Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Wamekula chenga kama ile ya messi vs boateng [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Keep on hold..
 
Wakati vita vilianza,kuna watoto waliozaliwa juzi wakasema atapigwa na Ukraine,nikawaambia,Mjerumani anajua mziki wa Mrusi pale Stalingrad,yaani toka siku hiyo, Mjerumani hana hamu na Russia.

Tena kipindi kile ilikua Kweli Germany sio hii ya sasa ya mchongo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Waliwapa Russia offer ya kujiunga NATO then NATO wajilinde against nani baada ya hapo... Story zingine za kimakuzi sana.

Wameanza kumshambulia kuchafua taswira yake kwenye jamii 🤣🤣🤣

The first case of human infection with monkeypox has been confirmed in Germany, reports Focus.View attachment 2231754
Great reset on making, soon wanaweza pigawa Lock Down nyingine tena

Good News wadau, waiteni Pro NATO watusomee kwa sauti.
View attachment 2231828
Hola hola my people
View attachment 2231833
Eiwaaa mambo yanazidi kua matam... Apelekewe na Dementia Biden pia atueleze hiyo Ruble aliyegeuza kua Rubble ni ya nchi gani 🤣

Yule kibibi anayejiita Britannica yuko wapi siku hizi na coco baby wake
Umemsahau na yule mama wa kupanic maarufu ka mbizi ya 'nya'

Wachambuzi makini,ujuaji mwingi na mahaba kama yote... Sijui wamepotelea waaapi sa hivi wamekuwa wadogo ka pirton.
 
Did Vladimir Putin miscalculate the repercussions of invading Ukraine?

No doubt.. I am sure he thought there would be repercussions.
What he miscalculated was the resistance of Ukraine. Putin thought the war would would be over in two weeks, some sanctions would be imposed, and life would go on.
That was not the case. Ukraine has resisted the invasion and currently is winning the war. Russia has sustained great losses to their troops, navy and war materiel.
He miscalculated the response of the West who have rushed to Ukraine’s aid and provided her with war materiel to allow her to stay in the war.
He miscalculated the will of the Ukranian people to fight.
He miscalculated the skill and leadership of Zelenskyy. In a big way.
As the war approaches the 60 day mark the EU and West impose more and more sanctions. Morale is down in his troops.
Putin has had to start thinking about his own survival, physically and politically.
I think it is an understatement to say Putin miscalculated the repercussions. No doubt if he it to do over again he would not. But unfortunately he is committed.
 
Putin obviously thought his overwhelming force would overawe the Ukrainians and force Zelensky to flee the country. He greatly overestimated the power of his own forces, and underestimated the effects of widespread corruption in Russia. He underestimated Ukraine’s resolve to defend their independence. Russian losses in casualties and destruction of vehicles is clearly much higher than anyone in Putin’s circle predicted. Putin proves his regret by purging generals and secret police and intelligence officers.
 
Kiingereza sijui ila nachojua Marekani katoa dola bilioni 40 kumchapa huyu panya road.
 
Wewe ni brainwashed wa Nato, hujui malengo ya putini yalikua sio ku overthrow Ukraine president hiyo special oparation ya Russia imesha achieve malengo yake kwa sasa karibia 70% Russia now is more stronger, than before the oparation......Ukrain will never be the same again US na Nato wamekua exposed vibaya kumbe ni kelele tu hamna lolote nchi 30 vs 1 Russia na bado wanalia
 
KWA HIYO WEWE NDO HUJAWA BRAINWASHED NA SIASA ZA KINA PUTIN?? KWANINI HUWA MNAUKATAA UKWELI UNAONEKANA WAZI???

TUTAIPIGA UKRAINE KWA SIKU TATU😂😂😂😂🇺🇦🇺🇦🇺🇦

MIEZI SASA INAKATIKA
 
Putin hajafikia malengo na kamwe hatofikia. Ishakula kwake, vikwazo vinaua uchumi,vinasababisha watu kupoteza ajira. Matajiri wa Russia wanaikimbia nchi na kwenda kuwekeza kwingineko duniani. Putin moyoni ana huzuni sana,,,
 
It is crystal clear that Putin will is following the same path of failed despots , take it to the bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…