waislamu ila Wana asili ya central Asia.

Mfano Chechnya ni waislamu ila wazungu
Dagestan ni waislamu ila wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…